Idara ya Usalama wa Taifa yakanusha tuhuma

Idara ya Usalama wa Taifa yakanusha tuhuma

Status
Not open for further replies.
Watu nanacho sahau ni kwamba Usalama wa TAIFA sio jeshi la POLISI, hawausiki kukamata waharifu wala kuwapeleka mahakamani, hiyo ni kazi ya POLISI.

Wote lao moja...sasa kama raisi anasema haijui richmond na wala wamiliki wake ni kazi ya nani kuchunguza...nchi za wenzetu kitendo cha kuomba visa tu wananza kukufatilia in/out lakini sisi vibaka wa uchina wana kuja kuwekeza tanzania matokeo yake wanauza yebo yebo...kudadadeki yaani unaweza kupolomosha matusi mpaka ukapigwa ban kwa ujingwa wa serikali hii.
 
Mkuu @
Candid Scope
Hivi Tanzania tuna usalama wa Taifa, kama tungekuwa na usalama wa Taifa wamiliki wa Richmond raisi angewajua, ndege za jeshi la nchi nyingine zisingetua na kubeba raslimali zetu bila usalama wa taifa kujua...!?
usifananishe Tanzania na Marekani, USA utaifa uko mbele siyo masaburi yao na matumbo yao kama ilivyo hapa ketu..

usalama wa taifa watoke wapi
Kwani usalama wa taifa kazi yao ni nini jamani mbona mi sielewi kiukweli jamani?
 
usalama wa taifa watoke wapi
Kwani usalama wa taifa kazi yao ni nini jamani mbona mi sielewi kiukweli jamani?
Kazi yao kubwa iliyobaki ni kumchagulia dhaifu suti za kuvaa na kuua wote wanaoipinga CCM...
 
imekula kwao hiyo hawawezi kujisafisha. mbona wamelalamikiwa muda mrefu hawakuwahi kukanusha sasa iweje leo baada ya data zote kutolewa? walitakiwa wakanushe kuwa rama siyo mfanyakazi wao.
leo ndo wametimiza mwezi mmoja ndo maana wamekuja...
 
Kama si wao watuambie basi ni nani, au ni yule mkenya. Wasituchanganye hapa, nafuu wanyamaze kimya tu. Pumbavuuuuu
Mwizi tu ukimkamata na ushahidi ready handed anakataa, itakuwa sembuse wao? Wanatuzingua hawa! Hawawezi kamwe kujisafisha. Wanakataa kwenye media? Wanadhani sisi vilaza? Shenzi type...
 
Sasa kwanini tuwaongope wakati mambo wanayoyafanya siyo..maana kwenye thread yako uliimanisha hawa ni watakatifu hawaguswi wakati usalama wa CCM wamejaa wahuni tu tena ni afadhali wahuni wa unga ltd kuliko waliojazana magogoni....

Tunatakiwa kuwa werevu, tujue kwamba mtandao huu unasimamiwa na sheria za Marekani ilikokampuni ambayo JF imesajiliwa. Mhusika na mtandao huu wa JF pengine anajua zaidi kuliko tunavyofikiri kwa vile sisi tunajua tu ni mradi mtandao mtu ujiandikie utakavyobila kufuta maadili, miiko, sheria na kanuni ambazo mtandao huu umeridhia vinginevyo utabatilishwa.

Kama mtandao huu ungekuwa unasimamiwa na sheria za Tanzania na kampuni provider ni ya Tanzania, hapo tungekwua kuru kufanya tutakavyo kwa maana kwamba sheria zetu haziko wazi kuhusu mitandao.
 
Uongo una mwisho, ndio maana Polisi wako tayari kumtafuta mwendawazimu kumtuhumu asichohusikanacho.Lile suala la Zombe lilikuwaje?Ili Rais wetu awa salama ICC akubali kuunda tume huru kwani akiendelea kukaa kimya itajulikana yeye ndio aliwatuma.mbona suala la Richmond liliwezekana sembuse hili la TISS/UWT.
 
Mkuu wa hii idara TISS cv yake ikoje na hao wanaoajiliwa huko sifa zao zikoje???kama idara nyeti namna hiyo inatoa majibu utadhani ni darasa la saba????katika sakata hii USALAMA WA TAIFA NI KUBENEA PEKE YAKE wengine mazuzu tu.
 
