Ifike muda habari za vibustani vikomeshwe...

Vaislay

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
4,532
1,822
Hivi karibuni kwa aliyepima, kituo chochote, aliambiwa kupima ni mara moja kwa mwaka sahizi?si tena ile kila baada ya miezi mitatu @?

Haya turudi penyewe leo,Habari mabibi na mabwana na wadogo zangu nawe miss neddy na Excel mzee mapicha ndhani leo utanisaidia kunibandikia pics.

Nashangazwa sana na wanawake wantembea na waume za watu, Hivi hujawahi kufikiria future yako itakuwaje mbeleni?

Unaenda kwa mume wa mtu tena anandoa yake ya kanisani hapo, unajiaminisha"Ananipenda kweli habari za mke wake zte ananiambia,nimemshikaa unyayo kwangu hatoki" Shame on you,kwako hatoki mbona kwa Mkewe anarudi kwenda kulala wewe unakaa unajipa matumaini eti ananitunza,mjinga wewe unapoteaaa,utabaki kuwa gumegume hivyohivyo,ukikaa sawa unajidai nataka mume,mume wa mtu kakutumia hadi umekwisha habari yako,

Wananishangaza wale ambao anakuwa na mtu na yule mwanaume anamchumba labda,mpaka anaa mwingine we upo tu,Hivi kama kweli huyo mwanaume anakupenda sana kwanini asikuoe wewe hujawahi kujiuliza?

Na nyie wanaume, Yaani unaterekeza familia kisa mwanamke wa nje,hivi hamjuagi kitendo cha kuwa na mwanamke nje ni mwanzo wa matatizo?

Most of vibustani are MONSTERS utaendewa kwa waganga na kulishwa visivyolishwa na umalaya wako,mtu unakuta anamke mzuri ndani linaenda kubeba gubegube limepaka mishedo kama punda wa india,Jamani unachokosa kwa mkeo si uongezee ili upate vyote..

Ngoja niwape stori moja ya kweli kabisaa........Kulikuwa na mwanamke 1 alikuwa anakazi ya kutembea na wanaume za watu,ikafika hatua akapata tajiri mmoja wa maana,akaamua kwenda kwa mganga wa kienyeji,mganga akampa "shanga" na kikopo kidogo cha dawa,Ile shanga ilikuwa inakazi ya kuvutia wanaume,kwamba atakaye kuwa anamwona tu akamtamani basi amsogelee mwenyewe,na ukilala nae umekisha hadi familia utasahau kabisa,kwahiyo akawa anadate na vibopa hatari,akimwambia anataka nyumba watu wanaachia majumba,nk,Alikuwa akifika Period(mwezini) alikuwa anakinga damu kwenye kichupa anaiweka kwenye frij,siku mpendwa wangu@Excel ukiwa unahitajika uachie sheli unayomiliki atakupikia msosi akichanganya na ile damu ya hedhi,( MPO HAPO MAPAPA?)

Yule dada akaja kuwa Tajiri wa ajabu sanaaa ila ndoa kibaaooo zilivunjika,.......Ni habari ndefu,atakayetaka atanitafuta.

Sasa hebu jiulizeni nyie wanandoa mipapa umelishwa vingapi?

Na nyie wadada wa sahizi kutwa kwa waganga kisa watoto wa wenzenu kama mali ni rahisi kwanini msitafute vyenu,Mungu naye anaona huruma kwa viumbe wake ndo maana mnakuta yanabuma....

Nimekuja tu kutoa somo leo wala si ugomvi tena, Mwanangu Trina anawasalimu maankoz na antiz,babuz na babaz



 
Wewe uko kwenye ndoa? If not then hau qualify kushauri walio kwenye ndoa...let alone kuwa blame na kuwanyooshea kidole..stress za ndoa wanazijua wanandoa na Wengine bila kuchepuka wange kufa kwa stress
 
FUTURE YA NINI WAKATI PRESENT YENYEWE HUNA.??? SOME OF US LIKE TO LIVE NOT TO SURVIVE AND WE LIVE NOW NOT TOMORROW!

