If Only Mama Could See Me Now. I Miss Her So So Much Jamani.

Smile huo mkono wa mtu ndiyo ulozi wenyewe. Yaani kuna watu wabaya sana!!! Kwa upande wetu kuna walihusika!! Kisa mtoto wa kike (aunt) kazalia watoto home!! Dad was the first born in his family!! Dadake akawa na visa kisa anahofu natapata nafasi ya mali za baba yake maana watoto 7 kila mtu na babake!! Kudadeki!
watu wabaya kwa kweli...unapotezewa jangwani hivihivi...kwa akili zako sio rahisi mtu kujiisolate na jamii yako kwa kiwango kikubwa hivi kwa kweli.
 
Ina maana alikuwa anazuga, kumbe wala hakutoa chozi? Shame on him/her
kulia mchezo?mimi mwenyewe na bomba la machozi nililonalo sijatoa chozi..pamoja na kwamba sina mama sembuse hili likamanda
 
Inaniuma Karucee, hakika ninadondosha chozi mtu mzima mimi. Ninahisi pengine kuna jambo lilitokea na hawezi kukuoneni wanawe. Si kawaida ya wanawake wengi huwa watoto wako attached na umbical cord kwa hiyo si rahisi kusahau. Jamani ninaamini una uelewa wa kutosha kabisa, find other means kama hao ndugu zake do not want to cooperate. Kaanzie pale kijijini kwa mama ulizia hata majirani. And I even doubt more, kwa nini hakutokea msiba wa mama yake? What happened. Dig it further. So painful.
ooh Zogwale, dunia hii acha tu. Watu watakunyima chakula ila maneno watakupa. Watu walisema mengi jamani. Kuna watu walisema baada ya mahakama kumpa baba custody mama alikuwa depressed and she lost her mind. binadamu wengine walisema mama baadae alihangaika sana akaja akapata AIDS. Maneno yote haya tuliambiwa sisi in the face. Unapokosea kitu kama mtoto yeyote yule mtu anadiriki kutuambia ndio maana mama yenu aliwakimbia. Hahahahaa. lol. Acheni nicheke mie enzi za kulia zilishaisha. MAchozi yalikauka.
 
Last edited by a moderator:
ahaaaaa ni kweli boss?
Kiswanglish could be a creole. Even in Europe, the European Commission has just announced an agreement whereby English will be the official language of the EU rather than German which was the other possibility.

As part of the negotiations, Her Majesty's Government conceded that English spelling had some room for improvement and has accepted a five year phase-in plan that would be known as "Euro-English".

In the first year, "s" will replace the soft "c". Sertainly, this will make the sivil servants jump with joy. The hard "c" will be dropped in favour of the "k". This should klear up konfusion and keyboards kan have 1 less letter.

There will be growing publik enthusiasm in the sekond year, when the troublesome "ph" will be replaced with "f". This will make words like "fotograf" 20% shorter.

In the 3rd year, publik akseptanse of the new spelling kan be ekspekted to reach the stage where more komplikated changes are possible. Governments will enkorage the removal of double letters, which have always ben a deterent to akurate speling. Also, al wil agre that the horible mes of the silent "e"s in the language is disgraseful, and they should go away.

By the fourth year, peopl wil be reseptiv to steps such as replasing "th" with "z" and "w" with "v". During ze fifz year, ze unesesary "o" kan be dropd from vords kontaining "ou" and similar changes vud of kors be aplid to ozer kombinations of leters.

After zis fifz yer, ve vil hav a reli sensibl riten styl. Zer vil be no mor trubl or difikultis and evrivun vil find it ezi to understand ech ozer. Ze drem vil finali kum tru! And zen world!

