Hiyo madhine inasambaza huo upuou kwenye kila post, haangalii kilichoandikwa. Anabadili red na green.Mkuu,
Unakutana na notifications zina red tupu, iwe basi kwa sababu nimeandika kitu cha hovyo, nakereka basi tu.
Mzee umekula buti nini maana naona nyuzi za sasa hivi ni za kuwasema sana wahuni..
Sema kawaida tu hiyo mazee kwa wachezaji kula buti badilisha raba au njumu..
Tatizo rafiki yetu umekumbatia taarifa sisi tunafanya dodosa dodosa kama ya Lissu kupata ukweli mwaga mboga ili tukae kikao kidogo tuchanganye na nyama choma za kutosha..Lakini, marafiki zangu wapendwa, si mlinishauri niachane kabisa na mambo ya ulozi? Na pia, mkanikumbusha kwa upendo kwamba masuala ya siasa siwezi sana!
id zote 10 unakuta ziko active at the same time
Siasa zilizozidi zinaweza kuleta msongo wa mawazo na kukatisha tamaa, hasa mambo yanapoenda kinyume na matarajio yako. Vivyo hivyo, kushinda JamiiForums (JF) kunaweza kukupa hisia za uongo kwamba unajulikana sana au una ushawishi mkubwa. Ukweli ni kwamba ni watu wachache sana wanaoijua JF au hata kuwa nayo kwenye simu zao.Tatizo rafiki yetu umekumbatia taarifa sisi tunafanya dodosa dodosa kama ya Lissu kupata ukweli mwaga mboga ili tukae kikao kidogo tuchanganye na nyama choma za kutosha..
Mimi ni transporter mkuu hata ukitaka namba hapa hapa nakupa nipo SA na Arusha na deal na uuzaji wa bidhaa pia sina mambo za ID nyingi pia sina uoga wowote..Siasa zilizozidi zinaweza kuleta msongo wa mawazo na kukatisha tamaa, hasa mambo yanapoenda kinyume na matarajio yako. Vivyo hivyo, kushinda JamiiForums (JF) kunaweza kukupa hisia za uongo kwamba unajulikana sana au una ushawishi mkubwa. Ukweli ni kwamba ni watu wachache sana wanaoijua JF au hata kuwa nayo kwenye simu zao.
Itumie kwa uwajibikaji na uweke mambo katika uhalisia kaka............hiyo picha uliyoweka inajieleza yote!
Punguzeni multiple IDs wakuu.😂😂😂
Ila hili limechangamka kidogo, liko advancedNi kama lile saga la Assist miaka ya 2017?
Kuna mambo tutafaana hapo nimekusoma brother 💪🏿Mimi ni transporter mkuu hata ukitaka namba hapa hapa nakupa nipo SA na Arusha na deal na uuzaji wa bidhaa pia sina mambo za ID nyingi pia sina uoga wowote..
Na pia ni mchimbachumvi na msaga sumu tu..
Ni mithili ya assist ila sasa wakati huu mtu anakua na ID nyingi na anakuja kwa pigo tofauti tofauti na swaga zote.Mkuu tafadhali nielekeze kwa kina nini kimetokea? Eti liko advanced😂
sasa yote hayo ili iweje?Wengi wanakuwa na simu mbili na zaidi na huko wanakuwa na browsers tofauti tofauti moja google,google chrome, opera, edge n.k. Huko kote wanaweka ID zao. Ni upuuzi aisee.
Huku napakia vitu vingi karibu sana.Kuna mambo tutafaana hapo nimekusoma brother 💪🏿
Hizo za assist zilinipita mbali.Mkuu nawe walikupata?
Share mapichaHuku napakia vitu vingi karibu sana.
Tunajifunza Kutokana na makosa na uzoefu😁Hizo za assist zilinipita mbali.
Kuna moja tu ilinipata, nikikumbuka hadi leo lazima nisinye au niongee peke yangu, haijawahi kubadilika.
Ilinivunja moyo sana na kunifanya nianze kuitazama JF kwa jicho la tofauti.
Ni kama mtoto wa grade 7 alivushwa madarasa hadi mwaka wa 3 Chuo kikuu, ila nimegraduate 😆
Basi tu ni kwavile hatuwezi kuandika kitu hapa..! Ila nikimkumbuka yule co-partiner kwenye biashara ya bar😂🙇🏿♂🙌🏿 JF salute 💪🏿🤣Hizo za assist zilinipita mbali.
Kuna moja tu ilinipata, nikikumbuka hadi leo lazima nisinye au niongee peke yangu, haijawahi kubadilika.
Ilinivunja moyo sana na kunifanya nianze kuitazama JF kwa jicho la tofauti.
Ni kama mtoto wa grade 7 alivushwa madarasa hadi mwaka wa 3 Chuo kikuu, ila nimegraduate 😆