TANMO
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 12,045
- 12,540
nadhani ndo avatar yake au?
Kwenye Avatar ni yeye mwenyewe Cantalisia wa Jei efu, wanafanana sana na yule Mspanyola..
nadhani ndo avatar yake au?
Kumbe hata ww ni mdau wa tamthilia!
sam badi alinihadisia.. lol
Morning swaiba,umeamkaje aisee!mie niko poa kbs!
La Revancha means marudio.Channel gani? Alafu LaRevancha maana yake nini?
Pamoja mkuu!inshallah nimeamka salama,tunaendelea na ujenzi wa taifa tu,huku tukiburudika na jf
La Revancha means marudio.