Uongo una mwisho, ndio maana Polisi wako tayari kumtafuta mwendawazimu kumtuhumu asichohusikanacho.Lile suala la Zombe lilikuwaje?Ili Rais wetu awa salama ICC akubali kuunda tume huru kwani akiendelea kukaa kimya itajulikana yeye ndio aliwatuma.mbona suala la Richmond liliwezekana sembuse hili la TISS/UWT.
 
Waulizwe kama wao hawahusiki inakuwaje wkenya waje tz watumie magari meusi yasiyokuwa na namba yapite mwenge na lugalo bila woga yakitokea leaders bila number yakapita pale makumbusho bila wasiwasi mpaka misitu ya pande wao wapo tu.

Maana kumvizia mtu si kazi ya siku moja sasa kama ni utitili wa siku jamaa wamejivinjari kati kati ya jiji la dar es alaam kumsaka ulimboka bila kutiliwa shaka huu usalama gani huu maoni yangu hata kama hawahusiki bado wanakesi ya kutujibu kazi yao ni kushughulika na vitu vya silini sasa imeonyesha hawawezi mtu anaingia kutoka kenya na stalet nyeusi mpaka leaders wao wapo tu na hakuna hata aliyejiuzulu huu usalama gani huu.

Wanyamaze wakiendelea kujitetea wanajichafua zaidi
 
Kama hawakuhusika wampeleke kubenea na Mwanahalisi mahakamani tuone kama wana ubavu.
 
Watu nanacho sahau ni kwamba Usalama wa TAIFA sio jeshi la POLISI, hawausiki kukamata waharifu wala kuwapeleka mahakamani, hiyo ni kazi ya POLISI.

Kiongozi, tuhuma dhidi ya TISS on its own sio issue sana. Issue (mtazamo wangu) ni watanzania wanajadili hii TISS katika hali ya utata! Nina hakika miaka kama 7 au hata 5 iliyopita ungetaja jina TISS watu wengi wasingejua kama ni chungwa au maji ya Bakheresa. Sasa hivi TISS si tu iko kinywani mwa watanzania wengi lakini kubwa inaongelewa kwa kutesa watanzania! This should be a big concern kwa watu walio kwenye ngazi za maamuzi.

Na sio tu TISS, ukikutana na mtu akakumbia anafanya kazi BOT most likely utakumbuka ufisadi! Au ukikutana na mtu amevaa uniform ya polisi unamuona kama mtesaji raia! Hizi taasisi tatu (TISS, BOT, Polisi) zilikuwa kama na heshma kubwa sana mbele ya jamii tofauti sana na ilivyo sasa. Nini kimetokea?

For the sake of argument, tuseme yote yanayoongelewa kuhusu TISS yanaweza kuwa porojo, lakini ilikuwaje mpaka watu wakaanza kuiongelea hii taasisi? Na kama kweli ni porojo, njia gani nzuri ya kuaminisha watu kwamba bado ni taasis ya heshma na watu waendelee kuwa na imani nayo? Kutoa Press Release?
 
KUTOKANA na kuwepo kwa muda mrefu kwa (1) MFUMO WA CHAMA KIMOJA, CCM kushika hatamu, na (2) mfumo wa uteuzi wa RAIS ambao vigezo vyake ni umbeya, ukurukutwa, ushabiki kwa CCM; vyombo vya nchi kama TISS, PCCB, JWTZ & POLISI vimejikuta vikitumikia CCM badala ya TANZANIA. Vyombo hivyo na taasisi nyingine nchini UTIIFU (allegiance) yao iko kwa CCM badala ya TANZANIA.

NA sababu ni moja, wanaoviongoza wanatii CCM ili wateuliwe. KWA HIYO ili kuvifanya vyombo hivi vitutumikie, ni lazima tupambane kwa nguvu zote na mfumo wa uteuzi ulioota mizizi hapa nchini - kupitia mchakato wa Katiba. WATU WAPATE NAfasi kwa ushindani wa sifa, siyo kuteuliwa.

Kwa hiyo TZ hakuna kitu au chombo kinachoitwa usalama wa taifa bali ni usalama wa CCM. KTK TZ wewe fanya maovu utakavyo, iba kadri unavyotaka, mpige hata na OCD ngwala (rejea MGOMBEA ubunge wa CCM alivyompiga OCD WA MASWA ngwala) nk; kama hayo unayafanya kwa ajili ya CCM hutaguswa. ILA andamana ukiwa CDM, mamaaaaaa utakiona: CCM ikiandamana no problem, hutaona cha usalama wa kata wala wa taifa.
 
