Iddi Amin na wazungu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Iddi Amin na wazungu

Discussion in 'Jamii Photos' started by Askari Kanzu, May 17, 2012.

 1. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #1
  May 17, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
 2. T

  TUMY JF-Expert Member

  #2
  May 17, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamaa alikuwa mtata sana
   
 3. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #3
  May 17, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Na mbabe pia! Niliangalia Hotel in Rwanda,jamaa ni noma!
   
 4. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #4
  May 17, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Daaaah ! Kawanyanyasa, kuna ile wamembeba kwenye kiti !
   
 5. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #5
  May 17, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Nyerere alimwita jamaa "nduli". Kwa sasa hii haiwezi kutokea Africa. Hata akina Mugabe sidhani kama wana ubavu wa kufanya vitu kama hivi!
   
 6. Bufa

  Bufa JF-Expert Member

  #6
  May 17, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 4,173
  Likes Received: 3,383
  Trophy Points: 280
  Idd Amin na Rwanda wapi na wapi ndugu yangu? Amin alikua raisi wa Uganda sio Rwanda, na hata kwenye Hotel Rwanda Idd Amin hajachezwa kabisa coz hahusiani na kule. Hotel Rwanda inahusu 1994 Rwanda genocide sasa sijui Idd Amini ulimuona kwenye Hotel Rwanda ipi? Btw 1994 Amin hakua in power even in Uganda.
   
 7. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #7
  May 17, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Mzee umechanganya madesa ! Naona majibu ya physics imeingiza kwenye Accounts, wapi na wapi ??!
   
 8. jambotemuv

  jambotemuv JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kwa hili Amini alituwakilisha vyema kwani nyanyaso na mateso walotupa hawa wapuuzi wa Ulaya siyo madogo. Kwa vyombo vya vya habari walilaani sana hili lakini nyanyaso zao kwa weusi mpaka leo hawazisemei kamwe.
   
 9. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Sasa ukisikia wababe wa zamani ndo hawa sasa.Akikuchekea ujue chakula chake wakina dada mpo
   
 10. Jagermaster

  Jagermaster JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 656
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Labda umechanganya na The Last King of Scotland, fungua tena makarabrasha yako angalia vizuri Mheshimiwa
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  May 18, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280
  Kikwete yeye ndio kila siku anahama viwanja kwenda kuwapigia magoti.
   
 12. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #12
  May 18, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,652
  Likes Received: 409
  Trophy Points: 180
  Hawa lazima watakuwa Waingereza. Mahanithi, Wanafki na Wabana Pua wakubwa!
   
 13. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #13
  May 18, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Kiboko ya Wazungu na Magabachori.
   
 14. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #14
  May 18, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Kiboko ya Wazungu na Magabachori. Chezea IDDI AMINI WEWE.
   
 15. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #15
  May 18, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Kiboko ya Wazungu na Magabachori. Chezea IDDI AMINI DADA WEWE eeehh.
   
 16. Jimbi

  Jimbi JF-Expert Member

  #16
  May 18, 2012
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  we kijana umelewa eeh? watu tuko "siriasi" we unaleta mzaha, ng'ombe we!
   
 17. client3

  client3 JF-Expert Member

  #17
  May 18, 2012
  Joined: Aug 6, 2007
  Messages: 742
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  aliyekudesesha kakuingiza chaka...dah!!!!!!!!!!
   
 18. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #18
  May 18, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,633
  Trophy Points: 280
  Duh Amin alituwakisha waAfrika ipasavyo.
  [​IMG]
   
 19. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #19
  May 18, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,577
  Likes Received: 846
  Trophy Points: 280
  kuna anaefahamu kilichokuwa kikiendelea hapa?
   
 20. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #20
  May 18, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  hao ni wazungu wakiwemo waingereza na wadachi wakila kiapo cha kuitetea kwa mtutu uganda na Amin septemba 29, 1975. kudaaadadeki Amin!
   
Loading...