“If Only I could have this KISS Forever…..” TGIF!!!

“If Only I could have this KISS Forever…..” TGIF!!!

MJ1 yaani we umetubania huko ..... Mbu kajibalaguza hapa mpaka kaondoka....lol... Hebu lete yalo pwaya basi....

Lol AshaDii wala sijawabania jamani hii thread hii......................... labda niwe naisoma na Mbu karibu maana mh!! (Huku kweut maji yamekatika lol)
 
King'asti wala sitokosa.........ninavyopenda lol


Madabwada jamani missing you ujue. Nipo leo nimejikuta sina cha kuchangia kwani nondo zilizoshushwa humu si za kitoto. I salute wachangiaji wote.

hahaahaaaa umeona eehh ... yaani ilibidi wengine tujitizame tumekaa na nani karibu ... tukaishia kuomba nondo zipunguzwe ukali manake watu walikuwa wanafunguka balaa!!
 
tena twataka the highest heels,lol!
nakuaminia. usifunge duka banaa, ur loyal customers wako njiani. we need matching skin tites pia (zile zilizokatazwa humu)
i hope ile chilled champagne for loyal customers haitokosekana eeh
Everything is available and i have the champagne you love the most, a single Appellation d'Origine Controlee the grapes of this Champagne are from white the Chardonnay, AshaDii will love the smooth sparkling of this Champagne
 
AshaDii kwenye notebook yangu kuna pahala nilinote Mbu akisema kuna wengine wana 'mwanya' so ni bora akastick kwenye vicheek na peck kisses?? Ulimwuliza kazi au raha ya mwanya ni nini? maana kuna wengine wanafikiria kuwa mwanya ni upendeleo tu mtu alopewa ili aweze kuingiza oksijeni kwa wingi mdomoni!!
I wish ningekuwa nao!!
 
I wish you could open my heart and observe what is inside there
You can write a book
Ila huwa nasema kile kidogo ambacho nimeweza kukisema na kukitoa ndani ya moyo
Great moment, pleassure, enjoyment, fantasy, wou need i say more
TF karibu kwenye huu ulimwengu
Will get there brother, nataka nihakikishe leo King'asti mwili mzima akitembea barabarani unawaka makisses tu hadi kwenye vidole lol
 
Lol AshaDii wala sijawabania jamani hii thread hii......................... labda niwe naisoma na Mbu karibu maana mh!! (Huku kweut maji yamekatika lol)



Khaaaaa!!! UMENIMALIZA.... For sikutegemea hapo pengine..... Ngoja nimtafute Mbu popote alipo!!!
 
Everything is available and i have the champagne you love the most, a single Appellation d'Origine Controlee the grapes of this Champagne are from white the Chardonnay, AshaDii will love the smooth sparkling of this Champagne

Hey hayo maandalizi ya darasa la KISSING ama Romancing??? Khaaa!! lol

AshaDii kwenye notebook yangu kuna pahala nilinote Mbu akisema kuna wengine wana 'mwanya' so ni bora akastick kwenye vicheek na peck kisses?? Ulimwuliza kazi au raha ya mwanya ni nini? maana kuna wengine wanafikiria kuwa mwanya ni upendeleo tu mtu alopewa ili aweze kuingiza oksijeni kwa wingi mdomoni!! I wish ningekuwa nao!!


Kweli Mtu chake.....lol... yaani mie hapa kwa mwanya sijaona kabisa.... Itabidi niparudie.....
 
Alafu acha mzaha.... Nisha tuma docs nimekwambia....lolz

hahahahaaaa ... were they really sealed?? hope they have arrived safely!! nice weekend jamani, and thanx for the nice thread! my kisses on the cheeks only ... l.o
 
sangara, ada ni 50 $, hebu tanguliza kwanza. ila tunaweza kulipwa in kind with sangara fillets,lol


Hivi Wifi King' are you SURE ni Kissing Class?? Maandalizia yanitisha kumbuka
List yenyewe ya wanafunzi.....lol.... (Teamo, ODM, MTM, BOSS) Vingine punguza, i am worried you know??
 
Hey hayo maandalizi ya darasa la KISSING ama Romancing??? Khaaa!! lol
King'asti said it's on she not going back home this weekend dah sijui ndio tunaelekea kwenye SRM hata sielewi lol!!
 
Back
Top Bottom