Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
Mkuu Barbarosa,
Labda tujiulize kwa pamoja, kwa nini kuna waandishi wa habari kutoka hayo mataifa (kwa wazungu) hapa nchini kwetu? Majukumu yao ni nini? Je, kwa upande wako, kwa uzito huu huu unaoona sio sawa kwa suala la Maxi kuhusisha wazungu, vipi viongozi wa serikali yetu wanapofanya nao mahojiano na taarifa za serikali kurushwa huko kwao? Mheshimiwa Rais wa awamu ya Tano, alipofanya mkutano na Wahariri pale Ikulu, miongon mwa waandishi waliohudhuria walikuwa ni wa vyombo vya habari kutoka kwa "wazungu", hili unalisemeaje?
Kaka ...
Kuna tofauti kubwa kati ya Wazungu kutuma Waandishi wao wa Habari ili kupata Habari zetu na sisi kuwatafuta na kuwapekea habari zinazotuhusu, hivyo vitu viwili tofauti!