If Only Mama Could See Me Now. I Miss Her So So Much Jamani.

Acha hizo wewe. Mwisho utanza kusema watu wawe wanaandika kilugha hapa.

Kiswahili is not the mother tongue of most Tanzania.
EMT nimejikuta nacheka huku machozi yanatoka. lol
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Hapo kwenye red, wala usiwe na doubt. Sina sababu ya kudanganya. Ndugu zake bwana tume give up, hawana cooperation yeyote. Ndio maana nimesema tumefika mwisho. Hatuna leads zozote na muda umeenda sana.

Inaniuma Karucee, hakika ninadondosha chozi mtu mzima mimi. Ninahisi pengine kuna jambo lilitokea na hawezi kukuoneni wanawe. Si kawaida ya wanawake wengi huwa watoto wako attached na umbical cord kwa hiyo si rahisi kusahau. Jamani ninaamini una uelewa wa kutosha kabisa, find other means kama hao ndugu zake do not want to cooperate. Kaanzie pale kijijini kwa mama ulizia hata majirani. And I even doubt more, kwa nini hakutokea msiba wa mama yake? What happened. Dig it further. So painful.
 
EMT nimejikuta nacheka huku machozi yanatoka. lol

Pole. Unawezakuta jitu zima limesoma Kiingereza kuanzia darasa la tatu hadi chuo kikuu halafu linasizitiza kwa wengine watumie Kiswahili.

Yaani uzembe wake wa kutojua lugha anatupia kwa wengine. Atajibebea zigo lake mwenyewe.
 
thread zako huwa zinanipa raha lakini hii imeniliza!
imeniliza kwanza kwa maumivu
lakini pili kwa furaha!
YOU ARE MY GIRL!yu know tht!
NAKUPENDA bure!
thread yako ni zaid ya hii tunachokisoma hapa!
thread yako ina mengi sana!
zaid ya wewe kummiss mama!
dah!
sijui hata naongea nini!ngoja tu ninyamaze!
Karucee nimelia sana, am a man lakini nimelia sana tena nipo ofisini, bado naendelea kulia ........i remember my grandma, she died some years ago wherever she is please God take care of her, i beg you!!
 
Last edited by a moderator:
sasa kwa vile baba yako ni rafiki yako na mnaongea chochote ,kwa nini usimuulize shida ilikuwa nini maybe from source unaweza kujua yupo wapi? unaweza kukuta dad alimkuta na mtu/rafiki yake hv ....mi naona mzee wako ana majibu 80%
Smile tumeshafanya hivyo, and it seems Ma alitaka ku advance career yake at whatever cost. In any case, maswali yalizidi kichwani and we had to make a choice. Getting to know the truth that we couldnt handle at that age or picking the bits and moving on.
Whatever happened ceased to matter at one point. All that matters is knowing Mama is okay somewhere in this world.
 
Last edited by a moderator:
Zogwale, hapo kwenye red naomba ufafanuzi. Why so called?
Karucee our case was the opposite. Dad left mom kwenda mishe mishe za mjini na akazamia! Aliniacha na two years na mdogo wangu akiwa tumboni mwa mama!!! Mkubwa kwetu alikuwa 5 years!!! I first saw him when I was 19!!!!
He left again after spending three months at home!!!! Hana kitu!!! He was brought back a year later in a coffin!!! My mom is who I am today!!!
 
Karucee nimelia sana, am a man lakini nimelia sana tena nipo ofisini, bado naendelea kulia ........i remember my grandma, she died some years ago wherever she is please God take care of her, i beg you!!
oh jamani THEDEALER. I am so sorry. I did not mean to bring anyone pain by starting this thread. May your grandma rest in eternal peace wherever she is. May God make it easier for you. Dry your tears now. She is only a prayer away, so pray for her.
 
Last edited by a moderator:
Pole. Unawezakuta jitu zima limesoma Kiingereza kuanzia darasa la tatu hadi chuo kikuu halafu linasizitiza kwa wengine watumie Kiswahili.

Yaani uzembe wake wa kutojua lugha anatupia kwa wengine. Atajibebea zigo lake mwenyewe.
hakusoma hata novel moja? au alikuwa busy na magazeti ya udaku
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Karucee our case was the opposite. Dad left mom kwenda mishe mishe za mjini na akazamia! Aliniacha na two years na mdogo wangu akiwa tumboni mwa mama!!! Mkubwa kwetu alikuwa 5 years!!! I first saw him when I was 19!!!!
He left again after spending three months at home!!!! Hana kitu!!! He was brought back a year later in a coffin!!! My mom is who I am today!!!
Zogwale. MAskini. Sad indeed. so so sad. Apumzike kwa amani tu. Cherish your mama. SHe is the best kwa kweli.
 
