Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,595
- 215,281
Ukienda saloon foleni ya wanaume wanaosuka corn row, extension, na weaving ni kubwa kuliko wanawake. Wengine hushinda hapo wakifanyiwa manicure na pedicure.
Wanaume hawa wamekua washauri wetu wazuri wa nywele za kutumia kwa style mbali mbali.
Tunashukuru mchango wa makaka hawa katika mzunguko wa pesa na kuzalisha ajira mitaani. Wasusi wa kiume pia wameongezeka sana. Hasa wale wanaotoka Jamhuri ya Congo lakini wanajitambukisha kuwa wanatoka Kigoma.