IBTimes: Who is Maxence Melo arrested for not disclosing anonymous sources?

IBTimes: Who is Maxence Melo arrested for not disclosing anonymous sources?

By the way hakuna mwafrika aliyewahi kushindana na dunia, uliza Ghadafi aliishia kujificha kwenye calvert la barabarani. Huyu mwenzenu ataaibika zaidi, mwalimu wale Kagame mwenyewe amevua viatu na kumsujudu mzungu seuse huyu asiyejua hata kuongea lugha ya hao wazungu. WTF
Huyu ni nani? Au huyu ndio yule?
 
barbarosa anahitaji ban ya maisha hana nia njema na melo,mods toa hii kitu

Wako wengi sana humu mpaka wanakera.Hivi unapofurahia kijana mwenzako kuteswa au kuuawa sababu tu mnapishana hoja unakuwa na akili kweli??Ni vyema hawa buku 7 wakapigwa pin kwanza
 
Ni mpango wa mungu TZ kufika hapa ilipo leo

Unajua Mungu anaweza kukupitisha katika nyakati ngumu sana...lakini Lengo likiwa ni kukukomboa
 
Njia mbadala ni sisi kutatua matatizo yetu wenyewe, hili mbona linaongeleka nilivyoona Max hajateswa wala kupigwa ina maana yuko mikono salama ni swala la kukaa na Serikali kutafuta muafaka na inawezekana lkn watu wanavyoanza kuzunguka kwa Wazungu kuisema Serikali hakuna watakachofanikiwa kwani Serikali nao watajibu na mwisho wa siku hakuna mshindi!

Mzungu hajawahi kutatua tatizo la Mwafrika hata siku moja bila kuanzisha lingine kubwa zaidi, hivyo kwangu mimi hii ni ishu ndogo na inazungumzika baina ya sisi wenyewe!
Mkuu, wazungu wanasaidia sana serikali yako. Juzi, undp imetoa magari ya wagonjwa kwa vijiji ambavyo viko mbali za hospitali, hii ni moja ya mikakati ya maendeleo ya kuboresha huduma za afya nchini.

Zipo taasisi nyingi za kimataifa zinazotoa misaada katika sekta mbalimbali.

Ujumbe huu umeletwa kwenu kwa hisani ya watu wamerikani.
 
Mods ondoa huyu kichaa humu,hawa ndio wanaoichongea jf kwa mabwana zao.ondoa huyu mnafiki humu wakaanzishe ya kwao huko.
Cc mods
Mnalalamika Magufuli anaminya Uhuru wa kutoa maoni ila nyie wenyewe mnataka member mwenzenu aondolewe kisa maoni yake yanapingana na yenu.
 
nawashauri mods wawaondoe wanafiki wote wanaoshangilia hili jambo kama huyu BARBOSA,ISIS na wengineo,hawa ndio wanaoichongea jf kwa mabwana zao na wanalipwa kwa kazi hii tu.watu wabaya sana hawa!...ni wakua nao makini.
Sasa wewe unatofauti gani na serikali ambayo mnasema haitaki kukosolewa kwa hicho ambacho unataka kifanywe kwa hao members wenye kutofautiana mawazo na wengine humu?
 
Daaaaah!!
Ivi mtu kama wewe una fanya nini mpaka mda huu JF kwa nini @Mods, Jamii forum mna mwachia uyu kilaza/ kichwa maji aendelee kuchafua hali ya hewa humu ndani?
Si ajabu mijitu ya hivi ndio inayo tuchongea uko kwa wakubwa mtandao wetu pendwa ufungiwe!!
Mi naomba tum report kwa wingi lipigwe Bann tena ile life Ban ili asiendelee kutuletea uozo wake!
Shame on u Dada Barbosa!!
Sasa wewe ndiyo ungekuwa rais ungevumilia watu wenye kukukosoa?
 
I wonder what is he doing in-here if he doesn't want people to speak-up to their government, no matter what they say! He should be banned from this forum b'cause he's against the forum's MOTTO "where we dare to talk openly". Mods, do we need these kind of people here esp. in times like these?
These type of people are called Snitch
 
Wako wengi sana humu mpaka wanakera.Hivi unapofurahia kijana mwenzako kuteswa au kuuawa sababu tu mnapishana hoja unakuwa na akili kweli??Ni vyema hawa buku 7 wakapigwa pin kwanza
We mwenyewe unataka mtu apigwe ban kisa mawazo yake yanatofautiana na yenu.
 
We mwenyewe unataka mtu apigwe ban kisa mawazo yake yanatofautiana na yenu.

Yakiwa mawazo yanayoudhi against Max,huyo lazima apigwe ban tu.HAiwezekani watu wanatetea haki na uhuru wa kujieleza halafu litokee lijitu linapingana kwa kebehi sitomvumilia kwa sasa
 
Yakiwa mawazo yanayoudhi against Max,huyo lazima apigwe ban tu.HAiwezekani watu wanatetea haki na uhuru wa kujieleza halafu litokee lijitu linapingana kwa kebehi sitomvumilia kwa sasa
Basi we ni sawa serikali ambayo mnasema inataka kusifiwa tu na haitaki maoni ambayo yatawaudhi.

We kama unaona maoni ya member humu hayakupendizi wewe basi vumilia tu maana ndiyo Uhuru wa kutoa maoni huo.
 
Nimesema hivi ikija issue ya Max,wakati watu wanapiga kelele aachiwe huru halafu watu kama nyie mnakuja na kejeli hatutawavumilia.Tunahitaji Uhuru wa kujieleza.
 
Back
Top Bottom