Aha! Europe English
 
ok ana aids ana nini yupo wapi? mbona hawasemi hao wazushi...inaumaje duh rip my swiit mother...nakuelewa sana hata kama unacheka
 
natamani nikupe pole but umenikataza. Hongera zako dada yangu kwa hapo ulipo fikia. ndo maana ukawa dada yangu. :yo:. mia
 
duu kweli maisha ni maisha tu hata ufanye nini what if na wewe ukawa kama mamako na je ulijuaje that woman is your mother.. Karucee
what do you mean nikawa kama mama yangu ndetichia? Nilijua ni Mum kwa kidole kikubwa cha mguuni. She had changed so much. MAma yetu ni full African figure with chocolate complexion. Huyu aliekuja ni mweusi sana na amekondaaaa. Oh God. Kama namuona. Natamani kulia vile. Kama namuona.
 
Last edited by a moderator:
Dah!!!!!:grouphug::grouphug::hug:
Sure, she will be proud of you!
 
ooh Zogwale, dunia hii acha tu. Watu watakunyima chakula ila maneno watakupa. Watu walisema mengi jamani. Kuna watu walisema baada ya mahakama kumpa baba custody mama alikuwa depressed and she lost her mind. binadamu wengine walisema mama baadae alihangaika sana akaja akapata AIDS. Maneno yote haya tuliambiwa sisi in the face. Unapokosea kitu kama mtoto yeyote yule mtu anadiriki kutuambia ndio maana mama yenu aliwakimbia. Hahahahaa. lol. Acheni nicheke mie enzi za kulia zilishaisha. MAchozi yalikauka.
Karucee Karuceeee ninaumwa moyo wangu mno. Ninalia sana. Namfunga macho namtafakari mama yangu. Sitaki kuona mwanamke anateseka. Nimeapa na ninamwomba Mungu sitamtesa mke wangu. Tukishindwana tuachane kisomi jambo ambalo kwa umri wa ndoa tuliofikia namwomba Mungu tukizikane. Sorry Karucee, it is painful. Yaani yote hayo inawezekana ni kweli. Kunyimwa custody inaume asikuambie mtu, uliza waliotalikiana hasa mwanamke huwa ana uchungu sana na watoto wake. Upande mwingine hata catching VVU is an impact as well. Unajua frustrations na stress za kuachana caa force you to land anywhere. Oh my Lord. I believe you mama is alive, alive somewhere. Go look for her. Ninalia sana jamani. Ninaumia, ninaumia wanajamvi. Wale wote ambao mmeoa au mnategemea kuoa/olewa, hata siku moja kabla hujatamka kuachana angalia mambo mengi sana hasa watoto. We are victims, the pain and scars never heal, asikudanganye mtu!!! Sisi ni binadamu wa kukumbuka japo maumivu yanapungua kidogo but kwisha kabisa hapana.
 
Daaa Karucee nimesikitika na papo hapo nimecheka sana! Daaa kweli kila mzazi ana umuhimu wake!
Daa hiki kisa kizuri sana kina fundisha! Aisee baba yenu aliwalea!
 
Last edited by a moderator:
take easy man!
Karucee Karuceeee ninaumwa moyo wangu mno. Ninalia sana. Namfunga macho namtafakari mama yangu. Sitaki kuona mwanamke anateseka. Nimeapa na ninamwomba Mungu sitamtesa mke wangu. Tukishindwana tuachane kisomi jambo ambalo kwa umri wa ndoa tuliofikia namwomba Mungu tukizikane. Sorry Karucee, it is painful. Yaani yote hayo inawezekana ni kweli. Kunyimwa custody inaume asikuambie mtu, uliza waliotalikiana hasa mwanamke huwa ana uchungu sana na watoto wake. Upande mwingine hata catching VVU is an impact as well. Unajua frustrations na stress za kuachana caa force you to land anywhere. Oh my Lord. I believe you mama is alive, alive somewhere. Go look for her. Ninalia sana jamani. Ninaumia, ninaumia wanajamvi. Wale wote ambao mmeoa au mnategemea kuoa/olewa, hata siku moja kabla hujatamka kuachana angalia mambo mengi sana hasa watoto. We are victims, the pain and scars never heal, asikudanganye mtu!!! Sisi ni binadamu wa kukumbuka japo maumivu yanapungua kidogo but kwisha kabisa hapana.
 
what do you mean nikawa kama mama yangu ndetichia? Nilijua ni Mum kwa kidole kikubwa cha mguuni. She had changed so much. MAma yetu ni full African figure with chocolate complexion. Huyu aliekuja ni mweusi sana na amekondaaaa. Oh God. Kama namuona. Natamani kulia vile. Kama namuona.