Afu msitake kutuzuga MARRIAGE IS ALL HYPE, BRANDING AND MARKETING! Ila there is nothing so special about anything.

Maisha yanabadilika anaekufaa leo kesho taka taka tu! Na moyo wa mtu kiza kinene! USIESEMEE MOYO WA MWENZI WAKO!

After all it makes sense kuwa mad na mtu mliejicommit nae ila mchepuko hauna deni na wewe!

REEDOM OF SPEECH ITS A FREE COUNTRY!
 
Wewe uko kwenye ndoa? If not then hau qualify kushauri walio kwenye ndoa...let alone kuwa blame na kuwanyooshea kidole..stress za ndoa wanazijua wanandoa na Wengine bila kuchepuka wange kufa kwa stress

Hahaaaaaaa! She thinks marriage a book! Mtu anaequalify kushauri ni ALIEACHIKA COZ KACHEZA PANDE ZOTE! Anajua kila experience! Dont you agree my boss?
 
Hahaaaaaaa! She thinks marriage a book! Mtu anaequalify kushauri ni ALIEACHIKA COZ KACHEZA PANDE ZOTE! Anajua kila experience! Dont you agree my boss?

Sisemi michepuko ni sahihi au ni better ....ninachosema kila mtu ana sababu zake na situation yake...kuwanyooshea kidole wanaochepuka is wrong....kuna mtu unakuta mkewe au mume kamsusa for good...asipo Tafuta faraja kwingine ata ishi vipi? Ndoa nyingi ni image tu but ziko flat...
 
Wewe uko kwenye ndoa? If not then hau qualify kushauri walio kwenye ndoa...let alone kuwa blame na kuwanyooshea kidole..stress za ndoa wanazijua wanandoa na Wengine bila kuchepuka wange kufa kwa stress
Sina ndoa, lakini inabidi tujifunze na kukumbushana yaliyo nje na ndani,
 
Nishindwe kudate na mtu kisa ana mke,,, kila mtu kwa time yake eti future wakati present haisomi....
 
hahaha, kila mtu na afanye yatakayompa amani ndani ya moyo wake until further notice
 
Daaaaaah aisee, ile damu analishwa mtu? Duuu:brushteeth::brushteeth:
 
mwenzio huwa nasinzia lakini nikiona tu Morg naamka fasta....uwe unanishtua nawe

Haaaa nikushtue unavyojifuta tungejuta viti vya mbele vimejaa na hii movie ni tamu lazima uanze mwanzo mwisho
Kama usingizi bdo upo best niambie nikutumie kitu cha kushtua
 
Last edited by a moderator:
sikujua kama inakingika kwenye chupa kwani inatoka kama haja ndogo ama?inatoka kwa matone sasa mpaka kichupa kifike robo itakuwa kazi kwelikweli…..
watu wanambinu ndugu yangu..hebu tuwaachei wenyewe
 
Mtoa mada ina maana wanawake huwa wanawang'ang'ania hao wenye ndoa kutoka nje ya ndoa zao?mbona umeegemea upande mmoja una sahau kama watongozaji ni wanaume!
 
Wewe uko kwenye ndoa? If not then hau qualify kushauri walio kwenye ndoa...let alone kuwa blame na kuwanyooshea kidole..stress za ndoa wanazijua wanandoa na Wengine bila kuchepuka wange kufa kwa stress

Awe kwenye ndoa au aiswe kwenye ndoa alichosema ni kweli na kipo katika jamii! Tatizo wanaume/wanawake wapenda michepuko hamtaki kuambiwa ukweli!!Ukae ukijua kama mleta thread alivyosema USHAKULA VINGI VYA AJABU BABA!!Endekeza michepuko kwa gia ya stress za ndoa mwisho wake sio mzuri, utapotea
 
Back
Top Bottom