“If Only I could have this KISS Forever…..” TGIF!!!

“If Only I could have this KISS Forever…..” TGIF!!!

Well well well

Mimi ODM babu yenu Asprin

kwa moyo wa upendo na furaha. Kwa niaba ya mke wangu Masemere na mabinti zangu Matesha na Mamshanga..... Nawatakieni nyie woooote mliochangia hii yuziful sredi ya shem wangu Weekend njema! Mkawakiss muwapendao (sio muwatamanio)

Na hii hapa ni dedikesheni kwa soulmate, shem, na JF MMU members wote...

Penzi nimeshawapeni,
Tafadhali pokeeni,
Nimewakiss moyoni,
sitowatoeni katu.

Mmekuwa wema kwangu,
Shahidi yangu ni Mungu,
Nawakaribisheni kwangu,
Nyoyo zenu ziwe zangu.

Na dua ntawaombea,
Mola atawajalia,
Yote mema ya kufaa,
Yaongoze zenu nia.

Amina tena Amina,
Nasema tena Amina,
Amina tena Amina
Itikieni Amina.

Na Big Brother ODM (Asprin)
Kaunta Ya Juu
Boko Basihaya.

Aksante Babu ubarikiwe (afu hiyo Soulmate si nilidhani ina copyright babu??)
Kiss
 
kutakua na darasa la practiko kabisaa. natumaini umechukua fomu only 50 $ kwa mtoa mada.
nb: natamani ile signature yako ya mjukuu mtiifu, nahisi kama ww ni mtii na mnyenyekevu,naam, hata wakati wa kukiss na kikissiwa

AshaDii..................Aksante sana kwa hii thread leo mie tangu asubuhi nimekaa na notebook yangu hapa. Niko darasani jamani!
 
Well well well

Mimi ODM babu yenu Asprin

kwa moyo wa upendo na furaha. Kwa niaba ya mke wangu Masemere na mabinti zangu Matesha na Mamshanga..... Nawatakieni nyie woooote mliochangia hii yuziful sredi ya shem wangu Weekend njema! Mkawakiss muwapendao (sio muwatamanio)

Na hii hapa ni dedikesheni kwa soulmate, shem, na JF MMU members wote...

Penzi nimeshawapeni,
Tafadhali pokeeni,
Nimewakiss moyoni,
sitowatoeni katu.

Mmekuwa wema kwangu,
Shahidi yangu ni Mungu,
Nawakaribisheni kwangu,
Nyoyo zenu ziwe zangu.

Na dua ntawaombea,
Mola atawajalia,
Yote mema ya kufaa,
Yaongoze zenu nia.

Amina tena Amina,
Nasema tena Amina,
Amina tena Amina
Itikieni Amina.

Na Big Brother ODM (Asprin)
Kaunta Ya Juu
Boko Basihaya.

Sasa naona lile darasa la Ushairi nilikua nachukua inabidi niwe serious...
For this WONDERFUL and BEAUTIFUL post deserved a better answer
from your Shem..... Nimeipenda ODM na pia Asante kwa kushiriki pia...
Usisahau kusalimia those beautiful sweat hearts.... Mama Matesha usiangaike
tusha onana hivo tusha salimiana....

THANK YOU for the dedication.... Be good (always)
 
u ar a super star, zinatosha kabisaa. sasa tupitie duka la the finest tununue kwanza handbags na viatu. ila inabidi uwe karibu manake kaniporomoshea ma-kiss hapa sijui ya bubble gum na bath kufanyaje kufanyaje hadi miguu ikavunjika!
the boss usimjali, tutatumia mgambo wa jiji,majasho yatamkimbiza manake anajidai na vi-designer cologne!
Muwahi kabla duka halijafungwa kuna size yako kabisa wewe si unapenda Christian Louboutin Shoes mwambie na AshaDii viatu vyake vya Jimmy Choo vimefika
 
wifi, nimekumbuka tu ulivyokubali sweetie wako nimuite shem (ambayo ingemfanya ODM kuwa shem wangu pia), ila ukaanza kuogopa giza la tanesco ukasema awe kaka. unajua wifi yako nilivyo mtii kwako na kwa kaka yako, ndo maana nikamjibu ODM hivyo. samahani kwa confusion, leo nitakuja jioni tuongee uzuri manake ODM anatoroka hapo...najua pa kumtega (kwenye kibuyu)

ha ha ha.... Kwa vitendo nakuaminia.... ODM will get in line tu! (alafu msimamo wa kumwita kaka uko pale pale....lol)
 
i realy like this things dont know why bt anyway nice wikend

Harakati it is because they can not be properly explained but felt..... Thank you and have a lovely weekend.
 
kutakua na darasa la practiko kabisaa. natumaini umechukua fomu only 50 $ kwa mtoa mada.
nb: natamani ile signature yako ya mjukuu mtiifu, nahisi kama ww ni mtii na mnyenyekevu,naam, hata wakati wa kukiss na kikissiwa

King'asti wala sitokosa.........ninavyopenda lol

MJ1 upo?? why ulikuwa unachungulia tu muda wote bila kuutendea huu uzi "ze needful"??
Madabwada jamani missing you ujue. Nipo leo nimejikuta sina cha kuchangia kwani nondo zilizoshushwa humu si za kitoto. I salute wachangiaji wote.
 
AshaDii..................Aksante sana kwa hii thread leo mie tangu asubuhi nimekaa na notebook yangu hapa. Niko darasani jamani!

MJ1 yaani we umetubania huko ..... Mbu kajibalaguza hapa mpaka kaondoka....lol... Hebu lete yalo pwaya basi....
 
u ar a super star, zinatosha kabisaa. sasa tupitie duka la the finest tununue kwanza handbags na viatu. ila inabidi uwe karibu manake kaniporomoshea ma-kiss hapa sijui ya bubble gum na bath kufanyaje kufanyaje hadi miguu ikavunjika!
the boss usimjali, tutatumia mgambo wa jiji,majasho yatamkimbiza manake anajidai na vi-designer cologne!

I have also insured my kisses lol!!!

Naona you guys have decided to crack me up!!! Lmao.....
 
tena twataka the highest heels,lol!
nakuaminia. usifunge duka banaa, ur loyal customers wako njiani. we need matching skin tites pia (zile zilizokatazwa humu)
i hope ile chilled champagne for loyal customers haitokosekana eeh
Muwahi kabla duka halijafungwa kuna size yako kabisa wewe si unapenda Christian Louboutin Shoes mwambie na AshaDii viatu vyake vya Jimmy Choo vimefika
 
Back
Top Bottom