If Chadema change position it mustt apologize, unconditionally!


tulia dada; mimi ni nobody. the best you can do ni kuniignore tu.
 
Pole sana MMK, mwenye shida ya ukweli ndiye ataweza kudai na kuifuatilia haki yake na si vinginevyo. Ninao wategemea waje wadai katiba ni wale wanyonge na wanaopuuzwa na kubaguliwa katika elimu, afya na huduma nyingine za kijamii stahiki katika nchi yao. Nasema sasa hivi bado kwa sababu wanapewa vizawadi vidogo vidogo ikiwa ni pamoja na pilau na kisha wanasahau shida zao.
 
Kama kawaida yake Mwanakijiji anauma na kupuliza: Starting with the issue of wether or not the results announced by NEC, Do truely reflects the will of the people; the evidence adduced by chadema in support of its claim that they donot, is so overwhelming that unless these evidence are contradicted by an independent team of investigation, there is no reason not to believe chadema. For that reason, chadema has nothing to apologise for. As regards whether the strategies being pursued by chadema will be able to bring the intended results i.e levelling the playing field, it's everybody's guess; but one thing is certain, civility can never overturn the tyrany of the status quo; only a crisis actual or perceived produces real change. Unfortunately I dont see how the current policies being pursued by chadema is going to create a crisis to ccm- real or imaginary. And again in the absence of such a crisis, I dont see how one can convince ccm to commit sucide by conceding to a complete overhaul of the rule of the game, which currently is very much tilted in its favour.
 
Huyu ana spin mambo hapa na nahisi ni mmoja kati ya waandishi wa habari wa Uhuru, Habari leo au mtanzania toiletpapers.
 
I always feel of Waberoya as a Chademalist who wants to form his own rabel faction.

Huyu mwanakijiji amenichanganya kabisaaa, mpaka sasa sijamuelewa.
Ng'wanangwa, hivi unaimani kuwa waberoya ni Chademalist? umejiunga JF lini? take your time, find out the real truth about this crapist utamuelewa kuwa ni ccm anayeleta spins zake hapa.
Wakati wote wa kampeni alikuwa against Chadema huyu. Muondoe kwenye lsit yako na hata kujibizana naye ni kupoteza muda.

kwa mwanakijiji sina comment namjua na najua udhaifu wake. Akipata machungu harudi nyuma. Hanaweza kupiga kiberiti hata nyumba yake ya manyasi. teh teh teh teh teh
 

yamekua hayo tena? matusi kabisa au???
 
Mimi CHARITYBOY (Mtetezi wa Wanyonge) niliwahi kuwaambia kuwa CDM hawajakomaa kisiasa, Mbowe bado mtoto inabidi wamsikilize zitto.
 




MMM; few people can read btw lines! What you are suggesting it seems convincing and it is better for Chadema to address those issues.

Why chadema is strong opposition party currently? It is because people do think that, they are honest when it comes to national interest, and to stay on top they should not loose this credibility! They should let the public know why they challenged the NEC and Election results which later resulted in walk-out during JK's speech.

Does Wanachi deserve explanation? Yes, and if in future wananchi learn that all this (said fraud) was a political scam to seek public sympathy our hope for better future will get in question again! We know and agree that; politicians do take opputunities but not jeopardizing nation unity and stability for their own interest.

Does Wananchi need Chadema? Yes, wananchi do need Strong Chadema as they need other strong opposition parties. What we witnessed or realised recently does not suggest that CCM should be left alone without strong opposition parties in deciding which way our country should go.


Again, thank you MMM for not being party fan!
 
Mwanakijiji kazi kuandika habari za Chadema na Sisiem, hata kura hakupiga, Hebu tumewambieni mwanakijiji kuwa aandike habari zinazohusu maendeleo ya Taifa. Mwanakijiji Uchaguzi umesiha acha kuandika habari za uchaguzi. Tunakata upige kelele za maendeleo ya nchi
 
