makoye2009
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,638
- 1,219
Ukweli ni kwamba hawa TISS/UWT wamehusika na kuteka,kutesa na kujaribu kumwua Dr.Ulimboka. Hii ni piga ua wao ni watuhumiwa nambari wani!
Kitendo cha Polisi wenzao kutaka kuwasafisha kwa kisingizio cha Mkenya ni kuzidi kujidhalilisha! Maana bado moto utawawakia wao UWT na POLISI. Maana bado Watanzania tutauliza huyu Mkenya aliingiaingiaje nchini bila ya KUGUNDULIKA NA VYOMBO VYA USALAMA wakiwemo TISS na POLISI ambayo ndiyo kazi yao????
Maana kama hawahusika na kosa la utekaji wa Dr.Uli bado basi wana kosa la KUZEMBEA KWA KURUHUSU JASUSI,JAMBAZI AU ADUI TOKA NCHI JIRANI YA KENYA KUINGIA NCHINI TANZANIA NA KUFANYA UHALIFU WA KUMSHAMBULIA RAIA WA TANZANIA AMBAYE USALAMA WAKE UKO MIKONONI MWA WANA USALAMA uchwara!!!!
Kwa hiyo these guys(Police Force&TISS) hawana pa kutokea, bado moto utawawakia tu! Strategy yao ime-fail kwasababu waliipanga kijinga na katika hili wameonyesha kuwa hawafai kuwa wana usalama wa Taifa hili.Kwamba hawawezi kulinda usalama wa Raia,hawawezi kulinda mipaka ya nchi yetu na hawawezi kulinda Usalama wa Ikulu yetu. Adui yeyote toka popote anaweza kuingia Tanzania wakti wowote akashambulia na kutoweka bila ya kugundulika! Kwa hiyo waache kabisa kutudanganya kwa kusingizia mkenya wa watu ambaye tayari tumesha ambiwa ni KICHAA!
Sasa kichaa na kupanga mipango ya kumteka Dr. Ulimboka wapi na wapi????Nauliza tu!