Karucee sitaki tena, hakika naumia sana. Natamani sana nishiriki tumtafute huyu mama. Japo tujue yu hai au Mungu alishampumzisha. Tangaza hata redioni, TV na magazeti jamani. Pata majina yake yote peleka mwa media. Naamini kuna mtu atakupa details. Au pia pita mlango wa nyuma andika jina lake hapa. Au nipe details zake nikusaidie kuweka hapa najifanya ni mimi. Ohhh my Lord. Wasamehe wote waliohisika na kuvunjika kwa familia hii. Adhabu yao wataikuta kwa Mungu, ndiye hakimu.
 
Natafta Mwalimu wa kiswangilish

Naona unakwolifai

Kiswanglish could be a creole. Even in Europe, the European Commission has just announced an agreement whereby English will be the official language of the EU rather than German which was the other possibility.

As part of the negotiations, Her Majesty's Government conceded that English spelling had some room for improvement and has accepted a five year phase-in plan that would be known as "Euro-English".

In the first year, "s" will replace the soft "c". Sertainly, this will make the sivil servants jump with joy. The hard "c" will be dropped in favour of the "k". This should klear up konfusion and keyboards kan have 1 less letter.

There will be growing publik enthusiasm in the sekond year, when the troublesome "ph" will be replaced with "f". This will make words like "fotograf" 20% shorter.

In the 3rd year, publik akseptanse of the new spelling kan be ekspekted to reach the stage where more komplikated changes are possible. Governments will enkorage the removal of double letters, which have always ben a deterent to akurate speling. Also, al wil agre that the horible mes of the silent "e"s in the language is disgraseful, and they should go away.

By the fourth year, peopl wil be reseptiv to steps such as replasing "th" with "z" and "w" with "v". During ze fifz year, ze unesesary "o" kan be dropd from vords kontaining "ou" and similar changes vud of kors be aplid to ozer kombinations of leters.

After zis fifz yer, ve vil hav a reli sensibl riten styl. Zer vil be no mor trubl or difikultis and evrivun vil find it ezi to understand ech ozer. Ze drem vil finali kum tru! And zen world!

Aha! Europe English
 
Karucee umenigusa sana leo na kunitoa chozi bila kutarajia. Nashindwa kujizuia kusema pole. POLE.
Ila yote kwa yote, asante kwa ushauri hapo mwisho wa story yako. I'll never leave my girls for anything! Labda wao ndio wanikatae.
 
Last edited by a moderator:
Daaa Karucee nimesikitika na papo hapo nimecheka sana! Daaa kweli kila mzazi ana umuhimu wake!
Daa hiki kisa kizuri sana kina fundisha! Aisee baba yenu aliwalea![/QUOTE
lazima ucheke Ruttashobolwa. Mama alipooondoka kuna kaka alisema ngoja wakue kidogo hawa tutawazalisha wajaze watoto A mpaka Z. Kudaadeki alimbutuajje? ngumi za mafundi wanaonyanyua block engines tena? lol. Mpaka leo kaka wa watu tukimwona jamani anainamishaga uso.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Karucee umenigusa sana leo na kunitoa chozi bila kutarajia. Nashindwa kujizuia kusema pole. POLE.
Ila yote kwa yote, asante kwa ushauri hapo mwisho wa story yako. I'll never leave my girls for anything! Labda wao ndio wanikatae.
asante love kwa pole. hahaha. ningezikubali zingeanza mwanzo mpaka mwisho. lols
 
Back
Top Bottom