If I had my druthers....

If I had my druthers....

Basi waache na wale wanao Kosoa wakosoe kwa Wakati wao kwa Sababu na wao wanaweza kufanya hivyo kwa Mujibu wa Katiba.Ninge tegemea ungekuja hapa na Hoja ya kutetea kile wanacho kisema /kukishutumu Wananchi wengine kwa kupinga kwa Hoja.

Kwa nini mimi niwaache wao waendelee kukosoa bila ya wao kukosolewa?
 
kwanza angekuwa ameruhusu mawazo huru watu wakapiga siasa
hata hii miaka mitano asingemaliza
 
Hahaha hakukubalika chamani alipitishwa kwa nguvu, hakushinda uchaguzi akatangazwa kwa nguvu. Haya unayoyaona ni matokeo ya kulazimisha kutawala watu.
Sasa anajitahidi kutafuta legitimacy ndio hapo anapingwa kwa kila kitu. Hata akimleta Yesu bado atapingwa, ingawa wanaweza kumpokea Yesu lakini yeye huyu Magufuli watampinga tu maana watu hawamtaki kwa lolote na chochote.
Utakuwa umekunywa gongo poli! Nani kakudanganya hakusjinda? Wee unadhani CHADEMA na LOWASSA wangeweza kupambana na CCM na MAGUFULI? Wee stereotype affected na biashara haramu mifumo ya upigaji ambayo JPM kaisambaratisha. JPM anapendwa na ataendelea kupendwa. Wanaoonekana wanapinga ni % ndogo sana wanaoshinda kwenye mitandao ya jamii
 
Mkuu Nyani Ngabu hili unalosema mbona limeshatokea kipindi hiko ni Tanganyika..
Wakati watu wanapinga maendeleo ya Mkoloni Barabara, Shule, hospital, Treni.. nk
Mokoloni akaamua kutuachia bila kumwaga damu..
Kipindi hiko Kina JK walikua wanaonekana wanapinga Maendeleo, Kama hali ilivyo sasa.
Tulichagua Uhuru dhidi ya maendeleo ya Kikoloni.
Mimi Magu nitaendelea kumpinga, na wala si dhambi 😂
 
Hahaha ccm ilikuwa na wagombea 40 walitumia mfumo gani kumpata Magufuli?! Unadhani wangejieleza mbele ya wajumne na kupigiwa kura, angeshinda?! Sasa kama hakupatikana kwa haki tangu chamani unadhani watampenda au wanaojipendekeza ni wale walionufaika naye yaani wateuliwa?! Mimi sijasema CHADEMA popote, nimeongelea Magufuli, hapendwi hilo liko wazi, angeruhusu wapinzani wafanye siasa aone kama kweli anapendwa, hata yeye anafahamu analazimisha wananchi kumkubali, ajipime kwa hao wanaompenda kwa kuruhusu ushindani wa haki na uwazi, hili lingemsaidia hata yeye kufahamu wanafiki ni kina nani miongoni mwa praise team.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mkuu Nyani Ngabu hili unalosema mbona limeshatokea kipindi hiko ni Tanganyika..
Wakati watu wanapinga maendeleo ya Mkoloni Barabara, Shule, hospital, Treni.. nk
Mokoloni akaamua kutuachia bila kumwaga damu..
Kipindi hiko Kina JK walikua wanaonekana wanapinga Maendeleo, Kama hali ilivyo sasa.
Tulichagua Uhuru dhidi ya maendeleo ya Kikoloni.
Mimi Magu nitaendelea kumpinga, na wala si dhambi 😂

Eti watu walikuwa wanapinga mashule na miundombinu 🤣🤣
 
  • Kicheko
Reactions: prs
In this Information Age, almost everybody is an ‘expert’ in ‘everything’.

