Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 32,227
- 92,845
Usiogope mambo madogo hayo!I scared
Usiogope mambo madogo hayo!I scared
Nipo kiroho safi kabisa na wala sina baya iwe ni kwa utapeli au dhumuni lolote lile na ikasemekana nna ID zaidi ya hii The Monk, kwa manufaa ya umma na reputation yangu, kweli unaweza kuiweka tu, nimeridhia.Ila wewe siyo tapeli, sitaki kuwafaidisha watu humu!
JF ni kauli mbiu yangu tu, hadi tufike PM hapa jukwaani tushajuana sana. Hamna wa kunitapeli JF labda mtu aombe msaada wa uongo nikiguswa na uongo natoa hela mara nyingi ni hela ndogo ndogo tu hazina madhara.Kumbe ndo maana huwa unanikatalia pm, kwa sababu ya watu aina hii? 😂
Sawa siogopi ila hujajibu nilichouliza😎Usiogope mambo madogo hayo!
Sijui wameenda wapi hao wadada wazamani.Niue tu ila siwezi kuamini😅
Sana parefu ndio maana The monk ananitania nilivyoahidiwa kulipwa nikaanza kupiga hesabu za kununua brazilian 😂Aisee ilikuwa nyingi sana, 10k-100k unavumilia, zaidi ya hapo ni maumivu tu!!
Ni wote sio wewe tu mimi jana nilimchamba mpk mods wakafuta comment!Kama ni yeye aje aniambie kwanini anadislike kila ninachoandika na ananifuatilia fuatilia, nimemuibia mume au?
Hawa watu hawamjui CEO hawa, wanafanya maskhara 😆 😂 😆 😂Ndio maana unaitwa wizi wa kuaminiwa 🤣
Ana kampeni ya kataa wahuni 😆Mzee umekula buti nini maana naona nyuzi za sasa hivi ni za kuwasema sana wahuni..
Sema kawaida tu hiyo mazee kwa wachezaji kula buti badilisha raba au njumu..
Hebu tulia mi nafikisha tu ujumbe wa waathirika, sijiongelei mimi, fuatilia vzrSawa siogopi ila hujajibu nilichouliza😎
Ndio kina sisi basi tu tuko ulimwengu tofautiSijui wameenda wapi hao wadada wazamani.
Wanafanya masihara na Mkurugenzi 😂😂😂Hawa watu hawamjui CEO hawa, wanafanya maskhara 😆 😂 😆 😂
Ndugu yangu ashakula buti huyu nyuzi zake ni balaa inaonekana na ninyi ni wazuri aisee sisi tunawachukulia poa na ukulima wetu huu haiwezekani jamaa analia toka juzi aisee..Ana kampeni ya kataa wahuni 😆
Anamiliki kismati matataWanafanya masihara na Mkurugenzi 😂😂😂
Kuliona tu hutaki! Ungeniruhisu nikukaribie, ila Kuna vitu ukiviona kipindi hiki ni ngumu kuvumiliaNdio kina sisi basi tu yuko ukimwengu tofauti
Wanajuana na chamdeko wake sijui alipewa nini 😅😅Ndugu yangu ashakula buti huyu nyuzi zake ni balaa inaonekana na ninyi ni wazuri aisee sisi tunawachukulia poa na ukulima wetu huu haiwezekani jamaa analia toka juzi aisee..