“If Only I could have this KISS Forever…..” TGIF!!!

“If Only I could have this KISS Forever…..” TGIF!!!

PJ i thkink they have their own way of expressing love and show emetional feeling to each other
Sio kwamba hawakuwa wanajua kuwa kuna kiss hata ile kukumbatia kwa mufa ilikuwa one way or another to show love and affection to each other
haya mambo yenu ya tongue kiss haya ndo yamekuja now
 
Rocky we Rocky we na mkeo nani anawahi kufika nyumbani?

Aiise yeye bana
Mhhh Bishanga usinipige mawe bure i was just show an example bana sio kwamba mimi ndo natangulia home
Yeye anatangulia ili anipokee
 
Mi ndo naingia!
Ashadii, u seem to know this kiss-thang an extra mile!
Vipi huko vijijini kwetu, wazee wetu wa zamani hawakuwahi kufanya kissing...Ilikuwa ni kushikana tu na kunanihiino!...
So what word can you throw to me regarding these old-chaps, did they miss alot or?

Better late than never... IMO haya mambo siku zinavozidi kwenda yanazidi kubadilika.... tukiizungumzia kizamani kwanza ilikua hata haitakiwi uzungumzie mambo ya kufika kileleni in relation to mwanamke.... (Nina mtu namfahamu - may she rest in peace - alikufa at the age of 83 na hakuwahi fika kileleni kabisa!!!)

Hivo siwezi ongopa na kusema na kijijini wanafanya hivo... haya mambo tunajifunza kwa njia nyingi, via media, friends and articles... so just that tuboreshe sector ya Mapenzi... Hivo those Chaps what they should do is make sure that both sides are equally satisfied as a start... The end result of hivo ni kufika - i can not say they miss a lot... hio hapo juu ni moja tu ya vionjo vya exploration is the SEX sector.....
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
....ashadii, again thanks for this very interesting topic...

wakati naisoma hii, ghafla nimepitiwa na wazo, je?....iwapo kwenye mahusiano ya awali, ---early stages---
99% ya kisses nimekuwa ndiyo na initiate hizo kisses,..ina maana mimi ndio nam feel zaidi mwenzangu,
ama niendelee tu na mawazo kwamba "she's still reserved" kuonyesha emotions zake?

khaa, mbu nilikuwa wapi siku zote...lol..!
 
Bishanga acha kutisha watu....lol... Hata blow up Kiss nisipewe??? Alafu toa maujuzi yako bana acha kubania.....
Asha ngoja nikwambie my idea of romance. Raha yangu (ambayo ni raha ya wazee wengi wa kihaya) nikirudi nyumbani mama anatenga beseni la maji ya vugu vugu na sabuni. Ananiambia nyegera waitu,ananivua viatu na soxy kisha taratibu anaanza kunisafisha miguu na kunipaka sabuni. Iko namna kinamama wanafanya hii maneno maana baadae anaanza kukuangalia usoni aone reaction yako,mkisha lock macho ujumbe unakuwa umefika kwamba leo ni leo asiye na mwana aeleke jiwe,umeelewa mama? hayo ndo malavidavi ya kikwetu,veeeeeery romantic and enticing! Lakini haya ya kwenu mnageuzana bidhaa za Bakhresa mmmmhhhhhh
 
....ashadii, again thanks for this very interesting topic...

wakati naisoma hii, ghafla nimepitiwa na wazo, je?....iwapo kwenye mahusiano ya awali, ---early stages---
99% ya kisses nimekuwa ndiyo na initiate hizo kisses,..ina maana mimi ndio nam feel zaidi mwenzangu,
ama niendelee tu na mawazo kwamba "she's still reserved" kuonyesha emotions zake?

khaa, mbu nilikuwa wapi siku zote...lol..!
Ulikuwa unahakikisha unaswaki vizuri?
maana mambo mengine bwana msione tu watu hawataki kukiss pengine kuna jambo hahahaha
joke mkuu wangu
 
Bishanga unakumbuka enzi za ku baleh?? (kwa wanaume tu!!)
Jamani Asha nimekuelewa lakini hapa si tunaongelea watu wazima ambao wameshachakachuliwa hadi wakachachulika,how do you get orgasm kirahisi hivo?
 
