ID zenu nyingine tunazijua

ID zenu nyingine tunazijua

Being jobless, unless kuna namna wanapata commission kutoka JF ndio mana wafungue ID's nyingi
10eb7aed-b4d8-4516-bce3-067728598795.jpeg

Halafu hawachagui 🙌🏿🏃🏿si funza si tutusa...🙆🏿‍♂
 
Ila ID za JF 😀🙌🏿🙌🏿 Niliwahi kutuma nauli na ya kutolea juu😂.. Hakuwahi kuja..🙆🏿‍♂ imagine mpaka mkongo na energy juu na panadol... Nyoko zako😎
 
Ndege mdinya sasa hivi nimelazimika kutumia ID mbili. Kwa ID moja napiga vizinga, kwa nyingine nakuwa mtu wa heshima.

Kwa bahati maxence melo anazijua zote, hivyo hawezi kuziunganisha.
Nilivyo post kumchangia lisu M 7 ukafungua ID mpya ukaja nipiga kizinga dm kinyamkela akanisanua baba uyo secretarybird usimpe pesa nikacheka Sana ,😂😂😂 alafu nikatumia busara kukujibu ikaisha iyo🔥🔥🤪😁😁
 
Back
Top Bottom