ni kiongozi aliyechukiwa na watu wengi, kwa sababu mbalimbali. wengi walimwita dictator, nduli etc. lakini licha ya ubaya wote huo he used to speak his mind. akitokea familia maskini sana, alilazimika kulima mashamba ya watu ili apate hela ya kujikimu na kusaidia familia. through determination he managed to become a president. alichukia UBEPARI NA UVIVU. annexed hereunder is the links of his speech to the cabinet. sisi tunajifunza nini kutoka kwake?
General Idi Amin Dada, Autoretrato (subtitulado en español) 1974 - YouTube
How to lead in Africa.flv - YouTube
Yeah, Kwa kuua na Kuchoma vichwa vyao na KUVILA... Naona UMEYAAMINI ya MAANDIKO
Ndugu nngu007, unaweza ukawa sahihi ingawa hakuna ushahidi(direct evidence). wengi wanamjua idd amini kwa video clips or sinema. na sinema zenyewe zilikuwa propaganda kuonyesha udhalimu wa Amini. hata hivyo kwa mwanasalsafa natakiwa kuchukua yale mazuri tu na yale mabaya tunamwachia yeye. Yes! he was a dictator, but he had a good intention to his people.
Yaani sasa utaniambia alikuwa hateketezi WAPINZANI wake? Ina Maana alikuwa hawanyanyasi Wananchi Wake?
Leo HII Mnawita KAGAME rais Mzuri; Kesho Mtatuambia BANDA roho yake ilikuwa nzuri Tuwaachie ziwa NYAS
Na halafu kulikuwa hakuna BIASHARA ya WATUMWA na MWARABU; hapana tumeyaandika tu kufurahia UWEUSI WETU
* NDIO TANGANYIKA hiyo; kila kitu kimepita; Hata MAENDELEO yameisha...

kama umefuatilia video clips kwenye link hapo juu, alimutuhumu foreign minister kwa kuwa mzembe na kutoa taarifa zisizo sahihi. a week later was found dead at nile river. ili maendeleo yaje lazima mbegu(human resource) ife(sacrifice) ili nyingine yenye kuleta matunda iote na kuleta matumaini kwa kizazi kilichopo na kijacho.
Lesson learn:
1: kujituma kwa bidii zote ndio tija ya mafanikio. idd amin professed for self determination.
2: Love your neighbour. ili jamii iishi kwa amani lazima upendo uwepo kuanzia kwa watawala mpaka watawaliwa. tofauti na hapo hakuna dola(serikali ya kitaifa) or state sovereignty. kwa Tanzania, upendo haupo. na kama upo ni wa mashaka na kuigiza. kwani patrotism ya watanzania inashuka kwa mwendo kasi misili ya mbayuwayu.
3. kuwajibisha na kuwajibika. kiongozi aliyekuwa mzembe aliwajishwa kwa staili yoyote(even death). je viongozi wetu hawastahili hukumu ya kifo kwa blunders na majanga mengi waliyotusababishia?
KUHUSU KAGAME:
kagame is doing right. issue ya kuwa dictator au...ni kulingana na definition na perception ya mtu mwenyewe. bse you cant stop people to gossip!!
ningependa(siyo ningependwa)! the most of scandals were created and propagated by senior Jk
Mkuu kasema Idi Amin hakua muuaji. Is he serious? Hata kama kulikua na wauaji zaidi yake ni upumbavu kusema this guy was not a killer.
Mkuu kasema Idi Amin hakua muuaji. Is he serious? Hata kama kulikua na wauaji zaidi yake ni upumbavu kusema this guy was not a killer.
Viongozi wengi wa africa na duniani kote ni wauaji na especially inapotokea kuna upinzani. Hivyo hata Idd Amin lakini among those waliofanya uuaji. Lakini inatakiwa taarifa itolewe bila kuegemea upande wowote. Kwani hata hao waganda wenyewe hawana record exact kuwa jamaa aliua watu wangapi na kwanini.
Wanahisi tu ambacho ni kitu kibaya. Chavez kasema inatakiwa kumuuliza kwanini alisema hivyo? Maana huwa kuna watu wengi wemezuliwa mambo mpaka yakazidi mpaka mfano Saddam Hussein na wengine wengi tu wapo.
Hiyo ufanyika kama umeenda against interests za watu fulani. Hivyo tujiulize kipindi cha amini hakukuwa na watu wanainterest na uganda? If so kama alikuwa muuaji wa kiasi hicho kwanini alipewa ukimbizi wa kiasa?
Ndugu nngu007, unaweza ukawa sahihi ingawa hakuna ushahidi(direct evidence). wengi wanamjua idd amini kwa video clips or sinema. na sinema zenyewe zilikuwa propaganda kuonyesha udhalimu wa Amini. hata hivyo kwa mwanasalsafa natakiwa kuchukua yale mazuri tu na yale mabaya tunamwachia yeye. Yes! he was a dictator, but he had a good intention to his people.
F.Y.I I kuna watu wanajua wazi Nyerere alikuwa anadhulumu watu wakati wake kulikuwa na dhuluma sana, warabu na wahindi walitaifishwa majumba yao..kama unakumbuka msajili wa majumba.I salute Nyerere tena juzi tu nilikuwa na wafundisha wanangu who Nyerere was .waliona Ile movie king of Scotland halafu Nika nunua bigraphy ya Nyerere (history channel ) my husband is very conservative Iakini anamzimia Nyerere kinoma.Nyerere alipigana vita .Chaves alimsaaidia Idi Amini na Nyerere Huku alinunua madude ya vita kwa mrusi.Nyerere unaambiwa alikuwa bonge la commander in chief.Na wanajeshi walikuwa ndio priority ya serikali full benefit .angalieni jeshi la sasa walivyo na njaa.ukonga na gongolamboto ilikuwa wanajeshi na pilot wa wakijeshi wanakaa Huko .bonge la documentary nunueni history channel.summer nawapeleka wanangu butiama maana wanamuona Nyerere Kama Reagan wanangu.kutwaa kuniulizia habari Zake.Namshukuru mungu I saw his presidency and USA watu wengine hawajui Tanzania ila nikisema Nyerere tu wanamalizia Julius ?nasema naaam