“If Only I could have this KISS Forever…..” TGIF!!!

Hahahahaha.......TI mufalme ya amani...... hapo umesahau na valeur na kongoro.... ukichanganya na sigara huo muarufu unaotoka hapo ukienda kumkiss mama Matesha wako lazima apate typhoid!

hahahaha!.....

mpwa nakuwa mwoga sana kuriilaai kwenye kisses.naona ni kisharobalo zaidi......!

ukimweleza Deusi wa Basihaya Mambo Ya Kisses...Dah!unamwonea tu!manake yeye ni bia+valuu+''embassy king"...masaa 24.....!

na ndoa yake ina miaka sita sasa...maisha yanaenda!

ODIIEM UPO HAPO?
 
AshaDii naona nikutafute face to face unipe nini hasa wamama wanapenda kutendewa inaonyesha uko vizuri sana hilo eneo. Mimi huwa nafikiria kumrizisha mwenzangu ni kule kumpelekea round nne tano na zoote anacheki na kilele kumbe kuna vishoti kati kibao. Na mbaya zaidi sisi wengine kuna kamfumo dume kabaya hata kama humrizishi mwenzako ni vigumu sana kukupa feedback negative

Ezan wala huna haja ya kuhangaika na kunitafuta... Kila mwanamke anajua nini anataka.... jinsi gani anataka... na namna gani ufanye kupata anachotaka... Hivo mtu wa kuongea nae ni yeye, mie nikiongea nawe haitasaidia kitu.... Ningejua kweli itasaidia sawa, but the person is HER to be talking to.....
 
...mmnh, halafu hamna kitu mbaya kama hiyo...yaani ukikumbukia, unabakia kuijutia tu nafsi yako...
aaahh, hebu nijitahidi kuisoma vyema hii sredi mie,....nisijeachwa na soulmate kwa uvivu wa kujifunza.

Umeona eeeh?? Kaza buti, watu wamenwga maujuzi humu ya kuboresha! lol (alafu usisahau kukazia sehemu ambazo zinatakiwa ukizisoma)
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

...mmnh, halafu hamna kitu mbaya kama hiyo...yaani ukikumbukia, unabakia kuijutia tu nafsi yako...
aaahh, hebu nijitahidi kuisoma vyema hii sredi mie,....nisijeachwa na soulmate kwa uvivu wa kujifunza.

Jamani moskwito mbona mimi sioni kitu chochote cha kujutia hapo bali ni kumbukumbu tu imebakia. Na leo kwa sababu ya hii useful sredi ya Ashadii ndio katika kutafakari nikakumbuka. Honestly i've got nothing to regret mkubwa cos ninafahamu there is time for everything.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Katika kuzungumzia "The Power of a Kiss" in general,mimi ningependa kugusia "The First-time Kiss in particular". Nitazungumzia aina tau, pengine zipo nyingi.

Kwanza ni lile libusu la kuiba, ambapo mmoja bila kutarajia, anakutia analimwa busu. Linaweza kiangukia popote, lakini kama sio busu la woga na kutojiamini, linatua mdomoni. Iwapo mlengwa tayari alishakuwa na feelings juu ya mlenga, au kwa maneno mengine ikiwa kuna "chemistry" baina yenu, hili busu linakuwa poa sana ambapo kila mmoja wenu angetamani hiyo ya "If Only this kiss will end for ever". Lakini ikiwa hamna mvuto, mlengwa jitayarishe na kukwepa kibao cha nguvu shavuni, mshonya mkali na matusi kedekede pamoja na ONYO KALI kuwa usirejee tena.

Aina ya pili ya busu la mara ya kwanza ni ile ya kuomba ruhusa, "May I kiss you?". Kukiwa na mvuto baina yenu, mlenga (mara nyingi "he") anakuwa kama ametimiza tu ule wajibu wa kutupa mwanzo jiwe, I mean, kutamka, jambo ambalo mlengwa amekuwa akilisuburi kwa hamu. Na aghlabu jawabu ya suala hilo sio NDIO au "Why not?", bali ni she mwenyewe anayejibu kwa busu. Kwanza busu dogo tu, pengine na jengine na jengine dogo kabla ya kuanza kuchanganya. It's really wonderfull. Why it shouldn't end forever?