So, if I had my druthers, this is what I would do:

Wale wote ambao kwao Rais Magufuli hana jema lolote lile, ningewapa fursa ya wao kuunda serikali nzima ya kuiongoza Tanzania halafu tuone kile ambacho wao wangekifanya kilicho bora zaidi na kilicho tofauti kabisa na afanyacho Rais kwa sasa.

Manake sasa naona na sisi kwenye hii Tanzania yetu tuna watu wanaosumbuliwa na Magufuli Derangement Syndrome.

Chochote afanyacho Rais, kuna watu hawatapenda tu, hata kama na wao ni wanufaika.

Chochote asemacho Rais, watu hawa wenye huu ugonjwa wa Magufuli Derangement Syndrome, watasema ni kibaya tu kwa vile kimesemwa na yeye. Lakini kitu hicho hicho kikisemwa na mwingine, watashangilia kwa kupiga makofi na vigeregere.

Watu hawa natamani sana wao ndo waunde serikali ili hatimaye tuone kama kweli wanaweza kufanya kinyume na vile ufanyavyo huu utawala wa sasa.

Manake isije tu kuwa ni kelele za kupitia kwenye keyboards zisizoambatana na substance yoyote ile kwenye uhalisia.

Anyway, that’s just a hope. And a hope without a plan is nothing more than a wish.....
Kwani tatizo watu wakisema hata kama wao wenyewe hawawezi.inawakera nini? Leo kuna watu hata kupiga penati hawawezi lakini wanakomaa kupanga kikosi cha manchester kijiweni,tatizo siyo wao,haya ni maisha yao ya kila siku,tatizo ni nyinyi mliokuja juzi kujifanya kutaka kuwa yamazisha
 
Na wewe hapa umesema!

Well done 👍🏾
 
In this Information Age, almost everybody is an ‘expert’ in ‘everything’.

So, if I had my druthers, this is what I would do:

Wale wote ambao kwao Rais Magufuli hana jema lolote lile, ningewapa fursa ya wao kuunda serikali nzima ya kuiongoza Tanzania halafu tuone kile ambacho wao wangekifanya kilicho bora zaidi na kilicho tofauti kabisa na afanyacho Rais kwa sasa.

Manake sasa naona na sisi kwenye hii Tanzania yetu tuna watu wanaosumbuliwa na Magufuli Derangement Syndrome.

Chochote afanyacho Rais, kuna watu hawatapenda tu, hata kama na wao ni wanufaika.

Chochote asemacho Rais, watu hawa wenye huu ugonjwa wa Magufuli Derangement Syndrome, watasema ni kibaya tu kwa vile kimesemwa na yeye. Lakini kitu hicho hicho kikisemwa na mwingine, watashangilia kwa kupiga makofi na vigeregere.

Watu hawa natamani sana wao ndo waunde serikali ili hatimaye tuone kama kweli wanaweza kufanya kinyume na vile ufanyavyo huu utawala wa sasa.

Manake isije tu kuwa ni kelele za kupitia kwenye keyboards zisizoambatana na substance yoyote ile kwenye uhalisia.

Anyway, that’s just a hope. And a hope without a plan is nothing more than a wish.....
Na hapo uliwahi kuishi US, at least ukatoa tongotongo kwenye ubongo + a mere education you pursued, bila ya hivyo wewe ungekuwa zaidi ya mjinga, hapa tu kichwani upo zero kabisa, your ID reflects the essence of your nature, what if usingekuwa umesoma wewe mtu?
Truly ungekuwa unakula hata kinyesi chako...
Who the hell is Magufuli? and what do you know about Democracy?
Watu wanampinga hadi Mungu wasiyemuona ije kuwa huyu Dikteta anayetesa watu?
How comes unalazimisha kila mtu ampende Magufuli? Let Democracy take its course, unampenda wewe na mkeo inatosha, how would you compel others?
Hakika wewe ni nyani, tena nyani uchuro.
 
In this Information Age, almost everybody is an ‘expert’ in ‘everything’.

