Sasa hizo zina matukio gani?Jane 000
cholo
Isipofika tunaandamana ajiuzulu...lol, si utatengeneza bango?Alivo na roho mbaya lol...
sjui ka itafika
Kama ban ziko ivo ni hatari! lol
na wasiwasi imetokana na zile tamthilia za kweny t.v
yes. Kuna yule mdada wa kwenye tamthilia moja hivi ya kiispanyola anaitwa Cantalisa, mzuri kweli!
Yes,but ni ya mda mrefu sn,km ingekua ya msimu ningeianzisha wakati ule ilipokua ikirushwa ile tamthilia!but kutokana na mapnz yangu kwa mhusika nilipoamua kujiunga ika ni jina nililoona linanifaa!
Kumbe hata ww ni mdau wa tamthilia!
LaRevancha!Sasa hivi unaangalia tamthilia gani hapo ulipo?
hahaha live tanmo,kibongo bongo majina kama hayo hatuna
Nakumbuka hili jina kwenye zile tamthiliya za ITV/TBC za amerka kusini
Hata hili lako kibongo bongo mmmh!
khaaaaa!hii co ya mcmu bana,ni ya kudumu aiseee!
Sasa hivi unaangalia tamthilia gani hapo ulipo?
LaRevancha!
mh aya agreed!
hahahaha!mwanakwetu kwa nilikua naangalia marudio ya my 3sisters lol!
Pamoja mpendwa!