I love you ADI."Whenever you are confronted with ADI Conquer her with love."
ADI, ungenitaja kama mwalimu hapa nadhani tangazo lingeuza zaidi. wanafunzi,msiogope,bunduki imeshikiliwa na polisi hadi uchaguzi wa igunga upite naendelea kujiorient na wanafunzi,nijue weaknesses zao na strength ili niweze ku-address opportunities na threats,lol (SWOT)
yaani hiyo kumbukumbu mpaka nimeshangaaa!! ... anyways ... malizana na ODM kwanza ... l.o.l
Au akikataa nitampa Back KissesMhhh welcome again Mr. Lover man
Ohhh na another title lecturer wa Kiss
Kweli mkuu ila la muhimu ni kupambana nao bana
(Na una bahati leo nimetoka na upinde nikasahau mishale)ha ha ha.... Nina kumbukumbu ya Tembo hasa kama yanihusu Directly....
ODM hana shida for yupo very understanding.... namforwadia signed docs zooote....lol
(tatizo nae shem wangu hana mzaha... analinda mno....lol)
Copied and Filed.Oh! You Great Shem of mine..... ADI Loves you too....
Shem hebu nikumbushe ulinambia huyu mtu nimwiteje? Nimekoma kung'ata ulimi kutype jinale.
kaka sidhani kama tunahitaji kupambana nao ... we need to guide them to get through!
King'asti do you like Bubble Gum Kiss??
Mr.Rocky hivi ni kweli hujamuelewa nyumba kubwa au una twist & turns tu? lol...
nyumba kubwa...hivi inawezekana ee? ---a kiss--- tayari baba mwenye nyumba anausahau uzazi wa mpango?
lakini hakuna mbaya iwapo lengo ni kuamsha hisia....lol....kuna watu wana mfadhaiko balaaa...hahhahah....
Nawe siku hizi huna adabu? Yani tangu lini aliyeniolea mjukuu wangu nikawa shemeji yake? Tena akome na kukomaga!sasa ku-type jina unajing'ata ulimi, kukiss unakiss aje babu? kazi ipo.. ngoja nipangiwe jina la kuitwa nawe manake shem wako ana wivu huyo kama nyigu,lol
Au akikataa nitampa Back Kisses
Mbona kwamba wee mwalimu ipo wazi kabisa!!! lol.... PA kataja hilo na nasikia mwanafunzi wako wa kwanza ni The Boss!!
(Na una bahati leo nimetoka na upinde nikasahau mishale)
Copied and Filed.
Wenye wivu wakameze viwembe, sie twajilia ma-albatar na kuchumiana makiss ya malovee kwa kwenda mbele...
I love the invisble.... thats a bit naughty considering the source.....lol
(alafu nilikua naangalia huo ubishani wa R' kwa NK nakataka ona wapi inafika kumbe nawe umeona...)
ha ha ha.... Nina kumbukumbu ya Tembo hasa kama yanihusu Directly....
ODM hana shida for yupo very understanding.... namforwadia signed docs zooote....lol
(tatizo nae shem wangu hana mzaha... analinda mno....lol)