Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,155
- 137,168
You're scared coz you can't go head to head with me.Ok najua unakotaka kwenda, sikurudishii kukutusi!
You're scared coz you can't go head to head with me.Ok najua unakotaka kwenda, sikurudishii kukutusi!
You're scared coz you can't go head to head with me.
Hahaha mtapekuwa Dunia nzima leo, lkn mnachokitafuta wala hamtakipata, lkn msife moyo labda Al Jazeera, CNN au hata EU wataacha kushughulika na Brexit waje kutoa live coverage kuhusu jamiiforums!!
Kweli Muafrika ni mtoto wa Muzungu, yaani yote haya ilikusikia tu Mzungu atasema nini, mbona hamuendi kuwaambia Wajapani pia au wao siyo watu?
Halafu cha ajabu sasa labda kuliko vyote, hizo njia mnazopita wajinga wenzenu wa Afrika nzima kama Tsvangigrai, sijui Besigye &Co. walizipita hizo hizo na hakuna kitu walipata, lkn na niyni mnayafanya yale yale walioyafanya wenzenu ingawaje kila mtu anajua kwamba ni matokeo 0!
kabla ya kukosoa haya, ungekuja na njia mbadala kwanza.....
DumboNajua ndiyo maana nimejitoa!
By the way hakuna mwafrika aliyewahi kushindana na dunia, uliza Ghadafi aliishia kujificha kwenye calvert la barabarani. Huyu mwenzenu ataaibika zaidi, mwalimu wale Kagame mwenyewe amevua viatu na kumsujudu mzungu seuse huyu asiyejua hata kuongea lugha ya hao wazungu. WTF
you can be so biased but this is our tanzaniaHahaha mtapekuwa Dunia nzima leo, lkn mnachokitafuta wala hamtakipata, lkn msife moyo labda Al Jazeera, CNN au hata EU wataacha kushughulika na Brexit waje kutoa live coverage kuhusu jamiiforums!!
Kweli Muafrika ni mtoto wa Muzungu, yaani yote haya ilikusikia tu Mzungu atasema nini, mbona hamuendi kuwaambia Wajapani pia au wao siyo watu?
Halafu cha ajabu sasa labda kuliko vyote, hizo njia mnazopita wajinga wenzenu wa Afrika nzima kama Tsvangigrai, sijui Besigye &Co. walizipita hizo hizo na hakuna kitu walipata, lkn na niyni mnayafanya yale yale walioyafanya wenzenu ingawaje kila mtu anajua kwamba ni matokeo 0!
yet he is enjoying our platform to air his rubbish! we real have some insane Jf members.You've got to be the dumbest JF member of them all!!!
I wonder what is he doing in-here if he doesn't want people to speak-up to their government, no matter what they say! He should be banned from this forum b'cause he's against the forum's MOTTO "where we dare to talk openly". Mods, do we need these kind of people here esp. in times like these?You've got to be the dumbest JF member of them all!!!
Hii nchi ni yetu sote lazima kwenye ukweli tuseme na kwenye sifa tusifie. Critics ndio wanaojenga. Huyu mtawala anayewapa vyeo nyie mnaojikomba na kumlamba miguu na kuwatesa kwa kuwaweka jela wale wanaomkosoa anatengeneza mazingira kuwa siku akikwapua mali ya watanzania na kuifanya yake hakuna wa kumkosoa. Nyie walamba miguu kwa vile mtataka kujikomba mkombolewe mtaishia kusifia. Lakini pia aliikuta nchi imeendelea kidemokrasia na kulikuwa na uhuru wa kujieleza kwa hiyo kazi anayoifanya ni ngumu kwa vile tuliishaonjeshwa uhuru wa kujieleza kabla yake. Sasa nyie walamba miguu hamumsaidii huyu mtawala kwa vile staili yake ya utawala itadidimiza nchi na kuua uchumi. Sisi wachapakazi, sisi tunaokomaa shambani kila siku kutafuta mkate na ada za watoto kwa njia za halali tunastahili kuongozwa na utawala unaojali haki za raia na uhuru wa kujieleza ili kuruhusu ukuaji wa kiuchumi. Negative publicity anazotusababishia huyu jamaa zinafukuza wawekezaji, mimi nikiuza mchicha wangu kwa mzungu au hotel kubwa napiga hela zaidi. Hata huko Zimbabwe waliopoteza sio akina Tvangirai, watu wote wenye options walikimbia na sasa wazimbabwe wametapakaa Afrika nzima na dunia, wajinga wajinga kama wewe wasio na option ndio wamebaki wanateseka Zim. Mimi naweza kwenda kukodi ekari tano Zambia na kufunga drip zangu nazalisha huko huko, je wewe utaenda kumkatia viuno nani nje ya Tanzania?Lkn mwisho wa siku tutapoteza wote kama unachukulia Libya au Iraki kama mfano hivyo hata hicho unachotaka kukipata hautakipata lkn ukizungumza na kutambua na kuheshimu Mamlaka ikiyopo uwezekano wa kufika mbali ni mkubwa!
Haya mambo hayataki hasira Serikali na Raisi wa JMTZ ndo walioshika mpini na huo ndio ukweli!
Hakuna mtu amepata negative press kama Mugabe lkn hao akina Tsvangirai wako leo hii? Wazungu wenyewe wameshawapotezea ...
kula like mkuu. inahitaji unafiki wa hali ya juu kufanya unachofanya. Shetani atakuwa anasema ''that's my boy!''Hahaha mtapekuwa Dunia nzima leo, lkn mnachokitafuta wala hamtakipata, lkn msife moyo labda Al Jazeera, CNN au hata EU wataacha kushughulika na Brexit waje kutoa live coverage kuhusu jamiiforums!!
Kweli Muafrika ni mtoto wa Muzungu, yaani yote haya ilikusikia tu Mzungu atasema nini, mbona hamuendi kuwaambia Wajapani pia au wao siyo watu?
Halafu cha ajabu sasa labda kuliko vyote, hizo njia mnazopita wajinga wenzenu wa Afrika nzima kama Tsvangigrai, sijui Besigye &Co. walizipita hizo hizo na hakuna kitu walipata, lkn na niyni mnayafanya yale yale walioyafanya wenzenu ingawaje kila mtu anajua kwamba ni matokeo 0!
Tumia lugha anayo tumia....Ok najua unakotaka kwenda, sikurudishii kukutusi!
Your Mom may be!Who cares?
Mnafanya nn kuingia jf sasa anzisheni forumn yenu basi.....Who cares?
Tumia lugha anayo tumia....
Hahahahah
Utaumbuka bure hapa na kingereza chako km cha mzee Magufuko