Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,222
- 2,925
Nasubiri atakayeingia na id ya MWANAASHA.
Invisible..
Cantalisia
shauri yako
khaaaaa!hii co ya mcmu bana,ni ya kudumu aiseee!
why, kwa nini?
na wasiwasi imetokana na zile tamthilia za kweny t.v
yes. Kuna yule mdada wa kwenye tamthilia moja hivi ya kiispanyola anaitwa Cantalisa, mzuri kweli!
Lol sigma, nimekuwahi!Ebo sweetlady, you are thoughtbroadcasting my thinking!
Hahaha! Ntakwambia kwa PM kile unachowaza manake hapa ntakushitua...lolHebu sasa niambie nawaza nini!
Ooh, ntamtumia yeye afu ntamwomba akufowadie!Inbox yangu invizibo katia kufuli
Gamba gumu