AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,117
- Thread starter
- #241
Mbu mi nakubaliana na wewe pamoja na Shantel kwamba kiss is everything kwenye mapenzi na hasa kwa wale wanaopendana kwelikweli bila kuchakachua hilo penzi. Ndio maana nikasema "that one was greeat" lakini pia naomba kusisitiza kuwa haukuwa mwisho wa dunia na ninaamini the best is yet to come na ndio maana .......sina sababu ya kujuta kabisa.........................lol
Thank you for this post..... Maana nakabwa huku kua haina umuhimu... (Sijui Teamo na MTM wataisoma) lol