Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 32,662
- 93,815
Unajua nilikuwa real sana at first! Baadae ndio nikaanza kwenda na upepo wa humu🤦🏽♀️Na ujanja wote huo kweli?
Unajua nilikuwa real sana at first! Baadae ndio nikaanza kwenda na upepo wa humu🤦🏽♀️Na ujanja wote huo kweli?
Kwanza anakufaje?Anakufa baada ya kupokea hela? 😂🙆🏻♀️
InawezekanaAnakufa baada ya kupokea hela? 😂🙆🏻♀️
Baada ya kutajirika ukastaafu 😁SISEMI..😷🙌🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿❗
Eti unasema we mganga, wapo and waloshindikana humu na hawajali wala nini!....na waganga wa jf..🙆🏿♂View attachment 3667935
Mwenyewe unauliza namna gani ukae kwa kubana miguu maana hali imekuwa tete😆😆😆 kuku mgeni anachekesha sana.Unafurahia mwenyewe mzee wewe😏
Hawa watu anae waelewa ni nyoka tuYau'laaa😋😋❗ Astakafiru x 100View attachment 3667931
aaah kubabake it's funny story 😁Walikuwa wanakuja kilingeni
ID za mbogamboga ukiwagusa wanakuja mbio kama wamefumaniwa😁😁Kuna zile za kujipigia promo..🙌🏿😂
We hata kanisani sijakanyaga tena! Naogopa haya mambo..@Seran🤣🤣🤣,ukapokea upako.
hahaha@Seran🤣🤣🤣,ukapokea upako.
Hebu tulia hata haikuwa hicho kipindi wala uzi wangu haujui😎Mwenyewe unauliza namna gani ukae kwa kubana miguu maana hali imekuwa tete😆😆😆 kuku mgeni anachekesha sana.
Hahahahah,ogopa matapeli,We hata kanisani sijakanyaga tena! Naogopa haya mambo..
Hivi huwa wanapataje taarifa?ID za mbogamboga ukiwagusa wanakuja mbio kama wamefumaniwa😁😁
😆😆😆😆Binti sayuni noma sana!Hebu tulia hata haikuwa hicho kipindi wala uzi wangu haujui😎
Ht mimi yalinikuta ila watu 🙌Unajua nilikuwa real sana at first! Baadae ndio nikaanza kwenda na upepo wa humu🤦🏽♀️