If Only Mama Could See Me Now. I Miss Her So So Much Jamani.

snowhite, sikutarajia kuwa ningemwaga chozi leo. Ila nitamwaga sana but its all good. I miss her jamani. I cant bear it kumuona mtu anadeka kwa mamake. Oohhh. Dont be sad jamani..... its the path that God destined for my sister and me. Love you too sweets.

kuna siku niliwahi kusema humu!
natamani sana mama yangu angeniona nilivyo mama sasa hivi!
so nakuelewa sana sweets!sana!
well la muhimu ni kuwa u vile ambavyo mama yako angejivunia ulivyo angekuona!
usilie,and am not cryn either(silii tena)sawa??
POPOTE ALIPO MAMA YAKO,ANAKUPENDA NA ANAJIVUNIA WEWE!:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
 
karucee mbona hujani cc na nilikuomba?
ila MUNGU ni mwema muombe atakurudishia mama yako.
nitakuombea pia.
pia pongezi nyingi kwa baba yako,but what if yeye ndo chanzo cha mama kupotea..hayo mazuri yake yataweza kulipa uchungu wa kumpoteza mazeri hivo?
Pole Smile. Nimepitiwa.
HAta kama chanzo ni baba which I doubt tumeshamsamehe na kukubali matokeo.
 
Last edited by a moderator:
Kwa kuwa ni mwanamume,na pia niko ofisini......ningelia leo,hivi hivi......ningelia kwa sababu,story yako inafanan na yangu kwa kiasi flan.Ingawaje mimi najua mama yangu alipo,na sometime huwa naenda kumsalimia.Lakini sijawahi kummis MAMA.....simkumbuki,sijawahi kuonja upendo wake......Baba alikua kila kitu,though alipokuja mama wa kambo,cha moto nilikiona,ni katika vitu vilivyonifanya nisome kwa bidii mno,kwa sababu huyu mama alihakikiha ninajisikia pale nyumbani is not my home............Thanks God,I got a nice job,nice house,nice wife and a daughter as well!!!MAISHA HAYA,YACHE KAMA YALIVYO!!huwa siisahau picha iliyo kwenye ubongo wangu,way back to 1980' wakati baba alipomnyang'anya mama mie,na mama akaondoka na mdogo wangu wa kike.....!!!!Aaaahhh...usinikumbushe machungu.....!!!THANKKS FOR THE THREAD HATA HIVYO....:tape2:
 
ah nimejikuta kila ninachoandika nazidi kumwaga michozi!
na bibie kasema hataki pole wala mtu amsorry sitaki kukanusha ombi lake!
ndo nikaona nijikalie tu kimya nisome ya wengine!

kuepuka hilo ungeacha kabisa kusoma kwani utakuwa unamtengenezea picha ambayo hata yeye hayupo hivyo pole sana kwa kulia..
 
Pole Smile. Nimepitiwa.
HAta kama chanzo ni baba which I doubt tumeshamsamehe na kukubali matokeo.
sasa kwa vile baba yako ni rafiki yako na mnaongea chochote ,kwa nini usimuulize shida ilikuwa nini maybe from source unaweza kujua yupo wapi? unaweza kukuta dad alimkuta na mtu/rafiki yake hv ....mi naona mzee wako ana majibu 80%
 
Naamini kabisa kwa imani yako atatokea tu, ila nahisi atafanya kupita tu!
 
forgive!
Kwa kuwa ni mwanamume,na pia niko ofisini......ningelia leo,hivi hivi......ningelia kwa sababu,story yako inafanan na yangu kwa kiasi flan.Ingawaje mimi najua mama yangu alipo,na sometime huwa naenda kumsalimia.Lakini sijawahi kummis MAMA.....simkumbuki,sijawahi kuonja upendo wake......Baba alikua kila kitu,though alipokuja mama wa kambo,cha moto nilikiona,ni katika vitu vilivyonifanya nisome kwa bidii mno,kwa sababu huyu mama alihakikiha ninajisikia pale nyumbani is not my home............Thanks God,I got a nice job,nice house,nice wife and a daughter as well!!!MAISHA HAYA,YACHE KAMA YALIVYO!!huwa siisahau picha iliyo kwenye ubongo wangu,way back to 1980' wakati baba alipomnyang'anya mama mie,na mama akaondoka na mdogo wangu wa kike.....!!!!Aaaahhh...usinikumbushe machungu.....!!!THANKKS FOR THE THREAD HATA HIVYO....:tape2:
 
If I could turn back time, rewind
If I could make it undone I swear that I would
I would make it up to you
Mom I’m all grown up now
I’ts a brand new day
I’d like to put a smile on your face everyday
Mom I’m all grown up now
And it’s not too late
I’d like to put a smile on your face everyday

​
Rogie, is this a song? I would like to listen to it please gimme details. My sentiments exactly.
 
Last edited by a moderator:
unadhani nalia ili ajue kuwa nalia!cam on ndetichia kama hujanielewa hebu relax bana!potezea sawa???
kuepuka hilo ungeacha kabisa kusoma kwani utakuwa unamtengenezea picha ambayo hata yeye hayupo hivyo pole sana kwa kulia..
 
