falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,213
- 9,334
Barbarosa is an empty mind guyPerhaps if you had a brain you would...but thank goodness you don't have one.
Barbarosa is an empty mind guyPerhaps if you had a brain you would...but thank goodness you don't have one.
Shame on you, you are brainless that's why you don't care, you are full of nuts mkuuHahah wewe ndiyo unayo brain?
Lol.hiyo internet na vifaa vyote unavyotumia vililetwa na waafrika?JF itakufa iwapo watafanikiwa,kwani ikifika mahali watu hawawezi kutoa maoni yangu kwa dhati hawato shiriki,na watu wengi hawata post barua yeyote ya serikali bila idhini,JF imetukusanya watu tofauti na mawazo tofauti,ukiona serikali huwezi kupambana nao kwa kutumie sheria na mahakama ambaye iko chini ya serikali,ni lazima watu watoe hiyo aibu kwa watu wengine duniani na kuona kinachoendelea huku,hata ndoa yako haiwezi kudumu iwapo mkeo uliomchagua ndiyo anakupangia ya kuzungumza na yakufikiri,JPM namuunga mkono kwa mengi lakini kwa hili simuungi hata kidogo,leo yeye siyo malaika akikosea watu watamsema wapi?iwapo mawaziri,wabunge wanamwogopa?huu ni uhuru wetu na tunatakiwa tuipiganie kwa namna yeyote hata kama haitatufurahisha baadhi lakini JF ni yetu.
muda mwingine ni bora unyamaze waweza onekana una busara hata ya kukaa kimya,Hahaha mtapekuwa Dunia nzima leo, lkn mnachokitafuta wala hamtakipata, lkn msife moyo labda Al Jazeera, CNN au hata EU wataacha kushughulika na Brexit waje kutoa live coverage kuhusu jamiiforums!!
Kweli Muafrika ni mtoto wa Muzungu, yaani yote haya ilikusikia tu Mzungu atasema nini, mbona hamuendi kuwaambia Wajapani pia au wao siyo watu?
Halafu cha ajabu sasa labda kuliko vyote, hizo njia mnazopita wajinga wenzenu wa Afrika nzima kama Tsvangigrai, sijui Besigye &Co. walizipita hizo hizo na hakuna kitu walipata, lkn na niyni mnayafanya yale yale walioyafanya wenzenu ingawaje kila mtu anajua kwamba ni matokeo 0!

Mwandiko wenyew unaonexha one on one kua ww n DEM alieachika. DadekHayo ni yako ila jinsia yangu ni ME!
Kavae Chupi uende zakoTangu lini jinsia ya mtu ikapimwa kwa huo unaouita unafiki?
Bora mhangaika bure kuliko mkaa bure anaye kubali na kuridhika na oppression kwa kisingizio cha hana jinsi. Acha ulimwengu mzima ujue kuhusu udhalimu huu tunaofanyiwa wana wa tanzania, ila hatutoacha kupaza sauti zetu.Hahaha mtapekuwa Dunia nzima leo, lkn mnachokitafuta wala hamtakipata, lkn msife moyo labda Al Jazeera, CNN au hata EU wataacha kushughulika na Brexit waje kutoa live coverage kuhusu jamiiforums!!
Kweli Muafrika ni mtoto wa Muzungu, yaani yote haya ilikusikia tu Mzungu atasema nini, mbona hamuendi kuwaambia Wajapani pia au wao siyo watu?
Halafu cha ajabu sasa labda kuliko vyote, hizo njia mnazopita wajinga wenzenu wa Afrika nzima kama Tsvangigrai, sijui Besigye &Co. walizipita hizo hizo na hakuna kitu walipata, lkn na niyni mnayafanya yale yale walioyafanya wenzenu ingawaje kila mtu anajua kwamba ni matokeo 0!
Aisee, we dogo ni mtu wa namna gani!?!?Hahaha mtapekuwa Dunia nzima leo, lkn mnachokitafuta wala hamtakipata, lkn msife moyo labda Al Jazeera, CNN au hata EU wataacha kushughulika na Brexit waje kutoa live coverage kuhusu jamiiforums!!
Kweli Muafrika ni mtoto wa Muzungu, yaani yote haya ilikusikia tu Mzungu atasema nini, mbona hamuendi kuwaambia Wajapani pia au wao siyo watu?
Halafu cha ajabu sasa labda kuliko vyote, hizo njia mnazopita wajinga wenzenu wa Afrika nzima kama Tsvangigrai, sijui Besigye &Co. walizipita hizo hizo na hakuna kitu walipata, lkn na niyni mnayafanya yale yale walioyafanya wenzenu ingawaje kila mtu anajua kwamba ni matokeo 0!
Ebu ifikie mahali ufungwe hicho kinywa chako na usome alama za nyakati!! maana hujishutukii tu watu wote wanakushushua wewe hujioni kama una shida.. si ajabu ujasafisha kinywa umekurupukia huku kuandika mashudu yako..!!Tangu lini jinsia ya mtu ikapimwa kwa huo unaouita unafiki?
African man do not talk the way you do,if you really are a man you need a quick transgender fix to reflect your actions..apologiseMimi ni African man!
African man do not talk the way you do,if you really are a man you need a quick transgender fix to reflect your actions..apologise
Ebu ifikie mahali ufungwe hicho kinywa chako na usome alama za nyakati!! maana hujishutukii tu watu wote wanakushushua wewe hujioni kama una shida.. si ajabu ujasafisha kinywa umekurupukia huku kuandika mashudu yako..!!