Aina ya tatu ya busu la mara ya kwanza ni pale mnapokaa uso kwa uso, hakuna anayesema neno, kimya kinatawala lakini nafsi zinavinjari... Ghafla, kama mlovutwa kwa smaku, mnaishia kubusiana mutually. Katika aina zote tatu, busu ya aina hii ni baora zaidi kwani hukuiba wala hukuomba, bali hisia baina zenu ndizo zilizowafikisha hapo. It should end forever!

Mammamia.... i LOVE this Post..... THANK YOU!! And i am in love with Purple.....

Kwa kuongezea hapo Kiss # 2, Kiss za kuombana ruhusa, mie naona kama za kitoto saaana....
 
Mammy hapo sina la kuongeza,ngoja binti yangu akue kidogo (she is 17) nitamleta kwako umfunde!

Kama mamake yupo hivo ulidefine as Romance... Huyo kafundwa, ya kuongezea hapo ni pale tu atapopata mchumba na anataka kuolewa....lol
 
au unamwambia mtu kama kimambo kevini wa kinondoni afanye ''deep kissing''.....!mtu anawaza matairi ya magari,anawazaa serengeti na mirungi maisha yake yote....!

kisses itafanyika wapi bana wee....!lakini maisha yanasonga na wana watoto watatu...!

ashadii hii kitu bana ya kisses mi naona ni mambo ya ajabu tu...!kulambana lambana,mara mimate...aah!uchafu bana
 
Katika kuzungumzia "The Power of a Kiss" in general,mimi ningependa kugusia "The First-time Kiss in particular". Nitazungumzia aina tau, pengine zipo nyingi.

Kwanza ni lile libusu la kuiba, ambapo mmoja bila kutarajia, anakutia analimwa busu. Linaweza kiangukia popote, lakini kama sio busu la woga na kutojiamini, linatua mdomoni. Iwapo mlengwa tayari alishakuwa na feelings juu ya mlenga, au kwa maneno mengine ikiwa kuna "chemistry" baina yenu, hili busu linakuwa poa sana ambapo kila mmoja wenu angetamani hiyo ya "If Only this kiss will end for ever". Lakini ikiwa hamna mvuto, mlengwa jitayarishe na kukwepa kibao cha nguvu shavuni, mshonya mkali na matusi kedekede pamoja na ONYO KALI kuwa usirejee tena.

Aina ya pili ya busu la mara ya kwanza ni ile ya kuomba ruhusa, "May I kiss you?". Kukiwa na mvuto baina yenu, mlenga (mara nyingi "he") anakuwa kama ametimiza tu ule wajibu wa kutupa mwanzo jiwe, I mean, kutamka, jambo ambalo mlengwa amekuwa akilisuburi kwa hamu. Na aghlabu jawabu ya suala hilo sio NDIO au "Why not?", bali ni she mwenyewe anayejibu kwa busu. Kwanza busu dogo tu, pengine na jengine na jengine dogo kabla ya kuanza kuchanganya. It's really wonderfull. Why it shouldn't end forever?

Aina ya tatu ya busu la mara ya kwanza ni pale mnapokaa uso kwa uso, hakuna anayesema neno, kimya kinatawala lakini nafsi zinavinjari... Ghafla, kama mlovutwa kwa smaku, mnaishia kubusiana mutually. Katika aina zote tatu, busu ya aina hii ni baora zaidi kwani hukuiba wala hukuomba, bali hisia baina zenu ndizo zilizowafikisha hapo. It should end forever!
Leo nina kibarua kizito cha ku-note kuliko kuchangia. Ila tatizo la badiriko la ghafla ndani ya ndoa linaweza likavunja ndoa yangu maana sijawahi kumbusu wife leo niki-Mbusu ataniuliza umejifunza wapi hiyo au huko kwa malaya zako......lol
 
Lmao.... When you meet a MAN you know it!! lol... (MJ1 asione hapa)

...lol...nimekusoma vyema, tena kwa herufi kubwa na kupigia na mstari....
yaani hii sredi itanijengea au kunibomolea, kazi kwangu sasa kuimarisha na kulinda pendo.

Jamani moskwito mbona mimi sioni kitu chochote cha kujutia hapo bali ni kumbukumbu tu imebakia. Na leo kwa sababu ya hii useful sredi ya Ashadii ndio katika kutafakari nikakumbuka. Honestly i've got nothing to regret mkubwa cos ninafahamu there is time for everything.

...aisee acha kabisa, hebu msome shantel hapa ujue umuhimu wa kiss....

yaani first kiss huwa ni noma, unafika home unalala chali na kuanza kulifikiria, unaweza anza srach your body kama unawashwa flani, na raha ya penzi looo

...ndio maana mie huogopa sana la aziz anapokuja na utetezi ati "it was only a kiss,..." au "he was such a great kisser that's it!" hahhhh? imagine soulmate mwenyewe awe alipigwa na ~electric current~ kama ya shantel...hawezi msahau bana...
 
Kama mamake yupo hivo ulidefine as Romance... Huyo kafundwa, ya kuongezea hapo ni pale tu atapopata mchumba na anataka kuolewa....lol
nadhani siku hiyo ntatoa chozi,sijui lakini tutavuka mto tukifika darajani.
 
au unamwambia mtu kama kimambo kevini wa kinondoni afanye ''deep kissing''.....!mtu anawaza matairi ya magari,anawazaa serengeti na mirungi maisha yake yote....!

kisses itafanyika wapi bana wee....!lakini maisha yanasonga na wana watoto watatu...!

ashadii hii kitu bana ya kisses mi naona ni mambo ya ajabu tu...!kulambana lambana,mara mimate...aah!uchafu bana

...you've made my day! ha ha hahahha!
 
kumbe tupo wengi nilifikiri mie mwenyewe ndo matatizo hayo dah!

au unamwambia mtu kama kimambo kevini wa kinondoni afanye ''deep kissing''.....!mtu anawaza matairi ya magari,anawazaa serengeti na mirungi maisha yake yote....!

kisses itafanyika wapi bana wee....!lakini maisha yanasonga na wana watoto watatu...!

ashadii hii kitu bana ya kisses mi naona ni mambo ya ajabu tu...!kulambana lambana,mara mimate...aah!uchafu bana[/QUOTE]
 
au unamwambia mtu kama kimambo kevini wa kinondoni afanye ''deep kissing''.....!mtu anawaza matairi ya magari,anawazaa serengeti na mirungi maisha yake yote....!

kisses itafanyika wapi bana wee....!lakini maisha yanasonga na wana watoto watatu...!

ashadii hii kitu bana ya kisses mi naona ni mambo ya ajabu tu...!kulambana lambana,mara mimate...aah!uchafu bana
Umemsahau na Deus wa Boko. Akishanyonya dizeli akiwa anatengeneza milori ya bosi wake ukachanganya na mikono yake inayoshika spana na grease kila siku, akija kumkisi mrembo kama Shantel, lazima amuachie makovu mdomoni.
 
au unamwambia mtu kama kimambo kevini wa kinondoni afanye ''deep kissing''.....!mtu anawaza matairi ya magari,anawazaa serengeti na mirungi maisha yake yote....!

kisses itafanyika wapi bana wee....!lakini maisha yanasonga na wana watoto watatu...!

ashadii hii kitu bana ya kisses mi naona ni mambo ya ajabu tu...!kulambana lambana,mara mimate...aah!uchafu bana

ha ha ha..... I Wish elaborate... Dah!!!
 
nadhani siku hiyo ntatoa chozi,sijui lakini tutavuka mto tukifika darajani.

It is coming sooner than you think....lol... Umenikumbusha my first marriage my dad cried like a baby.... Sad.
 
Back
Top Bottom