mwanakijiji anataka tuamini hata Mahanga alishinda kihalali.
unafiki tu.
mawazo na fikra zetu kuhusu uchaguzi mkuu have nothing to do with Chadema
Chadema ni jicho la tatu tu. Tuliona wenyewe kwa macho yetu mawili kuwa uchaguzi haukuwa huru na haki.
Chadema hakifikirii kwa niaba yetu wataka mabadiliko.
tuliona wenyewe.
He always does switch sides
Kwa hiyo uko juu ya chadema,
Mahanga na ccm wengine ni wezi tu! na kila mtu analijua hilo,CDM walianza vizuri ile move ya kutoka bungeni, na tulitarajia wangeendela na msimamo ule ule na pengine kuukaza na kwenda mbali zaidi.
hakuna haja ya kuwaonea aibu CCM, na cdm ndicho walichofanya!! wewe weka matumaini yako kwa CDM andika chini mark this date.
our AIM is to get true revolution acts from chadema, kama haujaelewa hivyo mtakuwa mkipinga, tunataka twende barabarani, maandamono, let Slaa akae siku 3 jela, kesho mbowe apigwe virungu na Zito apelekwe keko.CDM will be in higher level than it is now!!!
ISSUE hapa sio kuchekeana, CDM wangekaza buti na wangepata support,kumekuwa na tuhuma za ufanyaji biashara wa wapinzani..wait this thread may tell us something
Kaka upo, unataka mabadiliko mimi nataka kwa kasi kuliko wewe, msipingane na kumtukana MKJJ rather tungenungana na kusema CDM are we together? kama wanataka wakashikane mikono na JK waende tu.
kumkubali JK na kukataa process ni sarakasi za siasa ambazo haziiingii akilini mwa watu kirahis, mbaya zaidi process ambazo mlizijua kabla ya uchaguzi.
Ndugu zangu hivi mlitaka katika mazingira haya CDM wafanye nini mbadala ndio tuwaone kuwa ni wapiganaji kweli kweli??
Yaani sisi waswahili kwa kweli tumeshindikana, hatusaidiki, hatueleweki, hatutabiriki & hatubebeki hata kwa fuso!
Ama kweli MIAFRIKA NDIO TULIVYO!!!
Kaa kimya ewe mwana wa kibarakaHuu mtazamo ni wako au wa Chadema?
Na Dr. SLaa aliposema hamumtambui Kikwete alikuwa anatoa uamuzi wake au wa Chadema.
Kama mmeona kosa msione ugumu kuapologise, huo ndio uungwana.
Wewe ni mgumu wa kuelewa. Certified
kama kimefika mwisho wa kufikiri na kama wewe ulivyofikia mwisho wa kufikiri hauoni wanaweza kufanya nn then umeconfirm kuwa CDM is not hope for Tanzanians! kweli ndivyo tulivyo
Ngw'anangwa... naomba urejee kumsoma tena na tena mwanakijiji na pia pia waberoya kisha soma ulichoandikaWewe ni mgumu wa kuelewa. Certified
CDM is not for revolution it is for evolution and compromisation.They are not supposed to be believed!! coward
Ngw'anangwa... naomba urejee kumsoma tena na tena mwanakijiji na pia pia waberoya kisha soma ulichoandika
kuna gaps... MMM kwa hili aweza kuwa sahihi zaidi, unless Slaa ana magic card tusiyoijua, highly interesting
Wamekuuza wapi wakati uliwapa ccm kura yako? Mnafiki mkubwa kalale naona una usingizi.This is painful truth! wote wanaoitakia mema nchi hii wakae wakijua CDM wametuuza na hawana mpango wa katiba mpya really! walianza vizuri na wangeendelea na moto ule ule! ikiwamo kususia bunge kama kweli walidhamiria!
mnawacheka CUF kwa mafanikio yao, believe me,CUF is far far away from CDM kwa kila kitu!! KATIBA NI VITA haitatolewa kama pipi,personal interest za baadhi ya viongozi zinawayumisbiah wengi na zinaficha kila kitu.
CDM made mistake na blind followe tu hawawaelewi kuwa wameishauzwa!
Watu naona wanaitikia kwa haraka sana bila kutulia chini na kusoma hasa nimesema nini. Ninachosema ambacho labda inabidi nikifafanue ni kuwa Chadema wakisema "wanamtambua Kikwete kama Rais" au kutuambia kuwa kutoka kwao Bungeni hakukuwa na uhusiano wa kutomtambua Kikwete basi kuna matatizo. Nilichokisema based on a different thread (naamini labda ningeweka kwenye ile thread ningeeleweka kwa sababu wengine wamekuja na kuanzia hapa).
Kuna thread tulikoanzia ambayo ilikuwa na ujumbe huo kuwa "Chadema yamtambua JK"; Ilikuwa kutokana na hilo ndio maada hii ilipoanzia. kwamba hawawezi kubadilisha msimamo juu ya jambo kubwa kama hili na wakabakia bila ya kulipa gharama yake.
kwa mfano, Chadema wakisema:
a. Wanamtambua JK kuwa ni mshindi wa uchaguzi mkuu wa 2010 watakuwa wamebadilisha msimamo
b. Wanamtambua JK kwa sababu kura zinaonesha kuwa alishinda kwa haki wamebadilisha msimamo
Lakini wakisema (wote na ndio msimamo wa chama) kuwa:
Tume (chombo chenye mamlaka ya kumtangaza Rais) ilimtangaza JK kuwa ni Rais na hivyo JK ni Rais kwa sababu alitangazwa na Tume - watakuwa hawajabadili msimamo kwani wanaelezea a legal situation iliyopo.
Kwa hiyo, la msingi ni kujibu hilo swali. Na hapa niweke hili neno "kama" - kama msimamo wa Chadema wa kumtambua umebadilika kutoka ule wa awali ni lazima waombe msamaha. Lakini kama msimamo wao ni ule ule basi ni jukumu lao kusahihisha taarifa zinazoonesha au kuashiria kuwa wamebadilisha msimamo. Thats all I'm saying.
Umesoma aliyoyaeleza Mnyika au unataka kuendeleza mjadala wa Uhuru toiletpaper?Twendeni taratibu;
Chadema inamtambua JK kama Rais sivyo: Je huu ndio ulikuwa msimamo wa tangu awali baada ya matokeo kutangazwa au la?
basi ngoja niseme kwa kifupi sana nilivyoelewa mimiI always feel of Waberoya as a Chademalist who wants to form his own rabel faction.
Huyu mwanakijiji amenichanganya kabisaaa, mpaka sasa sijamuelewa.