Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,809
- 16,527
Huruma sio maleziOmba yasikukute..
Huruma sio maleziOmba yasikukute..
au aliibiwa simu u never knowNgoja niamini hivi mkuu. Lakini mimi sijawahi regret kumsaidia. Kweli alikuwa na shida ya usikivu. Huwa najiuliza tuu nini hasa kimetokea upande wake. Kinachofanya nihisi tofauti aliacha kupokea simu, na ilikuwa hewani.
Ulikuwa na hela za kuchezea 😂
Ulitoa wapi machoziMimi kilichoniuma ni kuamini yule mpuuzi ni mchungaji na nikashare naye mambo yangu na tukafanya maombi lisaa nikaanza kulia🤣🤣🤣
au aliibiwa simu u never know
kwa mantiki hio tuconclude jamaa alikua anakuchezaEmail yangu alikuwa nayo. Tulikuwa tumefika mbali kiushikaji. Na mshikaji wangu ambae ni Audiologist, alikuwa na mawasiliano nae.
Yau'laaa😋😋❗ Astakafiru x 100hahah! stress ni adhabu mkuu katika mambo ya ku ignore ni stress zisio ingiza hela
View attachment 3667930
Kuna vitu vinafikirisha
kwa mantiki hio tuconclude jamaa alikua anakucheza
Ngoja aje Meno yako unayapenda lakn 😁Kuna vitu vinafikirisha
Yalivyo mazuri nayapentaaaaNgoja aje Meno yako unayapenda lakn 😁
Tukisema ni kuGuess hatutamalizaNahisi hivyo, lakini alikuwa kweli na changamoto. Ndio kitu kinachonishangaza mpaka leo.
Mchungaji alinirudisha nyuma kidogo kiroho😁Ulitoa wapi machozi