Iddi Azan awaka bungeni

Iddi Azan awaka bungeni

Namlaumu Masaburi kwa kuuza UDA, hii lawama sitamwacha nayo na lazima yeye na Iddi Simba, mwenyekiti wa bodi ya UDA wapatilizwe kwalo. Simlaumu Masaburi kwa kuwatusi wabunge, kwa sababu huenda kuna ukweli flani ndani yake. Ukiangalia maamuzi ya kina Job Yustino Ndugai na bosi wake, pamoja na Mwalimu Jenista Mhagama jinsi wanavyokubali kupokea miongozo isiyi na kicha wala tumbo na jinsi wanavyofinyanga haki za kuhoji za wabunge na kupitisha maamuzi ya ajabu ajabu, huenda kweli wanafikiri kwa kutumia hicho kiungo anachokitaja meya Masaburi. Napata shaka na uwezo wa kufikiri wa wabunge wa sisiemu! Mnisaidie kwa hili.
 
Mbunge wa Kinondoni, akomba mwongozo kuhusu kauli aliyotoa meya wa Dar kuhusu UDA kwamba kuna wabunge wanafikiri kwa makalio na sio akili.

Amesema kauli hiyo inadhalilisha bunge zima na imetolewa na kiongozi mkubwa. Amehoji ni hatua gani ichukuliwe
mayor yupo sawa-hio kauli haidhalilishi bunge zima-asi-generalise-maana wabunge wanotumia ubongo tunawaona-na wanaotumia makalio pia unaweza waona kama huyo mayor alivyawaona
 
Hapo kazi ipo!!>>>>>>>>>>>>Kama ni kwa wabunge wa Dar hakika akili zao ziko huko huko,Tena huyo Zungu ndo usiseme kabisaaaaaaaaa ...........................Kalio lake la kufikiri yamkini ni la kushoto!!!!!

Hapa si unamjumuisha na yule wa Ubungo Mnyika na dada yule wa Mbezi MDEE
 
Ukweli unauma sana...Tena alisahau kuongezea kuwa makalio yenyewe ya Kichina na ndio maana wanalilia posho za vikao maana makalio yanachoka mno kufikiri huku yakiwa yanaelemewa na uzito wa vitambi vyao.

Yani leo ni kucheka tu, wanasahau hata Jairo aliwafaninisha wabunge na Zecomedy!
 
na bado tutasikia kila aina ya matusi hiyo ipo kwenye ilani ya ccm ya mwaka 2010 na utekelezaji wake umeanza
 
kwa wale wa chama cha magamba naona kama s.................... lakini kwa wa upinzani hapana ndio tegemeo letu.
 
Iddi Azan analoloma nini wakati Masaburi amelenga kabisa, hayo maelezo yanawalingana wabunge wote wa CCM kwa 100%. Ikiwa mtu anaweza kupinga jambo mpaka povu linamtoka mdomoni halafu anahitimisha kwa kuunga mkono kwa 100% kama siyo utaahira ni nini?MASABURI USIJE UKAFUTA KAULI YAKO HIYO. MAGAMBA WANA RUKA NA KUKANYAGANA!!!!!!!!!
 
kwa uhakika hata yeye hayuko nje ya kundi linalofikiri kwa style hiyo maana alisikika pia akisema wasiipokaa kimya ataanika ufisadi wao hadharani. kwangu mimi heri wanaofikiri kwa ****** kuliko anayefunika ufisadi unaotutesa hadi tunakaa barabarani siku nzima kisa mafuta wameamua kuyanywa mafisadi wenyewe!
 
12_10_mzbe3s.jpg



Hii kali sana Meya wetu huyo asiye fikiri kwa kutumia makalio!!!!!



Magamba bwana, yamekaa kingono ngono tu, ndiyo maana yanafikiri kwa kutumia makalio.
 
Mstahiki meya naunga mkono hoja, kusema ukweli ni jambo la msingi fitina kwako mwiko,ulisahau kusema kitu kimoja ndugu meya ni kuwa makalio yenyewe ni yale ambayo hayaoshwi
 
Sasa wanachukia nini???,mbona wanalipwa sitting allowances ili makalio yao yasichoke kufikiri!!!Huu ujinga na uozo wote unaotokea nchini ni sababu ya maamuzi yao ya hovyo.Big up Masaburi!
 
Sasa wanachukia nini???,mbona wanalipwa sitting allowances ili makalio yao yasichoke kufikiri!!!Huu ujinga na uozo wote unaotokea nchini ni sababu ya maamuzi yao ya hovyo.Big up Masaburi!
Hatushangai magamba wakiendela kuchambuana hadi watapigana wao kwa wao..maana wabunge waliochaguliwa kihalali kama wa cdm hawafikirii kwa kutumia makalio ndio maana huwa wanatolewa bungeni na wale wanaofikiria kwa makalio...halaaah cdm twende kazi
 
Back
Top Bottom