Last edited by a moderator:
Karucee our case was the opposite. Dad left mom kwenda mishe mishe za mjini na akazamia! Aliniacha na two years na mdogo wangu akiwa tumboni mwa mama!!! Mkubwa kwetu alikuwa 5 years!!! I first saw him when I was 19!!!!
He left again after spending three months at home!!!! Hana kitu!!! He was brought back a year later in a coffin!!! My mom is who I am today!!!
oooh pole twin! hii thread hii full majonzi mashost zangu...
 
o
oooh Nicas Mtei, pole bro. Cheer up bana. In any situation nimejifunza kuangalia the positive side kama ipo.

Najua hlo. Nimependa jinsi ambavyo umejivunia situation zote za maisha ulizopitia. Pia nimependa jinsi ulivyokuwa mwingi wa imani.. Hongera sana
 
Last edited by a moderator:
Pole. Unawezakuta jitu zima limesoma Kiingereza kuanzia darasa la tatu hadi chuo kikuu halafu linasizitiza kwa wengine watumie Kiswahili.

Yaani uzembe wake wa kutojua lugha anatupia kwa wengine. Atajibebea zigo lake mwenyewe.

EMT siki hizi tuna Kiswanglish tu. Mimi ni victim pia!! My lord, have mercy on us!! And our children and grandchildren even weorse. Tena wao kiinglish zaidi kiswahili kidogo!! Wao tuseme Englishkiswa!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Pole. Unawezakuta jitu zima limesoma Kiingereza kuanzia darasa la tatu hadi chuo kikuu halafu linasizitiza kwa wengine watumie Kiswahili.

Yaani uzembe wake wa kutojua lugha anatupia kwa wengine. Atajibebea zigo lake mwenyewe.
ouch my ribs. EMT. anisamehe bure tu manake hicho ni kitu sitoweza kufanya.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Smile tumeshafanya hivyo, and it seems Ma alitaka ku advance career yake at whatever cost. In any case, maswali yalizidi kichwani and we had to make a choice. Getting to know the truth that we couldnt handle at that age or picking the bits and moving on.
Whatever happened ceased to matter at one point. All that matters is knowing Mama is okay somewhere in this world.
sijakupata hapo kuadvance carrier yake kivipi? hapo sijakuelewa..ila kuna watumishi kama wewe ni good believer..wanaombea watu waliopotea na wanarudi.
 
Ngoja nikuibie tu best, kwa kawaida wazazi wa kiume huwapenda na kuwajali sana wana wao wa kike.
Kawaida hupenda kuwalinda na kuwajali, na wengi wao hutafuta mke mwengine pengine wakidhani mwanamke huyo atakuwa mbadala wa mama yao.
Nina mifano mingi ya aina hii ya jirani yangu Karucee....
This one goes to all responsible daddies!!!

mh!!!ni wanaume wachache sana ambao wanaweza leo watoto wao after mama s death au depart wababa ni wazito sana katika malezi wazito sana na hawana chembe ya uchungu wa mwana anaweza mpeleka mtoto mahali anajua kabisa anaowakabidhi sio salama yeye anarudi kuoa mke mwingine na kula bujugwa kwa uhuru zaidi,nampongeza sana baba yako Karucee
 
Last edited by a moderator:
first time nilichosoma kwenye JF kimenitoa machozi....anyway sina la kusema @Karucee nachoweza kufurahi ni kwamba despite all that, umekuwa strong, focused and determined.
Big up sana, God Bless you na naomba wanao wasipitie uliyopitia.
nimefurah sana kusikia jinsi baba yenu alivowapenda...u know what...nilikuwa na-imagine mlivokuwa ndan ya overall wenyewe, mnatoa spanner (fix, ring, combination and adjustable)...kwa kweli mna baba mzuri.
Je daddy hakuwah waambia why aliachana na mama?
 
Ngoja nikuibie tu best, kwa kawaida wazazi wa kiume huwapenda na kuwajali sana wana wao wa kike.
Kawaida hupenda kuwalinda na kuwajali, na wengi wao hutafuta mke mwengine pengine wakidhani mwanamke huyo atakuwa mbadala wa mama yao.
Nina mifano mingi ya aina hii ya jirani yangu Karucee....
This one goes to all responsible daddies!!!
oh yeah watu8 jirani yangu. Cheers to all Daddies
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom