IBTimes: Who is Maxence Melo arrested for not disclosing anonymous sources?

IBTimes: Who is Maxence Melo arrested for not disclosing anonymous sources?

"What we observe is not nature itself but nature exposed to our method of questioning."

Unaona jinsi ulivyo mnafiki? Hebu angalia status yako. Nimekuwekea hapo juu usije ukaibadilisha fasta fata.

Nakuwekea pia na picha ya huyo mzungu aliyesema hayo maneno.

Mbona hukuweka quote ya Mjapan? Au nao hawana quotes? Acha unafiki mtu mzima.

Huyo jamaa ana akili ndogo sana hata usipoteze muda wako, jana tunamwambia hii habari imeripotiwa BBC anang'ang'ania eti ni BBC swahili sio international kwa sababu inasomwa na waswahili, sasa hizi media zingine nazo sijui atasemaje. Kwa ufupi haelewi kabisa anachokiandika.
 
Miungu watu wa utawala wa awamu ya tano.
Hivi wamesahau kuwa hata Egypt jamaa alizima twitter na Fb lakini mwisho wa siku akapoteza.
Always manguvu mengi mwisho wake ni mbaya.


Ushauri kwa njagu: anzisheni thread hapa tutawapa details zetu

Ushauri kwa njagu
 
Kitu ambacho sijaweza kukielewa mpaka leo tangu utawala huu uingie madarakani ni kwanini utawala huu unaogopa mno social media kama kweli ni utawala dhidi ya ufisadi na ni utawala unajinadi kuwa ni wa kuwatetea wanyonge? Mbona mimi naona kama social media ni chanzo kizuri sana cha taarifa ambazo serikali inaweza kuzitumia kupambana na ufisadi na kuwaletea hao wanyonge maendeleo? Mimi nadhani ingekuwa nchi zilizoendelea Max Mello na wenzake wangekuwa wanatajwa mpaka kwenye hotuba za Rais kwa kuwa chachu ya maendeleo kupitia social media. Wenzetu huko Marekani Mark Zukerberg founder wa Facebook, founders wa Twitter, WhatsApp etc wanatajwa kama mifano ya maendeleo. Sisi tunawakamata wakina Max tunawaweka rumande, tunawanyima dhamana etc. Hivi tuna nini sisi?
Point
 
Magufuli anahusika na hili? Hii Sheria ilipitushwa na Bunge ambapo Wapinzani walikuwepo sasa iweje uje kumlaumu Raisi kwa utekelezaji wa Sheria halali? Ndiyo maana hata Wazungu wenu wanawapuuzia kwa maana hamna hoja!
??????????
 
Limenigusa sana tena sana klk hata unavyodhania ila sijapendezwa na kumuona Mzungu ndiyo suluhisho!

Yaani u got a vacuum skull kwakweli...

Umeachagua ID ya kizungu, toka unangia JF mpaka unatoka unatumia teknolojia za haohao wazungu and yet hupendezwi kumuona mzungu ni suluhisho...
 
Njia mbadala ni sisi kutatua matatizo yetu wenyewe, hili mbona linaongeleka nilivyoona Max hajateswa wala kupigwa ina maana yuko mikono salama ni swala la kukaa na Serikali kutafuta muafaka na inawezekana lkn watu wanavyoanza kuzunguka kwa Wazungu kuisema Serikali hakuna watakachofanikiwa kwani Serikali nao watajibu na mwisho wa siku hakuna mshindi!

Mzungu hajawahi kutatua tatizo la Mwafrika hata siku moja bila kuanzisha lingine kubwa zaidi, hivyo kwangu mimi hii ni ishu ndogo na inazungumzika baina ya sisi wenyewe!

" Ukiona wajinga mia moja wanaenda kushoto na wewe mwelevu peke yako unaenda kulia simama kabla hujafika mbali..Kuna uwezekano mkubwa wewe ndio mjinga pekee.
 
mzungu siyo suluhisho? bombadier ni ya nani, viwanda ni vya nani, BUNDUKI za nani,mabomu ya machozi ya nani? unapochukua B7 tumia na akili kidogo.

Hahahahaa! Mkuu kwamba unamwambia Barbarosa aanze kutengeneza BOMBADIA umenchekesha saaana
 
Nlijua tu shida yao ni wale wanaovujiasha siri za silikali na sio wanaomkosoa ama kumtukana ba jessy,humu zimetolewa taarifa nzitonzito zilizotingisha nchi,asa wazee wanataka kuwajua hawa mamtu yanayovujusha hizi siri.so literraly am safe
 
Back
Top Bottom