PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 354
- 395
Idara ya Uhamiaji inakanusha taarifa zinazosambazwa kwa njia ya Audio Clip kwenye mitandao ya kijamii kwamba raia wa Tanzania waliopo nje ya nchi wanaporejea nchini kupitia viwanja vya ndege au vituo vingine vya kuingia nchini wananyang'anywa pasipoti na fedha zao na kutakiwa kwenda kufanyiwa mahojiano Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi - Dodoma.
Taarifa hizo ni za uzushi wenye lengo la kupotosha umma na kuleta taharuki kwa jamii. Hivyo, Watanzania wanaaswa kuzipuuza.
Taarifa hizo ni za uzushi wenye lengo la kupotosha umma na kuleta taharuki kwa jamii. Hivyo, Watanzania wanaaswa kuzipuuza.