“If Only I could have this KISS Forever…..” TGIF!!!

Jamani Asha nimekuelewa lakini hapa si tunaongelea watu wazima ambao wameshachakachuliwa hadi wakachachulika,how do you get orgasm kirahisi hivo?

Alafu wewe Bishanga you brag of being mhaya... yawezekana nayo katerelo ime play part wewe kushindwa for ukizoea hio kweli kisses hazioni kitu...(sina nia mbaya... i am trying kukuelewesha, siamini kua you can not)
 
N'take radhi babu Asprin....hahaa, umenivunjia heshma bana...mi ni boy..alaaaaah
Kabla sijakutaka radhi, hebu nenda ka-edit hii post bana....hasa kwenye hiyo red!

Hapo ndipo ninapotofautiana na AshaDii, kissing peke yake???mmh, sio peke yako wengi bado hatujafikia kilele cha mafanikio kwa hili bila finger walk!!
 
Sio hivyo dia ni kitu ambacho kiukweli siwezi kusahau kirahisi labda itokee nyingine itakayo izidi ile. It was long time but can remember it like jana. Ila mi sikufika huko ulikosema but was greeeeeeeeaaat. (Ashadii jamani mi sipendi kukumbuka hizi vitu vya zamani cos im no longer living that kinda life, u know what i mean.......lol)

Aiiseee the mabano has closed this mouth of mine....lol (at least you have something to remember)
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
AshaDii naona nikutafute face to face unipe nini hasa wamama wanapenda kutendewa inaonyesha uko vizuri sana hilo eneo. Mimi huwa nafikiria kumrizisha mwenzangu ni kule kumpelekea round nne tano na zoote anacheki na kilele kumbe kuna vishoti kati kibao. Na mbaya zaidi sisi wengine kuna kamfumo dume kabaya hata kama humrizishi mwenzako ni vigumu sana kukupa feedback negative
 
Aiiseee the mabano has closed this mouth of mine....lol (at least you have something to remember)

...mmnh, halafu hamna kitu mbaya kama hiyo...yaani ukikumbukia, unabakia kuijutia tu nafsi yako...
aaahh, hebu nijitahidi kuisoma vyema hii sredi mie,....nisijeachwa na soulmate kwa uvivu wa kujifunza.
 
Katika kuzungumzia "The Power of a Kiss" in general,mimi ningependa kugusia "The First-time Kiss in particular". Nitazungumzia aina tau, pengine zipo nyingi.

Kwanza ni lile libusu la kuiba, ambapo mmoja bila kutarajia, anakutia analimwa busu. Linaweza kiangukia popote, lakini kama sio busu la woga na kutojiamini, linatua mdomoni. Iwapo mlengwa tayari alishakuwa na feelings juu ya mlenga, au kwa maneno mengine ikiwa kuna "chemistry" baina yenu, hili busu linakuwa poa sana ambapo kila mmoja wenu angetamani hiyo ya "If Only this kiss will end for ever". Lakini ikiwa hamna mvuto, mlengwa jitayarishe na kukwepa kibao cha nguvu shavuni, mshonya mkali na matusi kedekede pamoja na ONYO KALI kuwa usirejee tena.

Aina ya pili ya busu la mara ya kwanza ni ile ya kuomba ruhusa, "May I kiss you?". Kukiwa na mvuto baina yenu, mlenga (mara nyingi "he") anakuwa kama ametimiza tu ule wajibu wa kutupa mwanzo jiwe, I mean, kutamka, jambo ambalo mlengwa amekuwa akilisuburi kwa hamu. Na aghlabu jawabu ya suala hilo sio NDIO au "Why not?", bali ni she mwenyewe anayejibu kwa busu. Kwanza busu dogo tu, pengine na jengine na jengine dogo kabla ya kuanza kuchanganya. It's really wonderfull. Why it shouldn't end forever?

Aina ya tatu ya busu la mara ya kwanza ni pale mnapokaa uso kwa uso, hakuna anayesema neno, kimya kinatawala lakini nafsi zinavinjari... Ghafla, kama mlovutwa kwa smaku, mnaishia kubusiana mutually. Katika aina zote tatu, busu ya aina hii ni baora zaidi kwani hukuiba wala hukuomba, bali hisia baina zenu ndizo zilizowafikisha hapo. It should end forever!
 
Hizo hapo juu nilotoa ni exception Bishanga.... Hayo Mapenzi ulosema sio ya Kihaya... ni ya mwanamke yoyote mjuvi, for me as a woman nataka nihakikishe at all cost kua mume wangu aone nyumbani is the BEST place ya kua NO matter the mood... awe happy, depressed, sad or emotional... nahakikisha kua apate yale yalo ya msingi kwake iwe chakula, taking care of my home, making sure he eats properly and most of all making sure he gets a Great lay (kwamba hata akitoka hapa atarudi tu!) That aside hio ni moja ya njia ya kama kuchezeana tu... mwaweza jaribu hivo then mkishindwa si mnaenda third base hakuna cha kukwamisha - ili mradi msifanye hivo kama dada yupo msituni na mnajua kwa njia hio hamfiki.....
Mammy hapo sina la kuongeza,ngoja binti yangu akue kidogo (she is 17) nitamleta kwako umfunde!
 
...kwa mfano wewe kidume umeoa....!again unatoka kazini ''aidha wewe ni registered mechanical engineer''...unaendesha crane.unapokaribia home unaamua kupita baa/grocary!unapiga mambo yako paleeee!kiroba+bia,Kiroba+bia,kiroba+bia,kiroba+bia,kiroba+bia,....and the rounds goes on!ukitoka hapo unakata stim za pombe na ''bange''.halaf the worst thing hiyo ndo inakuwa routine 24/7/365.

.....biashara ya kiss inakuwaje hapo wakinamama?

Sasa huo uonevu Teamo... that routine 24/7... hapo hamna ndoa... na IMO bora niachie ngazi for ndoa ya kuigiza kwangu sio kabisa!! Wengine tunatumia so much energy kuhakikisha kua Your kids, hubby are happy, sasa wee kama mwanaume uwe na hiyo routine bila hope ya kuisha na wala hamna kilicho trigger ni tabia tu ambayo ipo chronic... Kitu gani tena kinikalishe?? maana hapa hata tendo la 6/6 sidhani kama lipo tena....
 
...kwa mfano wewe kidume umeoa....!again unatoka kazini ''aidha wewe ni registered mechanical engineer''...unaendesha crane.unapokaribia home unaamua kupita baa/grocary!unapiga mambo yako paleeee!kiroba+bia,Kiroba+bia,kiroba+bia,kiroba+bia,kiroba+bia,....and the rounds goes on!ukitoka hapo unakata stim za pombe na ''bange''.halaf the worst thing hiyo ndo inakuwa routine 24/7/365.

.....biashara ya kiss inakuwaje hapo wakinamama?
mazee hapo subiria kuibiwa tu!
 
hapo ukifika home ni kuharibu mazingira tu na vijamb.. vya hapa na pale
loooo
 
...kwa mfano wewe kidume umeoa....!again unatoka kazini ''aidha wewe ni registered mechanical engineer''...unaendesha crane.unapokaribia home unaamua kupita baa/grocary!unapiga mambo yako paleeee!kiroba+bia,Kiroba+bia,kiroba+bia,kiroba+bia,kiroba+bia,....and the rounds goes on!ukitoka hapo unakata stim za pombe na ''bange''.halaf the worst thing hiyo ndo inakuwa routine 24/7/365.

.....biashara ya kiss inakuwaje hapo wakinamama?
Hahahahaha.......TI mufalme ya amani...... hapo umesahau na valeur na kongoro.... ukichanganya na sigara huo muarufu unaotoka hapo ukienda kumkiss mama Matesha wako lazima apate typhoid!
 
...now we are talking...! big up!!!!

...umenijibu vizuri sana kwa zaidi ya 100%, roho yangu imetulia tuliii....yeah, ---i admit that i love being in control---
na kumbe sikuliona hili athari na faida zake, pheeewww.. ahsante sana dearest.

Lmao.... When you meet a MAN you know it!! lol... (MJ1 asione hapa)
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
...kwa mfano wewe kidume umeoa....!again unatoka kazini ''aidha wewe ni registered mechanical engineer''...unaendesha crane.unapokaribia home unaamua kupita baa/grocary!unapiga mambo yako paleeee!kiroba+bia,Kiroba+bia,kiroba+bia,kiroba+bia,kiroba+bia,....and the rounds goes on!ukitoka hapo unakata stim za pombe na ''bange''.halaf the worst thing hiyo ndo inakuwa routine 24/7/365.

.....biashara ya kiss inakuwaje hapo wakinamama?

This is real real balaa
Huyo mtu wako itabidi avumilie tuu
Si aliapa for better and worse
Ila hapo power of kiss inabidi iwe mbadala
 
Alafu wewe Bishanga you brag of being mhaya... yawezekana nayo katerelo ime play part wewe kushindwa for ukizoea hio kweli kisses hazioni kitu...(sina nia mbaya... i am trying kukuelewesha, siamini kua you can not)
hahahahahahaa....umejuaje?
 
Katika kuzungumzia "The Power of a Kiss" in general,mimi ningependa kugusia "The First-time Kiss in particular". Nitazungumzia aina tau, pengine zipo nyingi.

Kwanza ni lile libusu la kuiba, ambapo mmoja bila kutarajia, anakutia analimwa busu. Linaweza kiangukia popote, lakini kama sio busu la woga na kutojiamini, linatua mdomoni. Iwapo mlengwa tayari alishakuwa na feelings juu ya mlenga, au kwa maneno mengine ikiwa kuna "chemistry" baina yenu, hili busu linakuwa poa sana ambapo kila mmoja wenu angetamani hiyo ya "If Only this kiss will end for ever". Lakini ikiwa hamna mvuto, mlengwa jitayarishe na kukwepa kibao cha nguvu shavuni, mshonya mkali na matusi kedekede pamoja na ONYO KALI kuwa usirejee tena.

Aina ya pili ya busu la mara ya kwanza ni ile ya kuomba ruhusa, "May I kiss you?". Kukiwa na mvuto baina yenu, mlenga (mara nyingi "he") anakuwa kama ametimiza tu ule wajibu wa kutupa mwanzo jiwe, I mean, kutamka, jambo ambalo mlengwa amekuwa akilisuburi kwa hamu. Na aghlabu jawabu ya suala hilo sio NDIO au "Why not?", bali ni she mwenyewe anayejibu kwa busu. Kwanza busu dogo tu, pengine na jengine na jengine dogo kabla ya kuanza kuchanganya. It's really wonderfull. Why it shouldn't end forever?

Aina ya tatu ya busu la mara ya kwanza ni pale mnapokaa uso kwa uso, hakuna anayesema neno, kimya kinatawala lakini nafsi zinavinjari... Ghafla, kama mlovutwa kwa smaku, mnaishia kubusiana mutually. Katika aina zote tatu, busu ya aina hii ni baora zaidi kwani hukuiba wala hukuomba, bali hisia baina zenu ndizo zilizowafikisha hapo. It should end forever!
yaani first kiss huwa ni noma, unafika home unalala chali na kuanza kulifikiria, unaweza anza srach your body kama unawashwa flani, na raha ya penzi looo
 
Back
Top Bottom