So, if I had my druthers, this is what I would do:

Wale wote ambao kwao Rais Magufuli hana jema lolote lile, ningewapa fursa ya wao kuunda serikali nzima ya kuiongoza Tanzania halafu tuone kile ambacho wao wangekifanya kilicho bora zaidi na kilicho tofauti kabisa na afanyacho Rais kwa sasa.

Manake sasa naona na sisi kwenye hii Tanzania yetu tuna watu wanaosumbuliwa na Magufuli Derangement Syndrome.

Chochote afanyacho Rais, kuna watu hawatapenda tu, hata kama na wao ni wanufaika.

Chochote asemacho Rais, watu hawa wenye huu ugonjwa wa Magufuli Derangement Syndrome, watasema ni kibaya tu kwa vile kimesemwa na yeye. Lakini kitu hicho hicho kikisemwa na mwingine, watashangilia kwa kupiga makofi na vigeregere.

Watu hawa natamani sana wao ndo waunde serikali ili hatimaye tuone kama kweli wanaweza kufanya kinyume na vile ufanyavyo huu utawala wa sasa.

Manake isije tu kuwa ni kelele za kupitia kwenye keyboards zisizoambatana na substance yoyote ile kwenye uhalisia.

Anyway, that’s just a hope. And a hope without a plan is nothing more than a wish.....
Unaweza kujua hii namba si square root ya mbili bila kujua square root ya mbili ni nini.

Kwa hiyo mtu kusema "hapo umekosea, hiyo si square root ta mbili" si lazima yeye ajue square root ya mbili ni nini.

Mimi nimependa Magu alivyoikata mkia bandari ya Bagamoyo ambayo ilikuwa inaletwa bila mpango.

Lakini hilo halimaanishi anavyofanya ushamba wa kuminya demokrasia nafurahia.
 
Iwapo kuna ulazima wa wote wapingao/walalamikao waadhibiwe ili kuondoa maana/impact ya "adhabu" kwao na kwa jamii kwa ujumla.......basi na ifanyike hivyo.Reasons and logics.
Kila apingaye ameadhibiwa?
 
Tatizo kubwa la huyu mtu lilianzia pale alipokua ana mind vitu vidogo vidogo mfano watu wakianzisha nyuzi humu au social media zingine basi yeye aliwa anahutubia atapiga vijembe vya hapa na pale, pia atataka asifiwe kwa kila kitu kana kwamba yeye hakosei yani jamaa anapenda sifa dunia nzima inasubiri rejea kwenye madini yalivyorudi toka lenya "na mimi mniaifie kidogo" maana ningekua moigaji ningeyapiga juu kwa juu kwaio tukio zima lilikua ili aweze kupewa sifa na pia swala la yeye kulazimisha kuhalalisha kwamba ni mtu mwema ndo hapo shida inapoanzia huyu mtu kiukweli hana legitimacy yoyote ile..kulazimisha legitimacy kunafanya watu waone ubaya wako badala ya mazuri yako
 
In this Information Age, almost everybody is an ‘expert’ in ‘everything’.

So, if I had my druthers, this is what I would do:

Wale wote ambao kwao Rais Magufuli hana jema lolote lile, ningewapa fursa ya wao kuunda serikali nzima ya kuiongoza Tanzania halafu tuone kile ambacho wao wangekifanya kilicho bora zaidi na kilicho tofauti kabisa na afanyacho Rais kwa sasa.

Manake sasa naona na sisi kwenye hii Tanzania yetu tuna watu wanaosumbuliwa na Magufuli Derangement Syndrome.

Chochote afanyacho Rais, kuna watu hawatapenda tu, hata kama na wao ni wanufaika.

Chochote asemacho Rais, watu hawa wenye huu ugonjwa wa Magufuli Derangement Syndrome, watasema ni kibaya tu kwa vile kimesemwa na yeye. Lakini kitu hicho hicho kikisemwa na mwingine, watashangilia kwa kupiga makofi na vigeregere.

