Iddi Azan awaka bungeni

Kabakabana

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
5,551
1,160
Mbunge wa Kinondoni, akiomba mwongozo kuhusu kauli aliyotoa Meya wa Dar kuhusu UDA kwamba kuna wabunge wanafikiri kwa makalio na sio akili.

Amesema kauli hiyo inadhalilisha bunge zima na imetolewa na kiongozi mkubwa. Amehoji ni hatua gani ichukuliwe
 
Pamoja na ubovu wake lakini hii kauli ya Mayor wa Dar imepitiliza viwango vya kudhalilidha bunge- kama taasisi.

Azan komaa na huyu mayor vinginevyo mtadharaulika mno.
 
samahani; kwani ni uongo kumbe hawatumii nanihii kufikia maamuzi ya kijinga? hebu ona fuel crisis waliyo-create, hebu ona power crisis walituletea, na upuuzi mwingine mwingi, kweli hata mimi nashiwishika kukubaliana na Masaburi ingawa na yeye naona ni wale wale tu......na hao waliopakiwa kwenye ndege wakapelekwa kuangalia huko Barick wana akili kweli wale?
 
mmmm matusi mengine bwana..... jamani napita tu naelekea sokoni kununua chakula cha futari
 
labda ukapande guta maana daladala, tax na magari yenu hayaendesheki wenye nchi wamefunga vituo vyao vya mafuta, je hio haitoshi ku-conclude kuwa wanafikiria kwa kutumia hicho kiungo cha Masaburi??
mmmm matusi mengine bwana..... jamani napita tu naelekea sokoni kununua chakula cha futari
 
Mbunge wa Kinondoni, akomba mwongozo kuhusu kauli aliyotoa meya wa Dar kuhusu UDA kwamba kuna wabunge wanafikiri kwa makalio na sio akili.

Amesema kauli hiyo inadhalilisha bunge zima na imetolewa na kiongozi mkubwa. Amehoji ni hatua gani ichukuliwe

makalio?!

duh, masaburi anatisha.
 
mama Anne Makinda pole akutukanaye hachagui tusi Masaburi kakuvunjia heshima kubwa wewe na taasisi yako, kama ni kweli anasitahili kuliomba radhi bunge na wabunge alioelekeza matusi kwayo.

sina mengi mama ndio nafika sokoni sasa
 
  • Thanks
Reactions: FJM
hahahahaaa Mpwa unanifanya nifurahi mwenyewe kwa huzuni, karibu jamvini kidogo basi nikwambia story za ndugu zetu wanavyotoana ngeu huko Kobili Mliman city wasijue aliewachinganisha ni nani? ni wale wale wanaofikiri kinyume nyume style.....
Spika anaongoza watu wanaofikiri kwa makalio......bado napita tu
 
Hapo kazi ipo!!>>>>>>>>>>>>Kama ni kwa wabunge wa Dar hakika akili zao ziko huko huko,Tena huyo Zungu ndo usiseme kabisaaaaaaaaa ...........................Kalio lake la kufikiri yamkini ni la kushoto!!!!!
 
Ngoja na mimi niwatafutie tusi fasta, hebu ngoja nicheki na mods kama wameenda break kwanza nilifyatue fasta haalafu baada ya muda nalifuta.....nisaidie kutafuta tusi litakalokidhi haja................
 
Ni kweli wanafiikiri kwa kutumia hiyo kitu ndo maana mambo yanaenda yanavoenda..tete ehhe
 
Hapo kazi ipo!!>>>>>>>>>>>>Kama ni kwa wabunge wa Dar hakika akili zao ziko huko huko,Tena huyo Zungu ndo usiseme kabisaaaaaaaaa ...........................Kalio lake la kufikiri yamkini ni la kushoto!!!!!
JF raha tupu, nimevunjika mbavu
 
hahahaahaha kali zaidi ni makalio ya Kichina......hebu pata picha hapo sasa hizo conclusions zitakazotolewa na hao Wahe-shi-miwa
Hapo kazi ipo!!>>>>>>>>>>>>Kama ni kwa wabunge wa Dar hakika akili zao ziko huko huko,Tena huyo Zungu ndo usiseme kabisaaaaaaaaa ...........................Kalio lake la kufikiri yamkini ni la kushoto!!!!!
 
Hapo kazi ipo!!>>>>>>>>>>>>Kama ni kwa wabunge wa Dar hakika akili zao ziko huko huko,Tena huyo Zungu ndo usiseme kabisaaaaaaaaa ...........................Kalio lake la kufikiri yamkini ni la kushoto!!!!!

kakukosea nin?dahh!!!!!!!
 
Back
Top Bottom