ID zenu nyingine tunazijua

ID zenu nyingine tunazijua

Sielewi chochote nielewesheni tafadhali
8776.jpg
 
Hata hakusema awali, nikawa nikikutana na mtu naona anazidi kuwa mwekundu na ananyong'onyea kimya kimya kumbe ameshatengenezwa.

Imagine jamaa akarudi tena ki gentleman anataka arefund utapeli, bado akashindwa kuhifadhi ufedhuli wake, akazidi kuharibu.

Ila unaweza usiamini jamaa anawezakuja kupiga tena pesa kwa binti kiziwi na akafanikiwa, hasikii kwa vile ni kiziwi
Hahahhaha nimecheka weee!!

Nafikiri wakati ananitext alikuwa na mission yake, jibu langu lilimfanya apotee mazima.
 
Too much politics can be stressful and frustrating, especially when things do not go the way you hope. Likewise, excessive engagement on JF can create the illusion that you are widely known or influential. The reality is that only a small number of people know about JF or even have it on their devices.
Use it responsibly and keep things in perspective bro............that pics attachment tells all!
Punguzeni multiple IDs wakuu.
Tafsiri💪🏿
Siasa zilizozidi zinaweza kuleta msongo wa mawazo na kukatisha tamaa, hasa mambo yanapoenda kinyume na matarajio yako. Vivyo hivyo, kushinda JamiiForums (JF) kunaweza kukupa hisia za uongo kwamba unajulikana sana au una ushawishi mkubwa. Ukweli ni kwamba ni watu wachache sana wanaoijua JF au hata kuwa nayo kwenye simu zao.Itumie kwa uwajibikaji na uweke mambo katika uhalisia kaka............hiyo picha uliyoweka inajieleza yote!Punguzeni multiple IDs wakuu..!
 
Back
Top Bottom