UKWELI KABISA kuna watu kwenye hili jukwaa ''pendwa'' wananichanganya sana
 
SLAA(PhD) ya ukweli kiongozi wa nguvu ya umma sio wa katiba amekuwa wazi na amekuwa akiweka sawa msimamo wake, chadema na watanzania kabla ya kutangaza matokeo, wakati matokeo ya kidikiteta yakitangazwa na baada ya kuapishana kidikiteta. Asiyetaka kuelewa ni mnafiki na mgonjwa. Dr Slaa anafahamu sheria alikuwa na choice tatu muhim za kuchukua kujitangazia ushindi kama alivyofanya Quattara, au kuamuru nguvu ya umma idai haki au kutumia ustarabu na majadiliano kuweka sawa na kuondoa serikali za kidhalimu ambalo ndilo amelichukua -sasa asiyetaka kuelewa ana lake jambo. Kimsingi Dr.Slaaa na Chadema wanalengo kubadili mfumo huu wa kidikiteta na kinyonyaji hawana fitina na mtu wana fitina na mfumo na wale wanaokumbatia mfumo huo. KWAHIYO KWA GREAT THINKER YOYOTE ATAELEWA NINI CHADEMA WANAFANYA, KWA KATIBA YA SASA INARUHUSU UZANDIKI WOTE ULIOTOKEA NDIO MAANA TUNASEMA KATIBA MPYA NDIO KILIO CHA GREAT THINKERS. THIS IS NOT FOR CHADEMA IT IS FOR TANZANIA OR TANGANYIKA
 
CDM hata kama watakosea na kusema wanamtambua mimi simutambui bado. Kama ambapo CDM walikuwa wanatoa upinzani mkubwa matokeo yalikuwa yanachelewa kutolewa na hata kwa nguvu ya Umma; mimi ni against with the system in general. Wewe M.kijiji apologies. Kuanzia kampeni mpaka kutangaza matokeo ulikuwa ni ushetani mtupu. I will not be against with my first decision!!. M.kijiji umechakachuliwa na ZITO.
 
mi hizi siasa za tanzania hata sizielewagi sometimes, full kuchanganyana
 
my way back with full blust, 120km/hr bila kujali coner.

Kwa uelewa na ufahamu wa MMM, siyo rahisi kuamini kuwa hayuko popote katika vikao vya maamuzi. hata CCJaliyoipenda sana hakuwahi kuwa na nafasi kwenye kikao chochote. Lakini ni mkosoaji mzuri sana.

Shabiki mzuri ni yule ambaye yuko tayari kuuona uhalisia wa uwanjani siyo yule atakayetamani kufunga tu, hata kama kwa kufunga mshambuliaji angevunjuka mguu.

Mpaka sasa, hatujui uongozi wa Chadema una taarifa gani kutoka ndani ya CCM na Serikali yenyewe na hata wafadhili. Taarifa tulizonazo ni kutoka magazetini tu, lakini tayari lawama nyingi kabisa. Hivi ikitokea tukagundua baadae kuwa huu ulikuwa mkakati makini na sahihi kuliko yote kutokana na taarifa/mazingira ya wakati huu. JE MMM WILL YOU COME BACK AND APOLOOOOOOO OR YOU WILL JUST GO ON AS KAWAIDA?
 

Samahani kama ntakuwa nimekosea, lakini sijawahi kuckia mahali cdm wanamtambua kkwete kama raisi kwa kuwa alishinda uchaguzi bali kwa kuwa alitangazwa na NEC ambayo kisheria iamna mahali unako weza kumpinga wala kumshitaki kulingana na sheria! Mzee MM, nahisi wewe kama wananchi wengi hamkuilewa CDM. Hivyo sorry sana kwa hizo comments zako sioni kama ni valid.
 

Mkuu, sawa walijua kabla ya uchaguzi...lakini ulitaka wafanyeje??? What could be the best option? wasusie uchaguzi?? Nadhani you need to put yourself on their shoes alafu uangalie all conditions sio tu ulaumu.



Mkuu MMJ, nadhani hapa wengi watakuelewa labda kama madela wa madilu aliposema ubadili lugha. Here I got your points vizuri. Labda watu waendelee kuwa wavivu kuelewa.


Ukisoma maoni ya watu humu ndani, then una appreciate the fact kwamba kumbe ni kweli watu/wanadamu wanatofautiana sana uwezo wa ku-analyse situation na mambo mbali mbali. Naona niishie hapo kwani kuna hoja nyingine huwezi zitegemea kabisaa, pengine ni kwa sababu hatufahamiani hapa.
 

Hata kama they have anything which they know; they should as well understand that they are doing politics and behind them are civilians (Supporters) who have rights to be psychologically prepared. People have got feelings and emotions sasa vipi ku raise adrenaline za watu alafu ghafla bin vu kuwaacha kwenye mataa bila maelezo ambayo yanatayarisha mwitikio sahihi wa audience? Mkiambiwa mnahatarisha amani ya taifa mtakataa? Watu wanyonge wamejenga matumaini makubwa na kwamba wakaaminishwa the right solution has come...mmmh? Acheni kuchezea hisia za watu. MMM aapologize kwa lipi yy madai yake ni kuhusu public ambayo imeachwa ikiwa na sinto fahamu nyingi hata kama yy binafsi anajua kinachoendela if i were to think for him!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…