Last edited by a moderator:
Kwa kuwa ni mwanamume,na pia niko ofisini......ningelia leo,hivi hivi......ningelia kwa sababu,story yako inafanan na yangu kwa kiasi flan.Ingawaje mimi najua mama yangu alipo,na sometime huwa naenda kumsalimia.Lakini sijawahi kummis MAMA.....simkumbuki,sijawahi kuonja upendo wake......Baba alikua kila kitu,though alipokuja mama wa kambo,cha moto nilikiona,ni katika vitu vilivyonifanya nisome kwa bidii mno,kwa sababu huyu mama alihakikiha ninajisikia pale nyumbani is not my home............Thanks God,I got a nice job,nice house,nice wife and a daughter as well!!!MAISHA HAYA,YACHE KAMA YALIVYO!!huwa siisahau picha iliyo kwenye ubongo wangu,way back to 1980' wakati baba alipomnyang'anya mama mie,na mama akaondoka na mdogo wangu wa kike.....!!!!Aaaahhh...usinikumbushe machungu.....!!!THANKKS FOR THE THREAD HATA HIVYO....:tape2:

duu pole sana kwa kukumbushiwa machungu..
 
Karucee umenigusa sana, hakika kama ni kweli basi sina la kusema. Ila tu fanya juhudi kufahamu mama yako aliko. Hata ndugu zake na kule mji mpya alikohamia hebu ulizia. Mama ni mama tu hata kama hakukulea. No more than your biological parents, especally mom ambaye alikubeba for 9 months. Pengine anaishi maisha ya tabu aliko, try to find out.
 
Pole majany. Pole for the hurt, Pole kwa uliyopitia kwa mama wa kambo, pole kwa kukosa malezi ya mama and all that. Sometimes pole doesnt ease the pain but I lacked words to make you feel better. Ila it is good to cry once in a while. Take care of your family na Mungu akuongoze.
 
Last edited by a moderator:
Karucee umenigusa sana, hakika kama ni kweli basi sina la kusema. Ila tu fanya juhudi kufahamu mama yako aliko. Hata ndugu zake na kule mji mpya alikohamia hebu ulizia. Mama ni mama tu hata kama hakukulea. No more than your biological parents, especally mom ambaye alikubeba for 9 months. Pengine anaishi maisha ya tabu aliko, try to find out.

what a feeling dude..
 
Kwa kuwa ni mwanamume,na pia niko ofisini......ningelia leo,hivi hivi......ningelia kwa sababu,story yako inafanan na yangu kwa kiasi flan.Ingawaje mimi najua mama yangu alipo,na sometime huwa naenda kumsalimia.Lakini sijawahi kummis MAMA.....simkumbuki,sijawahi kuonja upendo wake......Baba alikua kila kitu,though alipokuja mama wa kambo,cha moto nilikiona,ni katika vitu vilivyonifanya nisome kwa bidii mno,kwa sababu huyu mama alihakikiha ninajisikia pale nyumbani is not my home............Thanks God,I got a nice job,nice house,nice wife and a daughter as well!!!MAISHA HAYA,YACHE KAMA YALIVYO!!huwa siisahau picha iliyo kwenye ubongo wangu,way back to 1980' wakati baba alipomnyang'anya mama mie,na mama akaondoka na mdogo wangu wa kike.....!!!!Aaaahhh...usinikumbushe machungu.....!!!THANKKS FOR THE THREAD HATA HIVYO....:tape2:

Aise tuna historia. Wengine na mama zao wengine na baba zao!!! But maisha haya yametuimarisha na kuwa na maisha tuliyo nayo kwa sasa!! Thank you very much mom!! You are my sunshine!! Na ndiyo maana nikakuchukua niishi na wewe hata siku za maisha yako zitakapokoma duniani, nikakuzike jirani na the so called dad!!
 
Karucee umenigusa sana, hakika kama ni kweli basi sina la kusema. Ila tu fanya juhudi kufahamu mama yako aliko. Hata ndugu zake na kule mji mpya alikohamia hebu ulizia. Mama ni mama tu hata kama hakukulea. No more than your biological parents, especally mom ambaye alikubeba for 9 months. Pengine anaishi maisha ya tabu aliko, try to find out.

Hapo kwenye red, wala usiwe na doubt. Sina sababu ya kudanganya. Ndugu zake bwana tume give up, hawana cooperation yeyote. Ndio maana nimesema tumefika mwisho. Hatuna leads zozote na muda umeenda sana.
 
Aise tuna historia. Wengine na mama zao wengine na baba zao!!! But maisha haya yametuimarisha na kuwa na maisha tuliyo nayo kwa sasa!! Thank you very much mom!! You are my sunshine!! Na ndiyo maana nikakuchukua niishi na wewe hata siku za maisha yako zitakapokoma duniani, nikakuzike jirani na the so called dad!!
Zogwale, hapo kwenye red naomba ufafanuzi. Why so called?
 
Last edited by a moderator:
Dada kisa chako kizuri isipokuwa mi naushauri mmoja. Kama mtanzania anejivunia lugha yake ya taifa. Nikikuwa nashauri ukiandika mbeleni tumia kiswahili tu. Inatosha! Ukichanganya na lugha za wakoloni unachangia kudhaifisha kiswahili lugha iliyo tamu kuliko asali.
Ahsante kwa kusoma.

Acha hizo wewe. Mwisho utanza kusema watu wawe wanaandika kilugha hapa.

Kiswahili is not the mother tongue of most Tanzanians.
 
Back
Top Bottom