“If Only I could have this KISS Forever…..” TGIF!!!

Soulmate najua umeibiwa password hapa na TF
please tell me im right
Ashadii, kissing ni kitu kizuri , ila bana ukikaa sana kwa ndoa kama tunasahau umuhimu wake, na kujali kitu kimoja tu
then anabaki mwanamke peke yake anayeona umuhimu wa kukiss, yaani unaweza kaa muda mpaka ukajiuliza kwa nn
ila mambo mengine yanaendelea na unafurahia tu, ila mimi kama mimi napenda sana ku kiss
 
unaona sasa?? I do have most romantic moments i always remember, but kissing alone?? Hell no

coz kissing is always like pizza toppings

when i kiss, my hands become busier that almost any other part of my body
Hivi kwa nn wanaume huwa hawaonei umuhimu sana wa kukiss?
mie naweza kumbuka kissing kuliko sex yenyewe, why?
 
Ashadii, kissing ni kitu kizuri , ila bana ukikaa sana kwa ndoa kama tunasahau umuhimu wake, na kujali kitu kimoja tu
then anabaki mwanamke peke yake anayeona umuhimu wa kukiss, yaani unaweza kaa muda mpaka ukajiuliza kwa nn
ila mambo mengine yanaendelea na unafurahia tu, ila mimi kama mimi napenda sana ku kiss

Umeona eeeh?? These guys sometimes wapo so selfish....lol
 
Hivi kwa nn wanaume huwa hawaonei umuhimu sana wa kukiss?
mie naweza kumbuka kissing kuliko sex yenyewe, why?

The Kiss nurtures our feelings (which with men feelings zina rely mo' on their juniors where as sisi with our hearts...)
The Sex nurtures satisfaction (whereas inahusisha direct contact ya maeneo husika kuweza furahia.. which most women rarely want)
 
Ashadii, kissing ni kitu kizuri , ila bana ukikaa sana kwa ndoa kama tunasahau umuhimu wake, na kujali kitu kimoja tu
then anabaki mwanamke peke yake anayeona umuhimu wa kukiss, yaani unaweza kaa muda mpaka ukajiuliza kwa nn
ila mambo mengine yanaendelea na unafurahia tu,
ila mimi kama mimi napenda sana ku kiss

Hivi kwa nn wanaume huwa hawaonei umuhimu sana wa kukiss?
mie naweza kumbuka kissing kuliko sex yenyewe, why?

....lol....gaga kama umenisoma kwenye posting yangu hapo nyuma post # 251 , nilishalijibu hili ki mtazamao wangu.
pole sana...ndio kusema hata zile kisses wakati wa huo ---uwajibikaji wa lazima--- pia zinasahaulika?
huo ni ubahili wa hali ya juu,... pole sana...
 
The Kiss nurtures our feelings (which with men feelings zina rely mo' on their juniors where as sisi with our hearts...)
The Sex nurtures satisfaction (whereas inahusisha direct contact ya maeneo husika kuweza furahia.. which most women rarely want)

...lol...ama leo umetuamulia kina baba, na asiyesoma na kuelewa haya,
amejiamulia kwa makusudi kumnyima mkewe haki yake.

...the user; mbu says thanks to ashadii for this very useful thread...
 
Hivi kwa nn wanaume huwa hawaonei umuhimu sana wa kukiss?
mie naweza kumbuka kissing kuliko sex yenyewe, why?
Wanaume tunatofautiana
Kissing is so important to me
And when a man loves a woman...... ni very hatari dadaa!
Even aki sneeze.... it hurts me so bad!
 
....lol....gaga kama umenisoma kwenye posting yangu hapo nyuma post # 251 , nilishalijibu hili ki mtazamao wangu.
pole sana...ndio kusema hata zile kisses wakati wa huo ---uwajibikaji wa lazima--- pia zinasahaulika?
huo ni ubahili wa hali ya juu,... pole sana...

The above post imenichekesha yaani hadi nimetoa sauti!!! lol.... inakua kama ugomvi sijui?? lol... Dah!

The Owner of the Post humbly accepts... and Reciprocates the "Thank you" part....
(toka umeanza kusoma upo page ya ngapi?? maana mimi mwenyewe bado nipo kama ya 8.... lol)
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Dah! Weee KIBOKO!! lol.... hapo kwenye color pamenivunja mbavu.....
 
Ha ha ha! embellishment sells the book!!
But for real, men can be crazy in love too!
 
I know Soby... I know it for a fact for i have been Lucky to meet one.....
 
The above post imenichekesha yaani hadi nimetoa sauti!!! lol.... inakua kama ugomvi sijui?? lol... Dah!

