Idara ya Usalama wa Taifa yakanusha tuhuma

Status
Not open for further replies.
idara ya usalama wa taifa mwenye macho haambiwi tazama na mwenye akili timamu hutambua jambo kwa ulindembwe wa ufahamu wake. nyie ni maharamia wa nchi yetu wala haihitaji kujikosha. mnanyanyasa sana wanyonge. nakama mngekuwa na nina yakufanya mlichoajiliwa yanayotokea nchi mwetu mungeweza kutoa taarifa mapema ila kwa sasa mko kwa ajili ya matumbo yenu na kutetea viongozi wa ccm
 
Hawakupanga kumuua bali kumtesa ili awatajie aliye nyuma ya mgomo!

Na ndiyo maana kila hatua ya mateso aliyokuwa anayapitia siku ile ya tarehe 26/07/2012 Dr. wetu Steve Ulimboka walikuwa wanamuuliza "tueleze ni nani yuko nyuma ya mgoma wenu, sema ni nani amewatuma mgome" akisema siyo mtu kipigo kinaongezeka na mateso. Kwa hakika kwa mateso yale angesema na ni wazi kuwa hakuna chama cha SIASA kipo nyuma ya mgomo wa madaktari bali wanadai madai yao kama ambavyo waalim nao wanadai. Je waalim nao wametumwa na nani? Hadi elimu ya juu mnadai kuwa wanatumwa kugoma. Kwa nini hamtaki kusahihisa mlipokosea? Migomo ni dhalili kuwa umeshindwa, ni dhaifu, ni legelege, it means social problems are at appex, which have been influenced by Poverty.
 
Ukisoma katikati ya mistari unaona wazi kuwa ukweli unawasuta na hawawezi kuupinga ukweli kwa uwongo, daima ukweli huvunja milima.

Aibuuuuu - kwa idara nyeti kama hii kutoa press release zilizo shallow kiasi hiki!
 
Mm napata wakati mgumu kidogo kuelewa,imekua ni muendelezo wa matukio mbali mbali ya kikatili yakifanyika na idara ya usalama ikiusishwa.

Hivi karibun gazeti la mwanahalisi limetoa habari ya kuwashutumu idara hii kuhusika na kipigo cha kikatili kwa mwenye kiti jumuia ya madaktari tanzania dr ulimboka.

Isitoshe taarifa ile imekua na baadhi ya vipengele vya ushahidi vilivyo ambatanishwa vya mawasiliano ya simu kabla ya tukio hadi kutekwa kwa dr,ulimboka.

Naona usalama wamekuja kujitetea kwa wananchi kua wao hawausiki ni uongo na ni nia ya kuichafua idara ya usalama.
HEBU NISAIDIENI MAJIBU IDARA YANGU YA KUANGALIA USALAMA WA INCHI YETU.MNATAKA KUSEMA VYOMBO VYA HABARI HAVIWAPENDI?NA KAMA NDIO NI KWA NINI?NA KAMA WANAWACHAFUA TU MMECHUKUA HATUA GANI DHIDI YA VYOMBO VYA HABARI VINAVYO WACHAFUA?
watanzania hatuna imani na idara hii tena.tunaishi kwa hofu na mashaka.
 
[h=6]Comrade Sambala
[/h] [h=6]HUYU HAPA NDIO SHUJAA WANGU WA KARNE.

SIKU YA MASHUJAA NA SHUJAA WANGU WA KARNE...

Jana ilikuwa Siku ya Mashujaa Tanzania. Siku ambayo huazimishwa kila mwaka kuwakumbuka mashujaa wetu ambao wametoa mchango mkubwa wa kuikomboa Nchi.
...
Kwa upande wangu Shujaa wangu wa Mwaka na karne hii. AMBAYE NTAMKUMBUKA NI YULE ALIYEFANIKISHA NA KUMTEKA DKT ULMBOKA.

Aliyemteka Dkt Ulimboka ameleta Ukombozi mkubwa kwa watanzania masikini na hasa wagonjwa ambao walikuwa wakifa kwa sababu za mgomo wa Madktari Kudai Mishahara Zaidi.

Kwangu mimi Dkt Ulimboka ni Msaliti wa Taifa lake.

Na aliongoza mgomo haramu ulioua watanzania wasio na hatia kwa Tamaa zake.

Tangu Shujaa huyo alipomteka Ulimboka afanikishe Azma yake alikomesha mgomo na Mijadala yote ya madaktari na mpaka sasa Haisikiki tena

HONGERA SHUJAA WETU WA MWAKA KWA KUKOMESHA MGOMO.
[/h]
 
Comrade Sambala ‎....KAMA WEWE NDIO MASIKINI MWENZANGU AMBAYE...

BABA YAKO,
MAMA YAKO,
KAKA YAKO,
DADA YAKO,
SHANGAZI YAKO,
MJOMBA WAKO,
AMA MWANAO

ALIKUFA KWA SABABU TU MADAKTARI WALIGOMA MPAKA KWANZA WALIPWE MILIONI 7.

BASI UTAKUWA NA MIMI KUAMINI KUWA ALIYEMTEKA DK ULIMBOKA NDIO SHUJAA KWANI KAKOMESHA MGOMO NA MIJADALA YOTE ILIISHA...
 
