If I had my druthers....

If I had my druthers....

nimefwatilia majibizano yako na huyu my son
nikagundua kuwa Nyani Ngabu
keshakuwa mpumbavu
nilikuwa nukikuheshimu sana ila kwa sasa ww silolote sichochote
 
Utakuwa umekunywa gongo poli! Nani kakudanganya hakusjinda? Wee unadhani CHADEMA na LOWASSA wangeweza kupambana na CCM na MAGUFULI? Wee stereotype affected na biashara haramu mifumo ya upigaji ambayo JPM kaisambaratisha. JPM anapendwa na ataendelea kupendwa. Wanaoonekana wanapinga ni % ndogo sana wanaoshinda kwenye mitandao ya jamii
Kwanini mnawabambika kesi wakosoaji?
 
Sikumbuki kama kuna aliyeachwa!! Aisee,naweza kusema hakuna mpinzani wa wazi wa magufuli ambaye hajashughulikiwa,labda sisi wa huku kichakani JFK tuliojifunika kwa makuti ya fake Id's
Kila apingaye ameadhibiwa?
 
Sikumbuki kama kuna aliyeachwa!! Aisee,naweza kusema hakuna mpinzani wa wazi wa magufuli ambaye hajashughulikiwa,labda sisi wa huku kichakani JFK tuliojifunika kwa makuti ya fake Id's

Wataje...
 
In this Information Age, almost everybody is an ‘expert’ in ‘everything’.

So, if I had my druthers, this is what I would do:

Wale wote ambao kwao Rais Magufuli hana jema lolote lile, ningewapa fursa ya wao kuunda serikali nzima ya kuiongoza Tanzania halafu tuone kile ambacho wao wangekifanya kilicho bora zaidi na kilicho tofauti kabisa na afanyacho Rais kwa sasa.

Manake sasa naona na sisi kwenye hii Tanzania yetu tuna watu wanaosumbuliwa na Magufuli Derangement Syndrome.

Chochote afanyacho Rais, kuna watu hawatapenda tu, hata kama na wao ni wanufaika.

Chochote asemacho Rais, watu hawa wenye huu ugonjwa wa Magufuli Derangement Syndrome, watasema ni kibaya tu kwa vile kimesemwa na yeye. Lakini kitu hicho hicho kikisemwa na mwingine, watashangilia kwa kupiga makofi na vigeregere.

Watu hawa natamani sana wao ndo waunde serikali ili hatimaye tuone kama kweli wanaweza kufanya kinyume na vile ufanyavyo huu utawala wa sasa.

Manake isije tu kuwa ni kelele za kupitia kwenye keyboards zisizoambatana na substance yoyote ile kwenye uhalisia.

Anyway, that’s just a hope. And a hope without a plan is nothing more than a wish.....
Mwambie Rais awape wananchi hiyo Fursa ya kuunda Serikali utazame maana unachokiongea wewe ni ile habari ya " kama sio mtu fulani tusinge kuwa hapa" ukisahau ya kwamba na wewe ni muhusika. Wapo watu wanaweza.
 
Back
Top Bottom