Iddi Azan awaka bungeni

Iddi Azan awaka bungeni

Ngoja na mimi niwatafutie tusi fasta, hebu ngoja nicheki na mods kama wameenda break kwanza nilifyatue fasta haalafu baada ya muda nalifuta.....nisaidie kutafuta tusi litakalokidhi haja................
Jamani wenzenu tumefunga mbona mnataka kutuvurugia swaumu, kucheka sana hakuruhusiwi.

Naunga mkono hoja hata kama sijaisoma na kuielewa vizuri.

Mbunge wa Kinondoni, akomba mwongozo kuhusu kauli aliyotoa meya wa Dar kuhusu UDA kwamba kuna wabunge wanafikiri kwa makalio na sio akili.

Amesema kauli hiyo inadhalilisha bunge zima na imetolewa na kiongozi mkubwa. Amehoji ni hatua gani ichukuliwe

sehemu kuuuuubwa ya wabunhe wanafikiria KWA MAKALIO SI UONGOOOO,KWANIN WALIKUBAL MAFUTA YA TAA YAPANDE BEI?,KWANINI WANAKUBALI WAKODIWE NDEGE NA MTU WANAEMTUHUMU KUWA NI MUUAJI,KWANINI WANAJALI VYAMA ZAIDI YA MASLAH YAKO NA YANGU NA YA MWINGINE,KWANINI KWANINI KWANINI???????

Na bado tutajua mengi mwaka huu kuhusu issue zenu za ndani...ILa msitukanane basi...

Hapana Mpwa, hii inasaidia kuundosha uchungu wa matatizo ya maisha magumu yaliyoletwa na hao wanaofikiri kwa kutumia viungo tofauti.....kuna kamtandao hapa kana sample ya matusi ngoja nikatie fasta fasta.
Jamani wenzenu tumefunga mbona mnataka kutuvurugia swaumu, kucheka sana hakuruhusiwi.

Mbunge wa Kinondoni, akomba mwongozo kuhusu kauli aliyotoa meya wa Dar kuhusu UDA kwamba kuna wabunge wanafikiri kwa makalio na sio akili.

Amesema kauli hiyo inadhalilisha bunge zima na imetolewa na kiongozi mkubwa. Amehoji ni hatua gani ichukuliwe
Kwani uongo mimi naungana na Masaburi.

Mpwa, sio matusi hayo, hizo ni sifa (vivumishi) tusi huwa ni Noun (nomino) hakuna tusi linalowezakuwa kwenye form ya Adjective labda kama hilo neno linafanya kazi mbili ila hii pia hutegemea matumizi yake kwenye sentensi husika.
Na bado tutajua mengi mwaka huu kuhusu issue zenu za ndani...ILa msitukanane basi...

12_10_mzbe3s.jpg

Hii kali sana Meya wetu huyo asiye fikiri kwa kutumia makalio!!!!!

huyu mayor atakuwa anatembelea sana Jamiiforums maana kauli kama hii inatumiwa na wanaJF wengi

Na bado tutajua mengi mwaka huu kuhusu issue zenu za ndani...ILa msitukanane basi...
ukitumia maneno makali lazima upande wapi ujibu ndiyo maana wabunge wa upinzani bungeni wana ikera serikali kwa sababu wanatumia maneno makali......

samahani; kwani ni uongo kumbe hawatumii nanihii kufikia maamuzi ya kijinga? hebu ona fuel crisis waliyo-create, hebu ona power crisis walituletea, na upuuzi mwingine mwingi, kweli hata mimi nashiwishika kukubaliana na Masaburi ingawa na yeye naona ni wale wale tu......na hao waliopakiwa kwenye ndege wakapelekwa kuangalia huko Barick wana akili kweli wale?
aISEE KWELI WAKAPIMWE AKILI!

Wasingekuwa wanapitisha mambo ya kipuuzi wala yasingewakuta. Kwa hivyo kama alivyo imba Issa Matona (mungu amrehemu) Wameyataka wenyewe kwa hiyo shauri yao x2.

la nyani au la huyu Demu?? yapo mengi bhana au ya wale wanaosema mafuta ya taaa yapandishwe bei halafu kesho wansema petrol na diesel ishushwe bei??
na wewe utakuwa umejitahidi maana umetumia kalio la kulia

images

Hii kali sana Meya wetu huyo asiye fikiri kwa kutumia makalio!!!!!

teh teh teh teh yeye kama ndo wa kwanza

labda wale wabunge wakike wanatumia ma'lakes (maziwa) kufikiri, halafu wale wakiume wanatumia ma''korod''''ani , then kwa umoja wao ndo wanatumia ma''sitting

Back
Top Bottom