“If Only I could have this KISS Forever…..” TGIF!!!

“If Only I could have this KISS Forever…..” TGIF!!!

since i hate saliva showers,mmmh! well, unless the kisser's mouth stinks like a tank of stale beer, lets leave the bubble gum behind..
ashadii, wanafunzi wanaanza kupata tuisheni b4 hawajalipa ada hawa?
Never mind, there's bubble bath kiss kama unaona inakuzingua we can go for Bottom Lip Kiss if that's too sweet we will add a Belly Button Shot Kiss definitely hii hauwezi kuruka then we will finish with a Breath Kiss by that time i guess utakuwa umetosheka do you want more?????
 
:confused3: babu unanionea sob, sob sob!
yaani shem wako namaanisha ADI (babu's shemeji). siku ingine ukinigombeza ntaongea kimang'ati afu nione utasemaje!

Nawe siku hizi huna adabu? Yani tangu lini aliyeniolea mjukuu wangu nikawa shemeji yake? Tena akome na kukomaga!
 
i got weak knees baby boy, hebu punguza mwendo! hujaona kibao cha 30 kms/hr, kuna shule ya msingi hapo kwenye kona. kha!

sasa ku-type jina unajing'ata ulimi, kukiss unakiss aje babu? kazi ipo.. ngoja nipangiwe jina la kuitwa nawe manake shem wako ana wivu huyo kama nyigu,lol

Nawe siku hizi huna adabu? Yani tangu lini aliyeniolea mjukuu wangu nikawa shemeji yake? Tena akome na kukomaga!

Ukisikia ADI njia panda ndo hapa!!!! lol
 
Well well well

Mimi ODM babu yenu Asprin

kwa moyo wa upendo na furaha. Kwa niaba ya mke wangu Masemere na mabinti zangu Matesha na Mamshanga..... Nawatakieni nyie woooote mliochangia hii yuziful sredi ya shem wangu Weekend njema! Mkawakiss muwapendao (sio muwatamanio)

Na hii hapa ni dedikesheni kwa soulmate, shem, na JF MMU members wote...

Penzi nimeshawapeni,
Tafadhali pokeeni,
Nimewakiss moyoni,
sitowatoeni katu.

Mmekuwa wema kwangu,
Shahidi yangu ni Mungu,
Nawakaribisheni kwangu,
Nyoyo zenu ziwe zangu.

Na dua ntawaombea,
Mola atawajalia,
Yote mema ya kufaa,
Yaongoze zenu nia.

Amina tena Amina,
Nasema tena Amina,
Amina tena Amina
Itikieni Amina.

Na Big Brother ODM (Asprin)
Kaunta Ya Juu
Boko Basihaya.
 
i got weak knees baby boy, hebu punguza mwendo! hujaona kibao cha 30 kms/hr, kuna shule ya msingi hapo kwenye kona. kha!
Alright alright let me slow down but remember..........I have enough kisses to last you the rest of your life, unless I die
 
Well well well

Mimi ODM babu yenu Asprin

kwa moyo wa upendo na furaha. Kwa niaba ya mke wangu Masemere na mabinti zangu Matesha na Mamshanga..... Nawatakieni nyie woooote mliochangia hii yuziful sredi ya shem wangu Weekend njema! Mkawakiss muwapendao (sio muwatamanio)

Na hii hapa ni dedikesheni kwa soulmate, shem, na JF MMU members wote...

Penzi nimeshawapeni,
Tafadhali pokeeni,
Nimewakiss moyoni,
sitowatoeni katu.

Mmekuwa wema kwangu,
Shahidi yangu ni Mungu,
Nawakaribisheni kwangu,
Nyoyo zenu ziwe zangu.

Na dua ntawaombea,
Mola atawajalia,
Yote mema ya kufaa,
Yaongoze zenu nia.

Amina tena Amina,
Nasema tena Amina,
Amina tena Amina
Itikieni Amina.

Na Big Brother ODM (Asprin)
Kaunta Ya Juu
Boko Basihaya.
Alright Babu nitakuja jioni kumkiss Matesha, i mean kiss ya kwenye paji la uso (Huyu mzee anaweza kuua mtu hapa)
 
since i hate saliva showers,mmmh! well, unless the kisser's mouth stinks like a tank of stale beer, lets leave the bubble gum behind..
ashadii, wanafunzi wanaanza kupata tuisheni b4 hawajalipa ada hawa?

Nilowandikisha wametoa pesa ya form.... $50 si inatosha Wifi King (kama ada ya form??)

mh, the boss sio repeater huyu? manake shida ya marepeater huwa wanapenda kufanya demo na mwalimu! asije akaning'ata buree!

The Boss ni tripple repeater.... I am worried about him you know....lol
 
wifi, nimekumbuka tu ulivyokubali sweetie wako nimuite shem (ambayo ingemfanya ODM kuwa shem wangu pia), ila ukaanza kuogopa giza la tanesco ukasema awe kaka. unajua wifi yako nilivyo mtii kwako na kwa kaka yako, ndo maana nikamjibu ODM hivyo. samahani kwa confusion, leo nitakuja jioni tuongee uzuri manake ODM anatoroka hapo...najua pa kumtega (kwenye kibuyu)
Ukisikia ADI njia panda ndo hapa!!!! lol
 
hehehe,dude! u ar scaring me! i will have to talk to ur insurance provider, usije ukafa this xmas nikala hasara mie. manake kama memories zenyewe ndo za ku-linger on for the rest of my life,mweh!
Alright alright let me slow down but remember..........I have enough kisses to last you the rest of your life, unless I die
 
:confused3: babu unanionea sob, sob sob!
yaani shem wako namaanisha ADI (babu's shemeji). siku ingine ukinigombeza ntaongea kimang'ati afu nione utasemaje!

Dah! Hapa kakuonea kabisa..... Usijali wifi King... nitaongea nae, ndo matatizo ya kuungana wanandugu inachanya saana sometimes....lol
 
u ar a super star, zinatosha kabisaa. sasa tupitie duka la the finest tununue kwanza handbags na viatu. ila inabidi uwe karibu manake kaniporomoshea ma-kiss hapa sijui ya bubble gum na bath kufanyaje kufanyaje hadi miguu ikavunjika!
the boss usimjali, tutatumia mgambo wa jiji,majasho yatamkimbiza manake anajidai na vi-designer cologne!

Nilowandikisha wametoa pesa ya form.... $50 si inatosha Wifi King (kama ada ya form??)

The Boss ni tripple repeater.... I am worried about him you know....lol
 
Back
Top Bottom