BigTall
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 654
- 1,598
Ofisi ya Idara ya Uhamiaji Mkoani Arusha mnatuumiza sana, pasipoti unaomba Januari unaambiwa usubiri Miezi 5 mpaka 6 sababu foleni ni kubwa.
Mara karatasi za ku-print zimeisha au kuna Maafisa wanakwambia utoe laki wakusaidie ku-push upate pasipoti kwa haraka.
Kuna nini kinaendelea hadi document hiyo ambayo ni haki kwa Mwananchi inachukua muda mrefu sana kukamilika, bora wangesema au kuwa wazi nini hasa ambacho kinaendelea.
Pia soma:
~ Uhamiaji wanakera kwa kuchelewa kutoa hati za kusafiria
~ Maafisa na Askari wa Uhamiaji tunateseka kwa uhamisho bila malipo
~ Kuna harufu ya rushwa Idara ya Uhamiaji kutumika kuhuisha vibali kwa raia wa China waliomaliza muda wa kuwepo nchini
~ Baadhi ya Maafisa wa Uhamiaji Wilaya ya Muleba wanatumia 'Road Barrier' kula rushwa