ID zenu nyingine tunazijua

ID zenu nyingine tunazijua

JF ni kauli mbiu yangu tu, hadi tufike PM hapa jukwaani tushajuana sana. Hamna wa kunitapeli JF labda mtu aombe msaada wa uongo nikiguswa na uongo natoa hela mara nyingi ni hela ndogo ndogo tu hazina madhara.

Hiyo issue niliyohadithia huko juu haihusiani na JF.
Basi unani weka level gani katika mahusiano baina yetu? Au out of ten mm niko wapi? Naomba nisiongee sana maana unaelewa what I mean
 
Kuna ule mwaka nikakopeshwa kwa nguvu 2M kwa riba ya laki 6 kwa mwezi. . na nililipa!

Hivi mnajua kupatwa kwa mganga nyie maumivu yake kweli!?🙌🏿😂 kisa pussy mbofumbofu mganga akapigwa na kitu kizito sana🤣🙌🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿
 
Kuna ule mwaka nikakopeshwa kwa nguvu 2M kwa riba ya laki 6 kea mwezi. . na nililipa!

Hivi mnajua kupatwa kwa mganga nyie maumivu yake kweli!?🙌🏿😂 kisa pussy mbofumbofu mganga akapigwa na kitu kizito sana🤣🙌🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿
Chuckle Laughing GIF.gif
 
Nipo kiroho safi kabisa na wala sina baya iwe ni kwa utapeli au dhumuni lolote lile na ikasemekana nna ID zaidi ya hii The Monk, kwa manufaa ya umma na reputation yangu, kweli unaweza kuiweka tu, nimeridhia.
Nimekunywa ka wine leo, nisamehe kama nimechanganya mafaili..
Hauwezijua huenda ukanisaidia, ukute kuna mtu huko anatumia vibaya ID yangu mwenyewe najiachia jukwaani, kumbe watu wanakuchora tu.
Niliona mwandiko unafanana nikafikiri ni ile ID ya mmiliki wa JF 😎🙃
 
Basi tu ni kwavile hatuwezi kuandika kitu hapa..! Ila nikimkumbuka yule co-partiner kwenye biashara ya bar😂🙇🏿‍♂🙌🏿 JF salute 💪🏿🤣

Ndio maana nakwambia ni kwa vile tunaheshimu taratibu za hapa, siwezi kuleta mambo ya PM au uraiani hapa kushtakia au kumwanika mtu.

Ila watu wanaumia sana kimya kimya.
Hapa JF "any action at your own risk."
 
True story kuhusu multiple IDs
Kuna mwana hapa jukwaani siwezi kumsahau😂😂🙌🏿 kama anasoma hii post anipe ishara ya 5 tu inatosha..
Huyu jamaa alikuwa na ID kama 10 hivi..! Mimi sikuwahi kujua kabisa

Sasa sijui alijuaje kama kipindi hicho nilikuwa na chenchi kidogo, basi kila week ilikuwa kuna ID ngeni 2 zinaniomba assist PM ya 5 to 10K❗

Mimi bila hiyana wala kinyongo nikawa narusha maana nayajua maisha ya mwanaume kuishiwa

Basi baada ya mwaka nikapata simu ngeni jamaa akanisalimia kwa furaha sana na kunishukuru sana.. Kisha akatuma msg kaka hii

Mshana kuna kipindi nilikuwa nimepigika mno.. Nilikula sana tano tano na kumi kumi zako kupitia ID mbalimbali

Sasa hivi niko Mwanza nataka nikutumie chochote kukushukuru😂😂😂 Je hii number inapokea miamala? Nikamwambia ndio..! Akasema nimpe dakika 5.. !!!

Mpaka Leo nasubiri huo muamala..! Yaani tapeli ni tapeli tuu..! 🙌🏿

Nimecheka kinoma! 😊
Kuna mwanetu aliomba msaada hapa ishu ya usikivu miaka imepita kidogo, basi na mimi nikaguswa na suala lake, nikamfuata PM, lengo lilikuwa ni kumwezesha aje mjini, akutane na specialist, ambaye pia ni mshikaji wangu na apate hearing aids. Nilipompa hilo wazo, hakulikataa ila akadai yupo bize anamuuguza mke wake, hivyo angekuja baadae, lakini hili la kuja halikuwahi tokea. Akanambia kuhusu situation yake kimaisha, ikabidi niwe nampiga tafu kiume. Sasa akaja badae kuniambia amepata chance aje mjini, na kwamba familia yake anaipeleka Mwanza, hivyo atahitaji nauli, yake na familia yake n.k. Basi nikampa fedha ambayo niliona itamfaa kusafirisha familia, na yeye kuja mjini. 😊
Huo ndio ukawa mwisho wa mimi kuwasiliana nae. Hakupatikana hewani kwa namba zote, na ID yake hajawahi jibu sms mpaka hii leo. 😊
Na kweli tatizo la usikivu alikuwa nalo. Huwa nabaki tuu kucheka nikikumbuka hiki kisa.
 
True story kuhusu multiple IDs
Kuna mwana hapa jukwaani siwezi kumsahau😂😂🙌🏿 kama anasoma hii post anipe ishara ya 5 tu inatosha..
Huyu jamaa alikuwa na ID kama 10 hivi..! Mimi sikuwahi kujua kabisa

Sasa sijui alijuaje kama kipindi hicho nilikuwa na chenchi kidogo, basi kila week ilikuwa kuna ID ngeni 2 zinaniomba assist PM ya 5 to 10K❗

Mimi bila hiyana wala kinyongo nikawa narusha maana nayajua maisha ya mwanaume kuishiwa

Basi baada ya mwaka nikapata simu ngeni jamaa akanisalimia kwa furaha sana na kunishukuru sana.. Kisha akatuma msg kaka hii

Mshana kuna kipindi nilikuwa nimepigika mno.. Nilikula sana tano tano na kumi kumi zako kupitia ID mbalimbali

Sasa hivi niko Mwanza nataka nikutumie chochote kukushukuru😂😂😂 Je hii number inapokea miamala? Nikamwambia ndio..! Akasema nimpe dakika 5.. !!!

Mpaka Leo nasubiri huo muamala..! Yaani tapeli ni tapeli tuu..! 🙌🏿
hahahahaha
 
Nimecheka kinoma! 😊
Kuna mwanetu aliomba msaada hapa ishu ya usikivu miaka imepita kidogo, basi na mimi nikaguswa na suala lake, nikamfuata PM, lengo lilikuwa ni kumwezesha aje mjini, akutane na specialist, ambaye pia ni mshikaji wangu na apate hearing aids. Nilipompa hilo wazo, hakulikataa ila akadai yupo bize anamuuguza mke wake, hivyo angekuja baadae, lakini hili la kuja halikuwahi tokea. Akanambia kuhusu situation yake kimaisha, ikabidi niwe nampiga kiume. Sasa akaja badae kuniambia amepata chance aje mjini, na kwamba familia yake anaipeleka Mwanza, hivyo atahitaji nauli, yake na familia yake n.k. Basi nikampa fedha ambayo niliona itamfaa kusafirisha familia, na yeye kuja mjini. 😊
Huo ndio ukawa mwisho wa mimi kuwasiliana nae. Hakupatikana hewani kwa namba zote, na ID yake hajawahi jibu sms mpaka hii leo. 😊
Na kweli tatizo la usikivu alikuwa nalo. Huwa nabaki tuu kucheka nikikumbuka hiki kisa.
Kama alikufa je😁
 
078298a1-1689-44ec-855b-bd372d6a99d3.jpeg
 
Back
Top Bottom