Halafu taarifa gani haina hata mtu aliyepiga signature kuipa more credibility?Kuna mtu ameanzisha thread aliyoongea kama yana ukweli,yani wametoa taarifa kupima upepo na hakuna wa kuulizwa maswali, taarifa ni kama imetoka kwa "ghosts"
 
Sijawahi sikia usalama ikijibu tuhuma kama kipindi hiki cha kikwete, ni swala la Truth vs Facts. All truth are facts but not all facts are truth. Only time will tell.
 
Kiongozi, tuhuma dhidi ya TISS on its own sio issue sana. Issue (mtazamo wangu) ni watanzania wanajadili hii TISS katika hali ya utata! Nina hakika miaka kama 7 au hata 5 iliyopita ungetaja jina TISS watu wengi wasingejua kama ni chungwa au maji ya Bakheresa. Sasa hivi TISS si tu iko kinywani mwa watanzania wengi lakini kubwa inaongelewa kwa kutesa watanzania! This should be a big concern kwa watu walio kwenye ngazi za maamuzi.

Na sio tu TISS, ukikutana na mtu akakumbia anafanya kazi BOT most likely utakumbuka ufisadi! Au ukikutana na mtu amevaa uniform ya polisi unamuona kama mtesaji raia! Hizi taasisi tatu (TISS, BOT, Polisi) zilikuwa kama na heshma kubwa sana mbele ya jamii tofauti sana na ilivyo sasa. Nini kimetokea?

For the sake of argument, tuseme yote yanayoongelewa kuhusu TISS yanaweza kuwa porojo, lakini ilikuwaje mpaka watu wakaanza kuiongelea hii taasisi? Na kama kweli ni porojo, njia gani nzuri ya kuaminisha watu kwamba bado ni taasis ya heshma na watu waendelee kuwa na imani nayo? Kutoa Press Release?

Za saa hizi FJM, nafikili mwenzangu uliwahi kupitia National Service-kule kuna viongozi wa hulka mbali mbali nasitizia HULKA; kuna ma afande wengine ni wakatili by default na mtu uwezi kusema mambo wanayo fanya wanatumwa na wakuu wa KAMBI au ni maelekezo maalumu ya ku-deal na recruits (makuruta) - sasa mkuu FJM tunawezaje kuwa na a sweeping condemnation ya JKT kutokana na watu wachache wanao fanya uovu kwa utashi WAO hapo nazungumzia kuhusu Polisi na BOT.

Huwa naheshimu sana maoni yako FJM, sasa tukizungumzia linalo husu TISS, nafikili ingekuwa busara kuachia vyombo vinavyo husika vifanye upelelezi wa kina tusiwe emotional - TISS siyo taasisi ya kufanya mambo kwa kukurupuka bila ya kuwa na uhakika na wanacho fanya - sisi tulio nje tunaweza kusema lolote bila ya kujuwa kumbe kuna an underlying problem somewhere ambayo ilihitaji kuwa-nipped in a bud the soonest (Now not LATER). Sina hakika kama kweli taasisi ya TISS ni taasisi ya Dr. Sadism/Frankenstein, tuwe wakweli bila kuwepo taasisi hii TANZANIA kwa sasa hivi ingekuwa vurugu tupu.

Mimi ndio mchango wangu mkuu FJM, labda nimalizie kwa kukumbasha kwamba tusidanganyane hapa, mtu unaweza kuanzisha vurugu na vurumai kwa visingizio mbali mbali ukiwa na agenda zako za SIRI lakini uwezi kutabili zitaisha kivipi.
 
Nani wanamwambie apuuze taarifa?
Watatumia weledi upi? Elimu wanayo?
 
Mimi mzima kabisa kiongozi wangu. Kama nilivyosema hali tuliyonayo sasa kwamba taasisi nyeti kama TISS inakuwa mjadala sio jambo zuri. Halioneshi afya bora kwa taifa kwa ujumla wake. Lakini pia utaona sio tu kwamba umma unaongea ila, kwa sasa inakuwa kama 'malumbano' kati ya umma na hii taasisi. This is very unfortunate na ningedhani pamoja na mambo mengine walio kwenye maamuzi waitupie tena jicho hii taasisi ili kuondoa hii hali ya sintofahmu. Enzi zetu za JKT usingekuta mtu anataja kirahisi jina la hii taasisi let alone kuhoji utendaji wake. Inawezekana kuna rouge element, lakini huu utaratibu wa malumbano mimi unanipa tabu kidogo.
 
hii idara imepoteza uhalali kabisa yaani bora wakae kimya tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom