Kweli wewe mpayukaji.... Kwamba Amini yupo sawa na JK?
Amini ni moja ya Strong Leaders ambao wapo katika World history....
Kasoro alio kua nayo ni roho yake mbaya kupita maelezo.
Yaani, kwa umwagaji damu wote, kula mwanadamu bado nyinyi mnampenda?
Aheri ya Kikwete, hata kama ametufanya Masikini lakini anatuachia roho zetu zipumue mpaka mwenyezi mungu anazichukua
Uhai wetu hauchukuliwi na shetani Idd Amini... Hata kama sipendi Siasa za Kikwete lakini ni bora mara dufu ya Idd Amini
Mara dufu ya Rais wa Rwanda hao wote wana damu za wananchi wao mikononi Mwao
Hongera Kikwete... Haujui jinsi ya kutuondolea Umasikini lakini, hautuchukui Roho zetu kwa mtutu wa bunduki
We niaje? Unatumia ma**lio kufikiri!!!!Yaani, kwa umwagaji damu wote, kula mwanadamu bado nyinyi mnampenda?
Aheri ya Kikwete, hata kama ametufanya Masikini lakini anatuachia roho zetu zipumue mpaka mwenyezi mungu anazichukua
Uhai wetu hauchukuliwi na shetani Idd Amini... Hata kama sipendi Siasa za Kikwete lakini ni bora mara dufu ya Idd Amini
Mara dufu ya Rais wa Rwanda hao wote wana damu za wananchi wao mikononi Mwao
Hongera Kikwete... Haujui jinsi ya kutuondolea Umasikini lakini, hautuchukui Roho zetu kwa mtutu wa wbunduki
Yaani, kwa umwagaji damu wote, kula mwanadamu bado nyinyi mnampenda?
Aheri ya Kikwete, hata kama ametufanya Masikini lakini anatuachia roho zetu zipumue mpaka mwenyezi mungu anazichukua
Uhai wetu hauchukuliwi na shetani Idd Amini... Hata kama sipendi Siasa za Kikwete lakini ni bora mara dufu ya Idd Amini
Mara dufu ya Rais wa Rwanda hao wote wana damu za wananchi wao mikononi Mwao
Hongera Kikwete... Haujui jinsi ya kutuondolea Umasikini lakini, hautuchukui Roho zetu kwa mtutu wa bunduki
nimesoma "between the lines" pamoja na font kuwa ndogo sijaona connection ya heading na maandishi can you elaborate!
[h=1]Nyanjura na Kisubi, ni kizazi kipya cha Uganda na Afrika?[/h]
Mwandishi Wetu
Nyanjura Doreen
APRILI 11 ni siku yenye kumbukumbu nzito kwa nchi za Uganda na Tanzania. Siku kama hiyo mnamo mwaka 1979, majeshi ya ukombozi ya Tanzania na Uganda (wapiganaji wa msituni) yalifanikiwa kumtimua Iddi Amin kutoka Kampala, na kuandikwa historia ya kumaliza utawala wa kimabavu uliokuwa umedumu Uganda kwa zaidi ya miaka tisa.
Hili linashangaza. Ni ujumbe si kwa Rais Museveni peke yake, bali kwa marais wa Afrika ya Mashariki na Afrika nzima: kwamba mabadiliko ya msingi yataletwa na kizazi kipya. Matumizi ya silaha yanapitwa na wakati. Mbele yetu ni nguvu ya kizazi kipya mbayo kuizuia ni lazima mtu awe tayari kuwekwa kwenye rekodi ya mauaji ya kimbari.
Wahenga walisema: mwenzako akinyolewa wewe tia maji. Watanzania tunajifunza nini katika serikali ya Uganda kuwakamata na kuwashitaki waandishi?
Ubaya na uzuri wa kitu unategemea na mtu anayekitazama. Mfano, wakati wengine hatuelewi kwanini Al Qaeda au Boko Haram wanaua watu wasio na hatia wengine wanasifu kwamba huo ni ujasiri wa kutimiza wajibu wao wa kiimani.
(Proverbs 26:4) Do not answer anyone stupid according to his foolishness, that you yourself also may not become equal to him.
PS: Wewe ni ngosha gani uliyejaa pumba namna hii?