Sidhani kama kila unapotuhumiwa lazima uende mahakamani. Mbona watu mbalimbali, vyama vya siasa , makampuni yameshatuhumiwa lakini si wote wanaokwenda mahakamani? Hapa naona kama tunakionea chombomhicho cha dola, Mbona mara kibao Polisi wametuhumiwa kwa mauaji na hawajawahi kwenda mahakamani? Mtu wenye matunda ndiyo unaopopolewa kwa mawe, Tusiwakatishe tamaa hawa jamaa kwa maneno ya kugushi na taarifa za waathirika. Huyu Kubenea bado ana kinyongo na Tindikali aliyomwagiwa sasa anafikiri ndiyo sehemu ya kulipiza kisasi na sijui kwa faida ya nani?
ndio wamekutuma kuja kuwatetea?? waambie tumewatema puuuuuuu, hadithi zao wazipeleke magogoni, mzee ana wajukuu kule watawasikiliza, ****!
 
naomba wenye uelewa wa namna yakutumia google map real time watusaidie kumulika msitu wa pande siku ya tuki mchezo uishe tuone live nyuso za watekaji !
 
Kamdanganyeni mama yenu! Eti taarifa hizo tuzipuuze, mazezeta nyie! Mmeamua kuwa vibaraka wa mafisadi, kiama chenu chaja mafa la nyie. . . .
 
Ukisoma katikati ya mistari unaona wazi kuwa ukweli unawasuta na hawawezi kuupinga ukweli kwa uwongo, daima ukweli huvunja milima.

Aibuuuuu - kwa idara nyeti kama hii kutoa press release zilizo shallow kiasi hiki!
UMENENA MKUU,:sleepy::sleepy:
 
Kamdanganyeni mama yenu! Eti taarifa hizo tuzipuuze, mazezeta nyie! Mmeamua kuwa vibaraka wa mafisadi, kiama chenu chaja mafa la nyie. . . .
 
Nchi kama Marekani habari iliyoandikwa kuhusu Usalama wa Taifa kwa kudonoa majina ya wahusika, namba zao za simu, walikozaliwa na mengineyo lingekuwa kosa kubwa ambalo bila ajizi ni kufungiwa gazeti hilo for good na mhusika kupambana na mkono wa sheria kitu ambacho ni kuishia kifungoni.

Mkuu @
Candid Scope
Hivi Tanzania tuna usalama wa Taifa, kama tungekuwa na usalama wa Taifa wamiliki wa Richmond raisi angewajua, ndege za jeshi la nchi nyingine zisingetua na kubeba raslimali zetu bila usalama wa taifa kujua...!?
usifananishe Tanzania na Marekani, USA utaifa uko mbele siyo masaburi yao na matumbo yao kama ilivyo hapa kwetu..
 
Mkuu @Candid Scope

Watu nanacho sahau ni kwamba Usalama wa TAIFA sio jeshi la POLISI, hawausiki kukamata waharifu wala kuwapeleka mahakamani, hiyo ni kazi ya POLISI.
 
Mkuu @
Candid Scope
Hivi Tanzania tuna usalama wa Taifa, kama tungekuwa na usalama wa Taifa wamiliki wa Richmond raisi angewajua, ndege za jeshi la nchi nyingine zisingetua na kubeba raslimali zetu bila usalama wa taifa kujua...!?
usifananishe Tanzania na Marekani, USA utaifa uko mbele siyo masaburi yao na matumbo yao kama ilivyo hapa kwetu..

Baba na mama ndani ya nyumba wakiwa ovyo-ovyo, dhaifu-dhaifu, lege-ege, laini-laini, tepe-tepe nakadhalika, unatazamia nini kwa watoto na wengine waliomo ndani ya familia hiyo?

Baba na Mama ni nguzo ya nyumba, uimara wao ndio uimara wa familia. Udhaifu wao ndio utakaoiangamiza familia.

Tatizo si Usalama wa Taifa tu, bali idara za serikali karibu zote ni ovyo ovyo tu. Ni dalili wazi kunakosekana uongozi madhubuti serikalini ndio maana kila idara bora liende.

Umenipata mpaka hapo?
 
Hata wakikanusha wameshachafuka vibaya na wananchi hawana imani nao tena kwani wameshaonekana wao ni wauaji tu.
 
Baba na mama ndani ya nyumba wakiwa ovyo-ovyo, dhaifu-dhaifu, lege-ege, laini-laini, tepe-tepe nakadhalika, unatazamia nini kwa watoto na wengine waliomo ndani ya familia hiyo?

Baba na Mama ni nguzo ya nyumba, uimara wao ndio uimara wa familia. Udhaifu wao ndio utakaoiangamiza familia.

Tatizo si Usalama wa Taifa tu, bali idara za serikali karibu zote ni ovyo ovyo tu. Ni dalili wazi kunakosekana uongozi madhubuti serikalini ndio maana kila idara bora liende.

Umenipata mpaka hapo?
Sasa kwanini tuwaongope wakati mambo wanayoyafanya siyo..maana kwenye thread yako uliimanisha hawa ni watakatifu hawaguswi wakati usalama wa CCM wamejaa wahuni tu tena ni afadhali wahuni wa unga ltd kuliko waliojazana magogoni....
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom