If I had my druthers....

If I had my druthers....

Vipi chato airport imekuja na mpango upi mkuu?
Kamuulize Magufuli. Sijawahi kuitetea.

This is not a binary issue kwamba ukipinga Bagamoyo lazima uwe team Chato.

Inawezekana nikaona zote ujinga tu.
 
Utajuaje wakati wewe ni bavicha
Hahaha ubavicha umenisingizia tu, lakini na upokea. Anadai yeye ni rais wetu sote. Lakini hakuchaguliwa chamani, alipitishwa bila kupingwa kwa nguvu. Huku NEC wakamtangaza, na walituambia wao wakisha mtangaza hakuna anayepinga. Tungefanyaje sasa tunampinga hamtaki.
 
Utampangiaje mpinzani cha kupinga ?!.
Kwa hiyo hata mambo mazuri apinge tuu!!??
Labda nikuambia kuwa kupinga ni kutokubaliana na suala husika kwa maslahi mapana ya taifa..
Kama mtu akipatia na kufanya vizuri unasema kakosea tambua kwamba siku akikosea ukimuambia kakosea hatotilia maanani
Ndio maana hamsikilizwi kwa upumbavu wa namna hii.
Nakubaliana na JPM aliposema ukiona mpinzani anakusifia rudi nyuma uangalie umekosea wapi....
Kweli JPM jembe aliyajua haya mapema
 
Watu wanapinga dictatorship, hawapingi mambo mema anayoyafanya. Wanachopinga kubwa kwanza ni kunyimwa uhuru wa kuihoji serikali yao bungeni na uraiani . Pili wasiojulikana na shughuli zao. Tatu vyama pinzani kutakiwa kuwaabudu ccm !!
 
Ukiona hivyo ujue kuwa kuna mambo ambayo wameyapoteza na hakuna namna wanaweza yarudisha, inawauma sana.
 
Back
Top Bottom