The Owner of the Post humbly accepts... and Reciprocates the "Thank you" part....
(toka umeanza kusoma upo page ya ngapi?? maana mimi mwenyewe bado nipo kama ya 8.... lol)

...we acha tu, nasoma kwa raha zangu dondoo zote muhimu, halafu nikisoma hawa; There are currently 40 users browsing this thread. (20 members and 20 guests)
...hivi amechangia leo hapa? na miss inputs zake...
 
Gaga Mpenzi usijali... Shantel ni mjukuu tu!! Alafu kakutafuta kweli yaani.... hadi kule kwenye COMPLAINTS kakutafuta na kulalama anahisi kuibiwa...lol... Haya basi hebu tell me KISS gani unaikumbuka (i hope ni ya ODM...lol..thou nina wasi.)
Tell her my darling shem, hebu mwambie tena labda atakuelewa. Afu mwambie nahitaji maelezo ya kwanini nisimchukulie hatua za kinizamu ya kumbania kiss kwa miezi mitatu mfululizo kwa kosa la kumtelekeza ODM kwa masaa mawili mfulullizo. Afu akuambie alikokuwa. Sawa eh?

Ashadii, kissing ni kitu kizuri , ila bana ukikaa sana kwa ndoa kama tunasahau umuhimu wake, na kujali kitu kimoja tu
then anabaki mwanamke peke yake anayeona umuhimu wa kukiss, yaani unaweza kaa muda mpaka ukajiuliza kwa nn
ila mambo mengine yanaendelea na unafurahia tu, ila mimi kama mimi napenda sana ku kiss
Soulmate taratibu, utaanza kutoa siri zetu ujue....

Hivi kwa nn wanaume huwa hawaonei umuhimu sana wa kukiss?
mie naweza kumbuka kissing kuliko sex yenyewe, why?
Ayaaaaaaaaaaa! Ushaanza kunianika kwenye mvua........Kha!
 
...we acha tu, nasoma kwa raha zangu dondoo zote muhimu, halafu nikisoma hawa; There are currently 40 users browsing this thread. (20 members and 20 guests)
...hivi amechangia leo hapa? na miss inputs zake...

ha ha ha.... Mie nahisi labda ulimchimba beat.... Maana nilitaka saana nijue her share of Kisses na zipi za msisimua.....lol... Hebu mbembeleze basi atuambie hapa....lol
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hivi kwa nn wanaume huwa hawaonei umuhimu sana wa kukiss?
mie naweza kumbuka kissing kuliko sex yenyewe, why?
Kissing is one of the most important compoent inayo-form romance, sidhani kama wanaume hawaoni umuhimu wa kiss; but it always goes with some "extras"

I love kissing, but i think i love ROMANCE (kisses, talking, touchy etc) more
 
Back to the topic... nimeenda Uzi wa MJ1 ku copy na kupaste
Kwenye uzi wa SRMs one of the Kisses I so Love....

One of my speacial romantic moment happens in a nip...
a nibble kiss on my neck just below my left ear.. him
standing from the back.. not wanting do go third base
but just kissing for the sake of kissing... It always works
wonders... and It infuses my whole with so much love...

(alafu Mbu hua najisaha... hio topic gets me carried away....)
Shem.... shem.... shem....! Watch your steps! Ohooooo! Si unajua nlivyo mbea? Shauri yako!
 
....lol....gaga kama umenisoma kwenye posting yangu hapo nyuma post # 251 , nilishalijibu hili ki mtazamao wangu.
pole sana...ndio kusema hata zile kisses wakati wa huo ---uwajibikaji wa lazima--- pia zinasahaulika?
huo ni ubahili wa hali ya juu,... pole sana...
Wanaume wachace sana wanathamani mmbo ya kukiss, labda awe wa ki western sanasana, hawa wetu tunaokutana nao kwenye kiti moto mhhh
yaani kiss sio saana
 
Kissing is one of the most important compoent inayo-form romance, sidhani kama wanaume hawaoni umuhimu wa kiss; but it always goes with some "extras"

I love kissing, but i think i love ROMANCE (kisses, talking, touchy etc) more
Kwani we agemate, hii kissing inayozungumziwa si ndo mwanzo wa muendelezo wa hiyo makitu?...........hasa kwenye hiyo red hapo siyo? I will be damned if am wrong.... where is my Shem....? Clarifications tafazali, kama unahofia waweza nielezea kwenye mtaa wa pili kule lol
 
Tell her my darling shem, hebu mwambie tena labda atakuelewa. Afu mwambie nahitaji maelezo ya kwanini nisimchukulie hatua za kinizamu ya kumbania kiss kwa miezi mitatu mfululizo kwa kosa la kumtelekeza ODM kwa masaa mawili mfulullizo. Afu akuambie alikokuwa. Sawa eh?!

Shem mbona hio adhabu kali saana?? Punguza bana... Khaa!! (alafu nimemwita ili aone yoote haya na muyamalize)
 
Back
Top Bottom