Watu hawa natamani sana wao ndo waunde serikali ili hatimaye tuone kama kweli wanaweza kufanya kinyume na vile ufanyavyo huu utawala wa sasa.

Manake isije tu kuwa ni kelele za kupitia kwenye keyboards zisizoambatana na substance yoyote ile kwenye uhalisia.

Anyway, that’s just a hope. And a hope without a plan is nothing more than a wish.....
Vipi kuhusu wale mnaoshangilia kila kitu hata likiwa cha kijinga mradii kimefanywa na huyu Mungu wenu mnataka kila.mtu.asujudu.na kuabudu
 
Kiongozi yeyote yule mwenye sifa za kuwa kiongozi na aliyechaguliwa na wale anaowaongoza lazima akubaliane tu na swala la kukosolewa na kulaumiwa.

Hana namna nyingine!
 
Na hapo uliwahi kuishi US,

Niliwahi kuishi US? So it’s past tense now?

And what does having ‘lived’ in the US got to do with anything, pray tell?

at least ukatoa tongotongo kwenye ubongo + a mere education you pursued,

Mimi nimeishia form four tu. Sasa sijui unazungumzia elimu gani hiyo! US kuna form four?

bila ya hivyo wewe ungekuwa zaidi ya mjinga,

Mimi sina elimu yoyote ile ya kuongelea. Ni failure wa form four tu.

hapa tu kichwani upo zero kabisa,

Tell me something I’ve never heard before. Otherwise go cop a ghostwriter.

your ID reflects the essence of your nature, what if usingekuwa umesoma wewe mtu?

But who told you I was an erudite? You must have been lied to.

Truly ungekuwa unakula hata kinyesi chako...

Hmm...I never thought about eating my own poop . It could be a delicacy, for all I know.

Who the hell is Magufuli?

He is the President of the URT. You better put some ‘respek’ on his name.

and what do you know about Democracy?

Probably a whole heck of a lot more than you ever will!!

Watu wanampinga hadi Mungu wasiyemuona ije kuwa huyu Dikteta anayetesa watu?

And your point is...?

How comes unalazimisha kila mtu ampende Magufuli?

This is just a figment of your imagination. I don’t have such powers.

Let Democracy take its course,

No one is blocking it. Certainly not me.

unampenda wewe na mkeo inatosha,

Uliniozesha dada yako?

how would you compel others?

I’m not. So what the *** are you talking about?

Hakika wewe ni nyani, tena nyani uchuro.

I’m the Nyani you see
In the place to be
I went to John Jay University
And since kindergarten I acquired the knowledge
And after the 12th grade I went straight to college....
 
Unaweza kujua hii namba si square root ya mbili bila kujua square root ya mbili ni nini.

Kwa hiyo mtu kusema "hapo umekosea, hiyo si square root ta mbili" si lazima yeye ajue square root ya mbili ni nini.

Mimi nimependa Magu alivyoikata mkia bandari ya Bagamoyo ambayo ilikuwa inaletwa bila mpango.

Lakini hilo halimaanishi anavyofanya ushamba wa kuminya demokrasia nafurahia.

Inawezekana kuminya demokrasia kidogo na kuiruhusu iwepo pia?
 
Wapingaji wa Magufuli wengi wanasumbuliwa na njaa ukifatilia wengi either maslahi yao yameminywa au wanapata mkate wa kila siku kwa kumpinga JPM.
Usipende kulinganisha watu wote na standard yako ya maisha.
Kwa taarifa yako praise team ndio imejaa watu wa njaa na wasio msimamo kiasi kuwa hata kipande cha mkate wanaweza kuuza utu wao
 
Vipi kuhusu wale mnaoshangilia kila kitu hata likiwa cha kijinga mradii kimefanywa na huyu Mungu wenu mnataka kila.mtu.asujudu.na kuabudu

Kama wapo watu wanaoshangilia kila kifanywacho basi mimi niondoe kwenye hiyo orodha.
 
Back
Top Bottom