Jigsaw
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 1,823
- 684
Huna uhakika ktk hilo. Vinginevyo labda utuambie unaishi na kukaa na genge la wenza wazimu wasio fikiri, kusikia wala kuona.Wapo wanaopinga kila kitu!
Huna uhakika ktk hilo. Vinginevyo labda utuambie unaishi na kukaa na genge la wenza wazimu wasio fikiri, kusikia wala kuona.Wapo wanaopinga kila kitu!
Mkuu si maneno yangu, Ni KinaMusiba wa wakati huo.. KinaMusiba walikuwepo tangu kipindi cha Mkoloni 😂 😂Eti watu walikuwa wanapinga mashule na miundombinu 🤣🤣
Hahaha ccm ilikuwa na wagombea 40 walitumia mfumo gani kumpata Magufuli?! Unadhani wangejieleza mbele ya wajumne na kupigiwa kura, angeshinda?! Sasa kama hakupatikana kwa haki tangu chamani unadhani watampenda au wanaojipendekeza ni wale walionufaika naye yaani wateuliwa?! Mimi sijasema CHADEMA popote, nimeongelea Magufuli, hapendwi hilo liko wazi, angeruhusu wapinzani wafanye siasa aone kama kweli anapendwa, hata yeye anafahamu analazimisha wananchi kumkubali, ajipime kwa hao wanaompenda kwa kuruhusu ushindani wa haki na uwazi, hili lingemsaidia hata yeye kufahamu wanafiki ni kina nani miongoni mwa praise team.
👍🏻Kwani wakipinga tatizo liko wapi?
Ni serikali gani duniani ambayo ni opposition free?
Hahaha ndiyo, Edward N.LowassaNyie Chadema Mlikuwa na Mgombea?
Kwani tatizo ni kupinga ndugu...!!!??Kwani wakipinga tatizo liko wapi?
Ni serikali gani duniani ambayo ni opposition free?
Hivi unDHANI WATUMISHI WOTE WA KADA ZA CHINI WATAMKUBALI MAGUFULI? tangu ameingia madarakani hakuna kuongezewa mshaharaWapingaji wa Magufuli wengi wanasumbuliwa na njaa ukifatilia wengi either maslahi yao yameminywa au wanapata mkate wa kila siku kwa kumpinga JPM.
Uhuru behind keyboards? Unatoa maoni ukiwa camouflaged ,hebu Tumia huo Uhuru kwa kuitisha press conference ya kumkosoa Magufuli uone Kama utaimaliza siku salama bila ya kuwa behind bars au kupotezwa kabisaMbona kila siku humu mnatoa maoni yenu kwa uhuru....
Freedom of expression inalindwa na katiba.Koma ku invade democratic space ya watanzania.In this Information Age, almost everybody is an ‘expert’ in ‘everything’.
So, if I had my druthers, this is what I would do:
Wale wote ambao kwao Rais Magufuli hana jema lolote lile, ningewapa fursa ya wao kuunda serikali nzima ya kuiongoza Tanzania halafu tuone kile ambacho wao wangekifanya kilicho bora zaidi na kilicho tofauti kabisa na afanyacho Rais kwa sasa.
Manake sasa naona na sisi kwenye hii Tanzania yetu tuna watu wanaosumbuliwa na Magufuli Derangement Syndrome.
Chochote afanyacho Rais, kuna watu hawatapenda tu, hata kama na wao ni wanufaika.
Chochote asemacho Rais, watu hawa wenye huu ugonjwa wa Magufuli Derangement Syndrome, watasema ni kibaya tu kwa vile kimesemwa na yeye. Lakini kitu hicho hicho kikisemwa na mwingine, watashangilia kwa kupiga makofi na vigeregere.
Watu hawa natamani sana wao ndo waunde serikali ili hatimaye tuone kama kweli wanaweza kufanya kinyume na vile ufanyavyo huu utawala wa sasa.
Manake isije tu kuwa ni kelele za kupitia kwenye keyboards zisizoambatana na substance yoyote ile kwenye uhalisia.
Anyway, that’s just a hope. And a hope without a plan is nothing more than a wish.....
👆🏻 Hapo kwa maneno hayo unamsifu au unamkejeli ??!!.
Freedom of expression inalindwa na katiba.Koma ku invade democratic space ya watanzania.
Duh! Umeshindwa kumbe kuelewa 🤣🤣
Mfano Unaposema; "Muhammad Ali perkinson syndrome" ---- hapo unaelewa nini??
Yaani wewe jamaa ni kilaza.
Wewe unachojua ni kuandika kingereza tuu lakini kati ya vilaza wewe ni kiongozi.
Hamna unachokijua, mabandiko yako yamejaa ujinga tuu.
Mada kama hizi uwe unaacha watu wenye akili zao wazilete sio wewe akili imejaa matope tuu.