Iddi Amin na wazungu

Iddi Amin na wazungu

Idd Amin na Rwanda wapi na wapi ndugu yangu? Amin alikua raisi wa Uganda sio Rwanda, na hata kwenye Hotel Rwanda Idd Amin hajachezwa kabisa coz hahusiani na kule. Hotel Rwanda inahusu 1994 Rwanda genocide sasa sijui Idd Amini ulimuona kwenye Hotel Rwanda ipi? Btw 1994 Amin hakua in power even in Uganda.
Mkuu hao ndio Serengeti boys/girls, badala ya kusoma historia wao wamekazana na magazeti ya Shigongo mwanzo mwisho.
 
Na mbabe pia! Niliangalia Hotel in Rwanda,jamaa ni noma!


Avatar yako mna ulichokiandika ndembwele ndembwele japo mdomo hauna mfupa na mikono haikuzaliwa kuongea,
(Wewe utakuwa umeangalia The last king of Scoland)
 
we kijana umelewa eeh? watu tuko "siriasi" we unaleta mzaha, ng'ombe we!

Binadamu mwenzio unamuita ng ombe wewe mwenyewe unajijua ni nani?Ndio nyie mliobambikiwa baba si wenu mkuu nenda kapime DNA kutakuwa na mapungufu kwenye makuzi yako
 
Idd Amini alikuwa mzalendo zaidi kwenye nchi yake kuliko Vasco da Gamba wa bongo!
 
Idd Amin na Rwanda wapi na wapi ndugu yangu? Amin alikua raisi wa Uganda sio Rwanda, na hata kwenye Hotel Rwanda Idd Amin hajachezwa kabisa coz hahusiani na kule. Hotel Rwanda inahusu 1994 Rwanda genocide sasa sijui Idd Amini ulimuona kwenye Hotel Rwanda ipi? Btw 1994 Amin hakua in power even in Uganda.

asante kwa kunisaidia,nilikuwa najiuliza mambo ya hotel rwanda na idi amin wapi na wapi,kajichanganya huyo.
 
His excellency, president for life, last king of scotland, conquer of British Empire. Muuaji mkubwa,sijui alikwepa the hague vipi vipi?
 
iddiamin ni kamanda wa ukweli,,,sio wakwenu wanagongeana glass na kupigia salute wezi,,,bure,ovyo kabitha,,,
 
ipompigia magoti kifo kinakunyemelea siyo!!!
 
iddiamin ni kamanda wa ukweli,,,sio wakwenu wanagongeana glass na kupigia salute wezi,,,bure,ovyo kabitha,,,

Acha Usenge. Mahtma Gandhi ali achieve much kupitia non violent disobedience.
 
Duh Amin alituwakisha waAfrika ipasavyo.
546335_298014996951868_100002301105174_668843_1225484964_n.jpg

Huyu jamaa alikuwa shujaa wa ukweli.
 
Duh! Naona mnamfagilia jamaa ile mbaya.
Angeshinda ile vita ya Kagera ndo wabongo mngefanyiwa hivo.
 
Vzur havidumu wabaya mbona hawafi?nilimsifu sana Idd Amini kwa kuwalipzia wazungu ni mfano wakuigwa co viongoz wa sasa vbalaka kama zuma aliyemtimua Malema kwa kukumbuka maovu ya makaburu
 
Iddi Amini alkuwa anapenda submission kutoka kwa hawa mabwana sana
 
umechanganya picha,sorry haypo idd amin bali kwenye last king of scotland
 
Back
Top Bottom