Hee!! Hio Kiss ilikua kiboko.....lol... mpaka naona maneno yanagoma kutoka.....

Sio hivyo dia ni kitu ambacho kiukweli siwezi kusahau kirahisi labda itokee nyingine itakayo izidi ile. It was long time but can remember it like jana. Ila mi sikufika huko ulikosema but was greeeeeeeeaaat. (Ashadii jamani mi sipendi kukumbuka hizi vitu vya zamani cos im no longer living that kinda life, u know what i mean.......lol)
 
umeona sizinga eee, wengine mpaka area of concentration zipitiwe na rabsha rabsha, aftar all, si mpaka umpate a good kisser? wengi anakujazia mimate tu na liulimi analisokomeza utadhania anachiimba nini sijui aaarrghh,

lol...."a good kisser" brings back some weird memories,....kwani kissing ni lazima iwe hiyo french---aka---tongue kiss jamani?...wengine tuna mwanya bana..., i bet am a worst kisser---hahaha--acha tu niendelee na viji pecks, neck na cheeks kisses xoxox

KakaKiza you have done it and ADI is profoundly happy.... Thank you bana....
Na pia for the acknowledgement..... hasa umeshare what and how to be Kissed....lol
I'll come through PM!worryout.
 
napenda anavokiss my neck from the back, anavoshuka na uti wa mgongo makes me wet all over my back
akirudi mdomoni, with his soft lips oooops , then anastop ananiangalia reaction yangu, amini amini nakwambia
ashadii, hakuna raha unaacha kuiona, kissing is the best thing kwenye sex life, and yah lazima uwe in love na uwe
unamfeel sana partner wako
 
....ashadii, again thanks for this very interesting topic...

wakati naisoma hii, ghafla nimepitiwa na wazo, je?....iwapo kwenye mahusiano ya awali, ---early stages---
99% ya kisses nimekuwa ndiyo na initiate hizo kisses,..ina maana mimi ndio nam feel zaidi mwenzangu,
ama niendelee tu na mawazo kwamba "she's still reserved" kuonyesha emotions zake?

khaa, mbu nilikuwa wapi siku zote...lol..!

Mbu.... well observed Pal.... Hili suala hata Rejao kagusia thou in a different way... Mie naamini saana kua tabia za wapenzi hujengwa ndani ya wapenzi wenyewe... Kama toka mwanzo wa mahusiano it seems you are always initiating everything and neva say a word about it - mimi kama mwanamke nitachukulia kua unapenda kua in control... but ikitokea siku ukasema kua "Mpenzi wangu mbona hata siku moja sioni wee uki initiate lolote" inachangia saana kumpa uhuru mwanamke... For as much as tunaimba maendeleo kwa woote kwa yoote na haki sawa... SEX is the one of the great areas ambazo we have to agree kua a Man is still in control katika mengi...

Hivo aweza kua anapenda saana hizo kisses na she feels them, but hana wasi wa kuanza for anajua for a fact kua utaanza na anakua kakusoma kua ni wakati gani unafanya hivo.... hata hivo kuna exceptions za watu ambao hawapo shy katika hio sector... yeye anainitiate kama kwa.... (hivi Mbu nimejibu sawa kweli??)
 
Ulikuwa unahakikisha unaswaki vizuri?
maana mambo mengine bwana msione tu watu hawataki kukiss pengine kuna jambo hahahaha
joke mkuu wangu

lol...shantel i love you ujue...?
"tena nachugulia na n'kaa mie...!"

hapana, nadhani kuna reservations kwa wapenzi wapya, pia mrembo kuogopa
kuonekana mcharuko (labda!),...lakini ina long term effect iwapo mwanzoni
nitajijengea mazoea alikuwa ha initiate kisses
...dahhh,...ashadii bana
 
