Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
nimeamini hakuna rafiki duniani kama Yesu...
hadi wewe
So....?
nimeamini hakuna rafiki duniani kama Yesu...
hadi wewe
Majungu si mtaji....
bora usizindukeeee
Nifanyeje sasa? Tushee wa kwako bas
Nikizinduka na mimi natafuta kwa kuchepukia
Khaaaa!!!!!!
Bora tu ujiengue best....huyu si mwanaume hata kidogo
Tafadhali Vais...mimi ni dada yako
Kwa upande wa wanaume...
1. Aliyelishwa hezi ni mfala maana raha ya nyumba small ni kula chipsi kuku mgahawani au mikarangizo kempiski. Ataingia na kichupa cha hezi kempiski?
2. Kuhonga mali kwa nyumba small sio ishu kwani ni just wealth reallocation.
3. Kusema wanaume wawaongezee wake zao kile walichopungukiwa ni sawa but walichopungukiwa wake zao ni k ya pili maana hao wanaume hawatosheki na k moja. Kama kuna mwanaume mwenye k 2 hapa kidole juu...
Una pointi nyingine?