Huyu Babu alishaambiwa na AD aache kula UGOLO, naona taaabu ishaanza sasa, kamix videsa..Lol, nampa dakika sufuri antake radhi hapahapa naisubiria.
Msamehe bure ameamka na hangover ya ugolo kamix madesa
Huyu Babu alishaambiwa na AD aache kula UGOLO, naona taaabu ishaanza sasa, kamix videsa..Lol, nampa dakika sufuri antake radhi hapahapa naisubiria.
haya wee chunga my husband wake asije akakukaba na kukubobbit!Ashadiiiiiiiiiiii me i want to kiss uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Kiss!!..........I have no experience..........!!
Haahaha!! One last question plzNo worries man...ngoja nifunguke..
I remember the perfect love i had...She didnt have to say a word....her kisses did the speaking...her kisses spoke a zillion words...so tender...so gentle...so sweet...so warm...so n so n so...
I cud easily tell how true she was...
The Finest n AD no more qns plz...
No worries man...ngoja nifunguke..
I remember the perfect love i had...She didnt have to say a word....her kisses did the speaking...her kisses spoke a zillion words...so tender...so gentle...so sweet...so warm...so n so n so...
I cud easily tell how true she was...
The Finest n AD no more qns plz...
Simuamini sana huyu jamaa waweza kukuta ameishaanza na kutoa majibu ya mitihani via practicalKama hujashangaa akawa mwalimu wa hilo kundi....lol
I thought we had agreed to ask Sangara one last question lolSangara my friend.... believe me you this is more than enough...
The Finest akikung'ang'ania atakua mkorofi.... lol
Thank you for sharing....
weweeeeee watu pipoooooooo!!!!!! namwonea huruma Ndetichio atasubiri weeeeee mpaka kupambazuke kumbe we uko bize na mshua unampandisha mzuka hadi kileleni bila kuuuu ,lakini Asha hapa mi naona umetuingiza mkenge hivi mwanaume kweli anaweza kufika kileleni bila kuuuu mmmhhh labda mwanamke bana.Ndetichia the Kiss imepokelewa... ya kuja kwako kwanza niko kuipika....lol
Sinziga i will talk about Xplocns when you answer to ODM above, for nitajua how to tell....
Dah!!!No please hata kama unatoa darasa siwezi mleta mtu wangu kwa mtu kama wewe
Dah!!!
weweeeeee watu pipoooooooo!!!!!! namwonea huruma Ndetichio atasubiri weeeeee mpaka kupambazuke kumbe we uko bize na mshua unampandisha mzuka hadi kileleni bila kuuuu ,lakini Asha hapa mi naona umetuingiza mkenge hivi mwanaume kweli anaweza kufika kileleni bila kuuuu mmmhhh labda mwanamke bana.
kula denda,ndio kiss ambayo,huweza leta hisia ya nguvu sana,nawatakia weekend ya malove
Nishamjibu sema mawani aliyovaa yamejaa rangi ya ugolo anashindwa kuiona post yangu...mi ni bonge la handsome bana...eboooo!
come on Asha,hivi unaongelea kiss au unaongelea kulambana,kiss hadi kileleni?embu mama nidadavulie.Sinziga nimependa saana what you have wrote.... naona kidogo sijakupata which KISS especially umelenga... for from what I know ni kua kama the Kiss in question ni ile ya Maeneo ya uficho hiyo yawezekana kabisa... Mie nazungumzia kuweza Kiss mpaka mwafika kileleni bila kugusa eneo husika (na kiss nyingine tu ambazo hukufanya hu-feel the intensive emotions)... Kama wapenzi m-ki kiss bila kugusa kabisa eneo husika na mkafika kileleni it means you have intensive feelings for each other.... But aside from all that.
Take note nimesema kua kuna exceptions... for a guy kufika kileleni hata kama hayupo in love ni rahisi (check hapo kwenye Kissing and its applicability) for nimetaja kua kwa kaka/baba zetu wao ni rahisi waweza fanya hivo hata via Lust....
Alafu ongeza bana... kwanini uishie hapo?? lol
come on Asha,hivi unaongelea kiss au unaongelea kulambana,kiss hadi kileleni?embu mama nidadavulie.
umeona sizinga eee, wengine mpaka area of concentration zipitiwe na rabsha rabsha, aftar all, si mpaka umpate a good kisser? wengi anakujazia mimate tu na liulimi analisokomeza utadhania anachiimba nini sijui aaarrghh,Hapo ndipo ninapotofautiana na AshaDii, kissing peke yake???mmh, sio peke yako wengi bado hatujafikia kilele cha mafanikio kwa hili bila finger walk!!