Mkiwa wapya ili kujua kama kuna connection kali kiss ni kitu muhimu sana
 
Asha ngoja nikwambie my idea of romance. Raha yangu (ambayo ni raha ya wazee wengi wa kihaya) nikirudi nyumbani mama anatenga beseni la maji ya vugu vugu na sabuni. Ananiambia nyegera waitu,ananivua viatu na soxy kisha taratibu anaanza kunisafisha miguu na kunipaka sabuni. Iko namna kinamama wanafanya hii maneno maana baadae anaanza kukuangalia usoni aone reaction yako,mkisha lock macho ujumbe unakuwa umefika kwamba leo ni leo asiye na mwana aeleke jiwe,umeelewa mama? hayo ndo malavidavi ya kikwetu,veeeeeery romantic and enticing! Lakini haya ya kwenu mnageuzana bidhaa za Bakhresa mmmmhhhhhh

Hizo hapo juu nilotoa ni exception Bishanga.... Hayo Mapenzi ulosema sio ya Kihaya... ni ya mwanamke yoyote mjuvi, for me as a woman nataka nihakikishe at all cost kua mume wangu aone nyumbani is the BEST place ya kua NO matter the mood... awe happy, depressed, sad or emotional... nahakikisha kua apate yale yalo ya msingi kwake iwe chakula, taking care of my home, making sure he eats properly and most of all making sure he gets a Great lay (kwamba hata akitoka hapa atarudi tu!) That aside hio ni moja ya njia ya kama kuchezeana tu... mwaweza jaribu hivo then mkishindwa si mnaenda third base hakuna cha kukwamisha - ili mradi msifanye hivo kama dada yupo msituni na mnajua kwa njia hio hamfiki.....
 
Ulikuwa unahakikisha unaswaki vizuri?
maana mambo mengine bwana msione tu watu hawataki kukiss pengine kuna jambo hahahaha
joke mkuu wangu

Shatel acha ukorofi na eleza yako hapa!!! lol.... Please do share....
 
...kwa mfano wewe kidume umeoa....!again unatoka kazini ''aidha wewe ni registered mechanical engineer''...unaendesha crane.unapokaribia home unaamua kupita baa/grocary!unapiga mambo yako paleeee!kiroba+bia,Kiroba+bia,kiroba+bia,kiroba+bia,kiroba+bia,....and the rounds goes on!ukitoka hapo unakata stim za pombe na ''bange''.halaf the worst thing hiyo ndo inakuwa routine 24/7/365.

.....biashara ya kiss inakuwaje hapo wakinamama?
 
napenda anavokiss my neck from the back, anavoshuka na uti wa mgongo makes me wet all over my back
akirudi mdomoni, with his soft lips oooops , then anastop ananiangalia reaction yangu
, amini amini nakwambia
ashadii, hakuna raha unaacha kuiona, kissing is the best thing kwenye sex life, and yah lazima uwe in love na uwe
unamfeel sana partner wako

...now we are talking...! big up!!!!

Mbu.... well observed Pal.... Hili suala hata Rejao kagusia thou in a different way... Mie naamini saana kua tabia za wapenzi hujengwa ndani ya wapenzi wenyewe... Kama toka mwanzo wa mahusiano it seems you are always initiating everything and neva say a word about it - mimi kama mwanamke nitachukulia kua unapenda kua in control... but ikitokea siku ukasema kua "Mpenzi wangu mbona hata siku moja sioni wee uki initiate lolote" inachangia saana kumpa uhuru mwanamke... For as much as tunaimba maendeleo kwa woote kwa yoote na haki sawa... SEX is the one of the great areas ambazo we have to agree kua a Man is still in control katika mengi...

Hivo aweza kua anapenda saana hizo kisses na she feels them, but hana wasi wa kuanza for anajua for a fact kua utaanza na anakua kakusoma kua ni wakati gani unafanya hivo.... hata hivo kuna exceptions za watu ambao hawapo shy katika hio sector... yeye anainitiate kama kwa.... (hivi Mbu nimejibu sawa kweli??)

...umenijibu vizuri sana kwa zaidi ya 100%, roho yangu imetulia tuliii....yeah, ---i admit that i love being in control---
na kumbe sikuliona hili athari na faida zake, pheeewww.. ahsante sana dearest.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom