Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,036
- 74,735
Mkuu hao ndio Serengeti boys/girls, badala ya kusoma historia wao wamekazana na magazeti ya Shigongo mwanzo mwisho.Idd Amin na Rwanda wapi na wapi ndugu yangu? Amin alikua raisi wa Uganda sio Rwanda, na hata kwenye Hotel Rwanda Idd Amin hajachezwa kabisa coz hahusiani na kule. Hotel Rwanda inahusu 1994 Rwanda genocide sasa sijui Idd Amini ulimuona kwenye Hotel Rwanda ipi? Btw 1994 Amin hakua in power even in Uganda.